Kuhusu Joseph Mungai

Kiungani

JF-Expert Member
Feb 2, 2007
274
71
Kuna nyepesi nimezipata kuwa Waziri mstaafu Mzee Mungai (Mbunge wa Mufindi) yuko katika mchakato wa kuihamisha nyumba ndogo yake na watoto wawili kwa hiyo nyumba ndogo kwenda kuishi Marekani. Hiyo nyumba ndogo ni binti wa kimanga/kihehe anaitwa Wahida Mohamed, na watoto wake ni Sandra na Jacoby walio na umri wa miaka 10 na 7.

Mtu aliyenipa taarifa hizi juzi jumatatu, aliniambia kuwa Mungai atatangulia Marekani (Houston, Texas) na atafuatiwa na family yake baada ya wiki moja. Mungai ni kweli ameondoka hapa Bongo kwa KLM alhamisi Dec 18 usiku kimya kimya, na hakumuaga hata mke wake wa ndoa ambaye aliondoka Dar jumatano kwenda Mafinga - Iringa kwa Christmas.

Mtoa taarifa anasema aliona maombi ya visa za USA kwa hao watajwa wanne na yalikuwa na reference numbers: B1O810F1M3, R1OE21QIDQ, H1O812DI5B na F1O80XYPS9, na interview yao ilipangwa kuwa jumanne Dec 16 asubuhi. Hajajua kama wote walipata visa au vipi.

Nimejaribu leo kumtafuta kwa simu Mungai kupitia number zake mbili bila mafanikio.

Nadhani kuna suala zito hapa linafuatia, maana hii kasi na mabadiliko ya Mungai huenda vinaendana na tuhuma za ubadhirifu akiwa Elimu, ruzuku za mbolea akiwa Kilimo, na tuhuma za vibali vya kazi au kuishi akiwa Mambo ya Ndani.

Sijapata nyeti zo zote kama kuna upelelezi wo wote unaendelea katika mojawapo ya hizo tuhuma hapo.
 
Last edited by a moderator:
hii noma, ila safi sana, hao ndio masifadi wa Tanzania and familia zao... heeeeeee shughuli imo, anaomjua Mrs mungai wa kweli kweli mtonyeni
 
Katika mawaziri walioboronga wizara ya elimu huyu jamaa alizidi mno nakumbuka aliunganisha Physics na Chemistry likawa somo moja
 
Mungai ni mmoja wa matajiri wenye rasilimali kubwa hapa nchini. Kama ni Marekani labda kuhamishia tuu hiyo nyumba ndogo na yeye kuendelea kwenda kulamba tuu asali ila mzinga amechongea Mufindi Tea Estate na TATEPA. Jamaa anaijua hela, ni jeuri na kiburi cha kina Mkwawa, ni bora afe kuliko kuikimbia nchi.

Pia kwa Mungai ninayemfahamu mimi ni mzee wa kupenda kula kuku wa kienyeji, sasa akihamia huko Marekani jumla, kuku hao apate wapi?.
 
Mungai ni mmoja wa matajiri wenye rasilimali kubwa hapa nchini. Kama ni Marekani labda kuhamishia tuu hiyo nyumba ndogo na yeye kuendelea kwenda kulamba tuu asali ila mzinga amechongea Mufindi Tea Estate na TATEPA. Jamaa anaijua hela, ni jeuri na kiburi cha kina Mkwawa, ni bora afe kuliko kuikimbia nchi.
kwikwikwikwikwi
Pia kwa Mungai ninayemfahamu mimi ni mzee wa Totos dogodogo kuku wa kienyeji, akihamia huko Marekani kuku hao apate wapi?.
Wapo akina Angel Lola luv.....hivi vijizee vinatumia Viagra,eh?
 
Nadhani kuna suala zito hapa linafuatia, maana hii kasi na mabadiliko ya Mungai huenda vinaendana na tuhuma za ubadhirifu akiwa Elimu, ruzuku za mbolea akiwa Kilimo, na tuhuma za vibali vya kazi au kuishi akiwa Mambo ya Ndani.QUOTE]

Hivi hii ina uhusiano na EPA?? Ama JK sasa ameamua kufumua kila sehemu??
 
Kuna nyepesi nimezipata kuwa Waziri mstaafu Mzee Mungai (Mbunge wa Mufindi) yuko katika mchakato wa kuihamisha nyumba ndogo yake na watoto wawili kwa hiyo nyumba ndogo kwenda kuishi Marekani. Hiyo nyumba ndogo ni binti wa kimanga/kihehe anaitwa Wahida Mohamed, na watoto wake ni Sandra na Jacoby walio na umri wa miaka 10 na 7.

Mtu aliyenipa taarifa hizi juzi jumatatu, aliniambia kuwa
usiku kimya kimya, na hakumuaga hata mke wake wa ndoa ambaye aliondoka Dar jumatano kwenda Mafinga - Iringa kwa Christmas.

Mtoa taarifa anasema aliona maombi ya visa za USA kwa hao watajwa wanne na yalikuwa na reference numbers: B1O810F1M3, R1OE21QIDQ, H1O812DI5B na F1O80XYPS9, na interview yao ilipangwa kuwa jumanne Dec 16 asubuhi. Hajajua kama wote walipata visa au vipi.

Nimejaribu leo kumtafuta kwa simu Mungai kupitia number zake mbili bila mafanikio.

Nadhani kuna suala zito hapa linafuatia, maana hii kasi na mabadiliko ya Mungai huenda vinaendana na tuhuma za ubadhirifu akiwa Elimu, ruzuku za mbolea akiwa Kilimo, na tuhuma za vibali vya kazi au kuishi akiwa Mambo ya Ndani.

Sijapata nyeti zo zote kama kuna upelelezi wo wote unaendelea katika mojawapo ya hizo tuhuma hapo.

Mods, kama hapa siyo mahali pake hii basi ipelekwe kunakopaswa.

Kaka Kiungani angalia vyanzo vyako vya habari vizuri....Si kweli kwamba Mzee Mungai yupo kwenye list ya wanaotakiwa Mahakamani....Huko wasubiri akina Karamagi,Mrisho,Rostam,Kejo na Chenge hao ndio mpaka sasa inajulikana kwamba wataitwa Mahakamani kama sio hii Dec basi ni mapema Januari.

Ni kweli Mzee Mungai yupo USA ,sio Houston bali yupo Dallas ambako watoto wake ndio wanapoishi,Mzee huyo anakwenda Usa mara kwa mara na watoto wake wote wanne wanaishi/kusoma huko (kwa sasa wawili wapo Tanzania).
Mzee amekwenda Dallas kwenye Mahafali ya Mtoto wa Mdogo wake na wala si vinginevyo.

Mzee Kiungani tafuta mawasiliano na watu wa DallasBongo ujue na labda upate nafasi ya kuzungumza na Mbunge,Lakini Bandiko lako lina walakini rudi kwenye vyanzo vyako vya habari uutafute ukweli.
 
Mkuu Mwawado,

Mungai ana mtoto mwingine wa kike (mama wa pembeni), anakaa Houston na ameolewa na m-Nigeria .... Mzee Mungai huwa anamtembelea huko pia.
 
Kuna nyepesi nimezipata kuwa Waziri mstaafu Mzee Mungai (Mbunge wa Mufindi) yuko katika mchakato wa kuihamisha nyumba ndogo yake na watoto wawili kwa hiyo nyumba ndogo kwenda kuishi Marekani. Hiyo nyumba ndogo ni binti wa kimanga/kihehe anaitwa Wahida Mohamed, na watoto wake ni Sandra na Jacoby walio na umri wa miaka 10 na 7.

Mtu aliyenipa taarifa hizi juzi jumatatu, aliniambia kuwa Mungai atatangulia Marekani (Houston, Texas) na atafuatiwa na family yake baada ya wiki moja. Mungai ni kweli ameondoka hapa Bongo kwa KLM alhamisi Dec 18 usiku kimya kimya, na hakumuaga hata mke wake wa ndoa ambaye aliondoka Dar jumatano kwenda Mafinga - Iringa kwa Christmas.

Mtoa taarifa anasema aliona maombi ya visa za USA kwa hao watajwa wanne na yalikuwa na reference numbers: B1O810F1M3, R1OE21QIDQ, H1O812DI5B na F1O80XYPS9, na interview yao ilipangwa kuwa jumanne Dec 16 asubuhi. Hajajua kama wote walipata visa au vipi.

Nimejaribu leo kumtafuta kwa simu Mungai kupitia number zake mbili bila mafanikio.

Nadhani kuna suala zito hapa linafuatia, maana hii kasi na mabadiliko ya Mungai huenda vinaendana na tuhuma za ubadhirifu akiwa Elimu, ruzuku za mbolea akiwa Kilimo, na tuhuma za vibali vya kazi au kuishi akiwa Mambo ya Ndani.
Sijapata nyeti zo zote kama kuna upelelezi wo wote unaendelea katika mojawapo ya hizo tuhuma hapo.

Mods, kama hapa siyo mahali pake hii basi ipelekwe kunakopaswa.

Du...Mzee kila alipoenda alikuwa anaharibu...!!!
 
Back
Top Bottom