Jamani huyu Mkinga ni wa chama gani ndani ya nchi? Naombe jibu chap chap kwn nina hoja ya kuchangia ila nasubiria majibu ya WanaJF.
kauli ya mzee mkinga yakumalizia kipind ya kata shngo imebeba ujumbe mahususi..amen.
Stigler's gorge rufiji peke yake inatoa hizo 2000 yani rais angekaza na hiyo au mchuchuma na ngaka angeondoka na legacy nzuri..Kumbe ukixplore sources zote za umeme Tz kuanzia geothermal,hep,wind power etc twaweza pata 10000mw makubwaaa!
Wakati consumption yetu kwa sasa ni hardly 2000mw
There are currently 113 users browsing this thread. (52 members and 61 guests)
- Mayu
- JoJiPoJi
- General mex
- Juaangavu
- Kabembe
- Greek
- masuke
- Kaka Mpendwa
- Chogo matata
- mka
- Dio
- Eshacky
- zebeya
- Mufiyakicheko
- mkibunga
- muhimili
- Wanzagi
- Abraham
- Glad
- Ngekewa
- forty
- mpenda pombe
- J shemndolwa
- Ibra Mo
- mchapa shughuli
- chatu dume
- Muadilifu
- Fisherscom
- Nkomoji
- Safety last
- Mpiga Nyoka
- figganigga
- Mohammed Shossi
- kitungi
- Bolivar
- kimo91
- Lyceum
- Biera
- Mlengo wa Kati
- Endeleaaa
- Gogo
- chipanga
- Chimunguru
- Nyangomboli
- Yericko
- Eric Samba
- Bigirita
- tumwe273us
- Mzalendo80
- MAKAH
- Kicheruka
- Jituoriginal
pamoja na mapungufu yake kama binadamu, mkinga namkubali sana kiukweli
Mkinga sio mwoga.. Crap..
Acha kupotosha kwa makusudi wewe Bwabwa wa Mafisadi na wala usimpandikizie Maneno!!Mzee Mkinga alichokisema nikwamba Mwenyekiti asiwaogope hao Mafisadi afukuze wote kuwavua Magamba haitoshi akate Kichwa kabisa kiwiliwili kule mkia kule kwamba saiv wameanza hadi kuisakama familia yake(Hao Mafisadi)wanadai kwambia Ridhiwani ameingiza Mamia ya Magari Bandarini ye amefuatilia hadi Bandarini hakuna Kitu kama hicho so akiwalea itamgharimu..!Hajamuongelea Slaa wala Cdm au masikio yako yana Kifafa Mkuu?Usipotoshe bhana kuna watu hawajapata Fursa yakufuatilia Mjadala wanategemea hili Jamvi.Nguvu mali si umesikia shujaa wako anasema Bunge waaache kuniita (mimi Ngeleja kama ulivyotaka wewe) mzigo na wala TANESCO wasiitwe mzigo.
Du hatujui, labda ana ajenda! anamtetea Kikwete na kupinga kina Slaa kumsema Ridhiwani na anaonyesha kuwafananisha na Mafisadi kwani ni Slaa na Padri Mtilkila ndio waliomsema Ridhiwani.
Hitimisho ni kuwa kusema mengi basi atayapata mengi pole shujaa1
Trilioni 12 ni bajeti ya serikali nzima si umeme..bajeti ya umeme tilio 12 haina mchanganuo ufisadi kayachambuwa magazeti ya kinafiki kamuchambuwa chenge anavo endeleya kuisaidia dowansi ilipwe anajiamini nini? Kaeleza mikatabi mengi yakifisadi kasababisha chenge kashauli jk awafukuze chenge r .a rowasa wamelisababishia taifa hasala
Nakubaliana nawe kuwa tunamuhitaji mtu huyu lakini kama angekuwa anaondowa jazba pengine atatusaidia sana!