Kitine paid the price for the mistakes of his wife. He has the moral authority to speak of corrupt practices.Huyu Hassy Kitine alivyotuhumiwa kutapeli dola elfu 60 za kimarekani kwa matibabu hewa ya mke wake enzi zile za 2004-2005, jee anafikiri watu tumeshasahau hadi kujifanya kiranja wa kukemea ufisadi wa CCM kwa vile labda waliokuja baada yake wamemzidi kwa ujanja na kiasi cha pesa walichofaidika kupitia utapeli na ufisadi wa Serikali ya CCM? Jee, zile dola elfu 60 alizolipwa kwa minaajili ya mkewe kutibiwa "maumivu ya kichwa" kwenye clinic feki Marekani, alizirudisha Hazina?
In Christianity Saul was a beast killer of anyone who professed to follow Jesus. Until one day a light shone on him on the way to Damascus. Today, Saul, who became Paul is a saint in the Christian religion.
Kitine made a mistake, paid for it but that does not mean that he cannot be a soldier in this battle against corruption. Let him speak. Kama zile dola elfu sitini ndizo zinazokuumiza, alizirudisha hazina.
Next question?