Kuhamia kwa mama wa 51 years

Nami natuma salamu kwa my mupenzi akiwa hapoo............oops kumbe si sredi ya salamu!

Hii inaashira kija unavyopenda miteremko ya maisha................unahamia kwake ukadowee ugali wa bure hamana lolote hapo!
 
Vya mteremko kwani amevianza leo?? Mwacheni dogo akale maisha kwa lijimama!
 
Happuch Mpenzi.... yaani wee hua huchoshi for ni nadra saaana kukuona... Hua nakukumbuka kwa kweli... genuinely... Na unajua lakini the way hua nafurahi nikikuona..... Mzima lakini??

Sijambo mpenzi, yaani nilikuwa nimebanwa kweli na majukumu.....nimefurahi kukuona pia dear.

Stay blessed dear.
 
Yaani natamani nikunase kibao huyu ana akili za mtoto ambaye yuko oral stage kila kitu anataka ale
 
Si umeridhika na hiyo kitu ambayo inachambuka kama kitabu hamia tu ndugu acha sie tuendelee na one touch huku. Am worried una nanihiii ndefu kama mto Nile so umekosa wa saizi yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom