Kujiunga chuo: Hii inawezekana?

Shoo Gap

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
246
71
Kuna mdogo wangu kaomba kujiunga chuo kupitia utaratibu wa TCU. Kutokana na uwezo wa familia tulimshauri aombe zile kozi ambazo angalau zina mkopo, ingawa kuna nyingine hakuwa anazipenda. Juzi kati Mungu kafungua mlango kwani kapatikana mtu aliye tayari kumlipia tuition fee kozi yeyote Tz kwa miaka mitatu. Alinifuata na kuniuliza, afanye nini ili aweze kusoma kozi iliyokuwa interest yake kwani hayo mahitaji mengine ya shule familia haitashindwa kumlipia. Nimeshindwa kumpa jibu la uhakika, hivyo naomba advice zenu ma-great thinkers.

Inawezekana pamoja na kuchaguliwa Education let say, akabadilisha kwenda kusoma economics na akajilipia mwenyewe?
 
Subiri TCU watoe hayo majina then hiko chuo atakachopangiwa km hiyo kozi anayoipenda ipo atabadilisha kwenye chuo husika.
 
Nashukuru sana wadau. Je! kama kwenye chuo alichopangiwa hiyo kozi haipo anaweza kwenda chuo kingine?
 
Hakuna kitu kama hicho 2012/2013. Course utakayokuwa admitted to, hutapata ruhusa ya kuibadilisha. Ndio maana tcu walisisitiza uanze na kozi uipendayo kuanzia ya kwanza hadi ya mwisho. Source: TCU STUDENTS GUIDEBOOK 2012/2013. Halafu jitahidini kuwa up to date, mambo yanabadilika. Pole sana Bw. Shoo Gap.
 
Kuuliza ni kufahamu. Kama mambo yako hivyo hizi taratibu ni kandamizi sana. Pesa zangu, halafu unani-tight kusoma nisichopenda. Kama ni hivi ntaangalia dogo asubiri awamu nyingine kuliko kutumia pesa zetu kusomesha kozi ambayo huipendi sana.
 
Asikupe presha huyo, kama hiyo faculty ipo ndani ya college husika ataweza kubadili ila kama mpaka ahame chuo hapo ndio pagumu, HIVI KALIBUNI TCU walikaa na wahaehiri kujadili uwezekano wa kuwezesha wanachuo kuhama toka chuo kimoja hadi kingine! just fanya mawasiliano na TCU kwa maelezo zaidi
 
Kuna mdogo wangu kaomba kujiunga chuo kupitia utaratibu wa TCU. Kutokana na uwezo wa familia tulimshauri aombe zile kozi ambazo angalau zina mkopo, ingawa kuna nyingine hakuwa anazipenda. Juzi kati Mungu kafungua mlango kwani kapatikana mtu aliye tayari kumlipia tuition fee kozi yeyote Tz kwa miaka mitatu. Alinifuata na kuniuliza, afanye nini ili aweze kusoma kozi iliyokuwa interest yake kwani hayo mahitaji mengine ya shule familia haitashindwa kumlipia. Nimeshindwa kumpa jibu la uhakika, hivyo naomba advice zenu ma-great thinkers.

Inawezekana pamoja na kuchaguliwa Education let say, akabadilisha kwenda kusoma economics na akajilipia mwenyewe?
akibahatika kupata chuo ambacho faculty
anayoipenda ipo ahamie hicho kpendacho roho,,,bt kama akikosa mwambie asome yoyote relevant ili masters ndo achukue huo udhamini.......coz bachelor siyo issue tena dunia ya leo...mwambie akasome economics degree ya pili..............hata mimi mwaka huu nmeomba kozi zote 8 ambazo sizpend bt am hap degrii n digrii 2 ndugu,xema master i 'll fight 4 wat i wanted...........mwambie awe na aman kabisa cyo yy 2,afocus masters,,,, ndo mpango mzma
 
Duuuu!! Kumbe degree haina mashiko tena!! sasa mimi nikitaka nisome masters ya Computer Science akati nimesomea degree ya Geology inawezekana kweli Mkuu???
 
Asikupe presha huyo, kama hiyo faculty ipo ndani ya college husika ataweza kubadili ila kama mpaka ahame chuo hapo ndio pagumu, HIVI KALIBUNI TCU walikaa na wahaehiri kujadili uwezekano wa kuwezesha wanachuo kuhama toka chuo kimoja hadi kingine! just fanya mawasiliano na TCU kwa maelezo zaidi
then na mkopo akaendelea kupata kwenye iyo koz nyingne? Na asilimia za mkopo zilezile?
 
Duuuu!! Kumbe degree haina mashiko tena!! sasa mimi nikitaka nisome masters ya Computer Science akati nimesomea degree ya Geology inawezekana kweli Mkuu???
inawezekana.....
angalia tu vigezo vya masters, kama kozi hyo ya kompt. Sci. Uliifanya ktk bs ya geology yako then go on,,,kama hujaifanya anza tena digrii yake mkuu....... mbona kuna watu wana degrii hadi 7 tofaut tofaut .......mfano joachm tisano wa msumbiji....usikariri b innovative broh creat somethng of ur own..ivi wabongo tukoje bruuuuuu
 
Got you Man
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom