KKKT nayo yajitosa Bungeni kutoa maoni yake kuhusu Sheria za uchaguzi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,789
218,420
Screenshot_2024-01-09-13-01-10-1.png


Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania , ni miongoni mwa Taasisi za Kidini zilizojitokeza mbele ya kamati ya Bunge kutoa maoni kuhusu miswada ya sheria za Uchaguzi .

Kanisa hilo limewakilishwa na Askofu Shoo , ambaye pamoja na mambo mengine ameitaka kamati hiyo ya Bunge kuhakikisha maoni mazuri yanayotolewa na wadau yafanyiwe kazi haraka ili kuhakikisha Uchaguzi unakuwa huru na Haki .
 
Back
Top Bottom