Ushauri wangu kwenu wadogo zangu mnaotaka kujiunga na chuo kikuu

Jul 15, 2017
13
5
Habari wana jamii forum, mimi naomba nitoe ushauri kwa wadogo zangu mliomaliza form six na mnatamani kujiunga na chuo kikuu. Maisha ya sasa yamebadilika usiende chuo kwa kutaka sifa unasoma degree tu, but angalia mbele kuna nini? Haswa sisi watoto wa wakulima.

Ushauri wangu ni inawezekana umepata alama nzuri tu ya kujiunga na chuo lakini angalia future ya hiyo kozi, kama umesoma sayansi na ukakosa nafasi kusoma kozi yoyote ya afya na ukapata nafasi mfano BBA, Political science its better uende Chuo cha Muhimbili ukasome diploma ya phamarcy au maabara after 3 years kuna sehemu unaweza kukaa na ukaisaidia familia yako, kuliko kusoma degree ya sifa za mtaani after 3 years ukajutia. Muhimbili kuna kozi nying nzur za diploma kama huzijui mimi naweza kukuelewesha vizuri.

Nimetoa ushauri huu kwa sababu nimeona wapo watu wengi wamefanya makosa kama haya na leo wapo mtaani imewagharimu sana, ukisoma diploma na ukipata ajira ktk taasisi hizi kubwa utakuwa unapata kipato kikubwa sawasawa au zaid ya mtu mwenye degree ya fani nyngne.
Mdogo wangu usifanye makosa haswa eneo hili la kuchagua kozi na chuo.

Kwa maelezo zaid unaweza kunipata kwa watsup no 0712620720, nitakusaidia
 
Back
Top Bottom