Kuhusu Joseph Mungai

am i lying? just look at it....yaaani kimekomaa kichizi usoni...hehehehe

Hivyo ndivyo nilivyokuwa utotoni.
Sasa nikiweka picha ya mwaka huu utatoa comments gani!

Hata hivyo sijali sana juu ya mwonekano wangu, na sina mpango wowote wa kufanya Plastic Surgery ili niwe handsome.
Muonekano wangu nauona swano kabisa.
Naomba samahani kwa wale ambao sura yangu inwakwaza.

Sikutuma maombi ya kuzaliwa wala Sikujiumba.
 
Hivyo ndivyo nilivyokuwa utotoni.
Sasa nikiweka picha ya mwaka huu utatoa comments gani!

Hata hivyo sijali sana juu ya mwonekano wangu, na sina mpango wowote wa kufanya Plastic Surgery ili niwe handsome.
Muonekano wangu nauona swano kabisa.
Naomba samahani kwa wale ambao sura yangu inwakwaza.

Sikutuma maombi ya kuzaliwa wala Sikujiumba.


Usijali sana maana unadhiirisha ulivyo handsome mana upo natural...that is typical mandingo brother...Wala usifanye plastic surgery utakuwa unamkufuru mungu wako...na siku ya mwisho akikuuliza kwa nini ulifanya surgery utamjibu nini?so stay are you are and you rock big time...

Me love the way you look....great personality LOL!....Really talk
 
Usijali sana maana unadhiirisha ulivyo handsome mana upo natural...that is typical mandingo brother...Wala usifanye plastic surgery utakuwa unamkufuru mungu wako...na siku ya mwisho akikuuliza kwa nini ulifanya surgery utamjibu nini?so stay are you are and you rock big time...

Me love the way you look....great personality LOL!....Really talk

Mmmhh...I sense some chemistry between you and Madela...

Madela changamkia totoz hiyo....
 
Aiseee vipi inakuwaje acha kufagiliya kivuli....Madela asikuzengue huyu miye handcap....

Kwa hiyo kama uko kilema ndio iweje? Unless Madela katamka wazi kuwa hapendi vilema....but I don't think so! Vilema need love too.....

Madela changamkia totoz hiyo....ukizubaa zubaa usije kulaumu watu....
 
Nenda, Nenda, Nenda, Nenda Mungai. Nenda Mungai. Msalimie Balali. Mwambie Mgonja naye yupo Keko. Mwambie Mramba kadhaminiwa na wachimba madini. Mwambie Yona kumbe ni mwizi mkubwa kuliko yeye Balali, nyumba ya Yona tu ina thamani ya bilioni 2! kajidhamini mwenyewe!. Mwambie Balali hajakomaa, ameogopa bure. Mwambie Keko kuna VIP rooms. Mramba hakutaka kutoka Keko maana kuna kila kitu. Hata DSTV ipo! Mwambie Balali kuwa wewe umekimbia kwa sababu ni Mkenya. Hivyo "you are on transit" kurudi kwenu Kenya. Ila sasa umeona noma kwenda Kenya moja kwa moja kwa sababu ya kuundwa upya East African Community. Mwambie Balali kuwa mkeo mtanzania umemuacha - karudi kwao Iringa. Nenda, nenda Mungai. Wewe si mwenzetu. Tuache tule nyasi zetu alizotuambia Mramba. Nenda Mungai, Nenda, Nenda, ila utakoma. Mzimu wa Baba yetu maskini Nyerere utakuandama. Mwizi wewe.
 
WE NEED JUSTICE IN TANZANIA NOW. HAKI ITENDEKE. The case Mgonja has been charged is the same case Mramba and Yona are charged with, surprisingly Mgonja's bail is set separately at 5.9 billion half of the 11… billion involved, is he alone in this case? NO. WHERE is justice here? Apart from the bail, Mgonja had dedicated his life to serve his country diligently for over 40 years of his life. He tried to do the best he could for his nation, what he gets at the end is embarrassment and humiliation.

Mgonja is a scapegoat in this case. I don't know about Yona and Mramba and up to this time I do not call them criminals unless they are directly linked with the companies that were tax exempted. The real criminals are on the loose enjoying life at the cost of taxpayers. Zakhia Meghji, the Richmond and EPA are the real criminals. WHERE ARE THESE PEOPLE? EPA alone made a real DAMAGE to our country (133 billion). About 70 billion has been returned by UNKNOWN PEOPLE- BIG FISHES but someone in the government knows them, however, the government has no interest on the EPA BIG FISHESjust to manipulate the public, YES I SAID TO MANIPULATE US, those who made management decisions that turned to be ABUSE OF POWER, are in KEKO or on bail. WHO ELSE IS ABUSING POWER NOW?

Just to give you quick figures as reminder, RICHMOND is about 170 billion, Meghji 31 billion a check sighed for Balali, BOT 133 billion the total is over 300 billion. RICHMOND is on lose and many others TO BIG TO TOUCH. Mgonja, Mramba and Yona are being served by our CRIPPLED justice system for 11 billion. GIVE ME A BREAK, 11 billion? How about 300 billion others looted US? Is the figure to big to deal with or those involved are to big to touch? WHERE IS JUSTICE? Why Mgonja's bail is higher than the people he is charged with. WHERE IS JUSTICE KIKWETE? Are you trying to fool us that you are taking care of the wrong Mafisadi. Well, we got that part Kikwete. LOOK for the big fishes as well. Bring them to justice and surrender your passport as well and enjoy KEKO Or Segerea for the mistakes your making.

MIND YOU, You will not be the PRESIDENT forever; KEKO is waiting for you as well. The BMWs you bought to show off, A BAD DECISION-ABUSE OF POWER. Unnecessary expenditures in the white house, another count, withholding RICHMOND, another count, dogodogo na vitotoz while holding office, another count, ATC failure, another count, kutokukuripoti kazini gone every other week like you're the president of AFRICA, another count, corruption katika wizara ya foreign affairs, another count. CAN YOU HANDLE ALL THESE allegations.

Let us not play politics with people's life. They served our government, as humans they made mistakes like anybody else. Kikwete himself is human, has made many mistakes and is currently making them, should we put him behind bars after his term? If yes, I am skeptical how Tanzania will be 20 years from now. The peaceful nation we have created over years will be destroyed by our own leaders and our legal system. My dad made mistakes as I can recall, should I get the legal system involved?

I THINK CORRUPT LEADERS have heard the message, if we have all the evidence we need, YES, let us embarrass them and then put them behind bars. But until we find them guilty, we should not throw stones on their vehicles and that is what I call CIVILIZATION.
 
Hiyo analysis haipandi Upstairs ikatulia.
Acha sheria ichukue mkondo.
Huu ni kama mtego wa samaki mvuvi akifanya mchezo unamnasa mwenyewe.
Usishange mwishoni mwosha kuoshwa.

Vibaka wa Manzese siku zote huhukumiwa kabla hata kesi haijasomwa.
Leo kwa vile inahusu vingunge mnajitahidi kuangalia sheria inasema nini.
Double STD.

Tuliambiwa ikibidi tutakula nyasi. Tuone kama wao wanweza kula nyasi au hata mabunzi tu.
 
Jamani kwa taarifa Mungai sio Muhehe.......ni mlowezi wa kutoka Kenya, kwahiyo hana kiburi cha Mkwawa..........hicho tuachieni sisi tulio wahehe.

Na sasa ukweli ndio huo...........anakimbia kwasababu hana uchungu na hii nchi, kwa asili yeye ni Mkenya.

Be Mungai....tulongele ve wi Mwanaani..................gotole uloo neke tulongane.

Kaangi tulongelage umusilo gwako kikii?
(Samahani kwa kuwawekea lugha ya Kihehe kwani nataka kusisitiza kitu ili ajibu Mungai kama kweli kwa upande wa Baba yeye ni Muhehe......then atajibu. Hili swali ndilo lilimuangusha ubunge wakati fulani
 
Ahaaaaaaaaa wametokea watetezi wa Mungai na sasa ametokea wa Mgonja.

Kanifurahisha huyu wa Mgonja maana anaonekana anajua vizuri anachoongea na point nzuri anatoa kuwa issue zingine kubwa zilizoitia taifa hasara kubwa zishukurukiwe,ni vema na haki.Ila anarudi kinyumenyume kutuambia mgonja katumikia na kinachotendeka si kizuri I dont know what the statement suggests,maana mahakamani ndio sehemu ya haki itajulikana kama alifanya maovu kwa muda huo aliotumikia taifa au la.
Huku kuoneana huruma tumetufikisha hapa tulipo maana hawa watu alikuwa wanajona untouchable ,unadai katumikia taifa au kahujumi taifa kwa mshahara gani hawa watumishi wa kutoka nchi masikini wanamiliki majumba marekani na akaunti zimesheheni.
 
Kuna TETESi nilipata kuwa huyu mzee ni agent wa CIA, na ni mmoja kati ya "watanzania" wachache sana ambo walipelekwa kuonjeshwa asali na CIA wakiwa vijana wadogo sana, mwishoni mwa miaka ya 50 na miaka ya 60, kama kuna mwenye ukweli kuhusu hii atufunilie ukweli wake.
 
Yaani Mungai na sura lake baya namna ile anapata totozi na tena kuku wa kienyeji ?

Kuku wa kienyeji hawachagui chakula. Kwa dada zetu wanaangalia sura?. Wewe unauliza, mbona Mungai ni handsome boy. Mheshimiwa Wasira alikuja hapa India mwezi uliopita. Akiwatembelea wabongo eneo fulani, dada mmoja wa kibongo akacomment "jamani huyu baba ni ugly akikutokea ni lazima utakimbia". Mwingine akamjibu "kalagabaho wenzio kule bongo wanamgombanio!".
 
Yaaaaaaaawwwwwwwnnnnnnn!!

Samu pipo, bwana!! Sheria za nchi inaonekana wanyalukolo wengine hawazijui, same old crap seems to be recycled throughout the years etc etc bila ya watu kuwa na concrete proof! Kaaazi kwelikweli!

Anyway, opinion za watu zipo entitled kwa walizotoa, but damn???
kila wizara aliyokwenda alivurunda
for real? Alivurunda nini? Come to think of it during his time pass marks and pass rates ziliongezeka, sylabus zikaanza kufuatwa ipasavyo, yalifutwa mashindano ya kitaifa ya michezo(na sio kufuta michezo mashuleni) ambayo yaliingilia masomo etc
alionganisha masomo ya physics na chemistry ikawa moja
for real? So what happened? Or why is this an issue?
...kwa taarifa Mungai sio Muhehe. ........kama kweli kwa upande wa Baba yeye ni Muhehe
Really? Hivi mtu unakuwa raia kwa upande wa baba yako tuu? Ukizaliwa hapa nchini na mama yako ni mTanzania je? Kama sikosei ukifika miaka 18 inabidi urevoke one nationality, na I beleive he naturally became Tanzanian with a passport and all.
...TETESi nilipata kuwa huyu mzee ni agent wa CIA
I'll be damned miaka hiyo hivi hakuwa shuleni bado? Waliokwenda miaka hiyo ni wengine kabisa na sidhani hata alikuwa ameshaingia siasa wakati ule.

Jamii Forums sometimes ina-suffer the same problems za the common layman out there. There are good discussions sometimes and a lot of crappy ones, too!! If the man has a nyumba ndogo and he is taking them to America, and he is a free man, he hasn't been accused of anything nor have his passport held ala Mramba and Yona et al, then whats the big deal?? The only thing wrong I see here is ethical, especially him being a married man etc.

Anyway, my two cents.....
 
Navyo mjua Mungai wajomba zake ni wahehe wakina Mkwawa sasa pia ni mzaliwa wa Iringa baba yake ana asili ya Kenya!Mungai Ni raia wa Tanzania na ana roots za Kitanzania!Hivi Tanzania tukianza kuchungizana hapa JF Kuna weza jikuta wengine tuna asili ya nchi mbali mbali!
 
I'll be damned miaka hiyo hivi hakuwa shuleni bado? Waliokwenda miaka hiyo ni wengine kabisa na sidhani hata alikuwa ameshaingia siasa wakati ule.

Mungai aliingia Form 5 mwaka 1963 St. Michael and St. George, Iringa ambayo 1964 ikabadilishwa jina ikawa Mkwawa High Schhol. Yeye alikuwa Deputy Head Prefect (kwa Gideon Kaunda). Alichukua Arts subjects - CV inayofuatia someni katika kumbukumbu za Bunge.

Kuhusu kuchukuliwa na CIA, lo lote linawezekana. Miaka ya '60 American Peace Corps waliletwa wengi sana katika nyanja mbalimbali hususan waalimu, ustawi wa jamii, michezo, n.k. LAKINI WOTE WALIKUWA CIA AGENTS, hivyo Nyerere akawatimua baadae. Kwa hiyo, hata Mungai anaweza kusukwa angali 'mdogo' kama wanavyofanya MOSSAD na kufundishwa hata lugha za kigeni au fani fulani minajili ya lengo maalum. Hili sina ushahidi kwa Mungai ila huyo Kaunda alikuwa shushushu pale UDSM miaka ya 1965 - 1968. By interpolation, it's thus possible to recruit students as CIA agents !!

___________________________________________________________

KIATU CHANGU KIPANA LAKINI KINANIBANA
 
Kuna TETESi nilipata kuwa huyu mzee ni agent wa CIA, na ni mmoja kati ya "watanzania" wachache sana ambo walipelekwa kuonjeshwa asali na CIA wakiwa vijana wadogo sana, mwishoni mwa miaka ya 50 na miaka ya 60, kama kuna mwenye ukweli kuhusu hii atufunilie ukweli wake.

tunaomba utoe utafiti then uweke habari hapa wazi badala ya kusema tetesi. ukisha sema tetesi maana habari haina uhakkika ila umeweka kupamba thread yako tu, ni bora usiweke hizo tetesi kabisa
 
Back
Top Bottom