Huyu mzee kwakweli anaongea mazuri mpaka basi. Laiti wakuu wetu wangekuwa wanasikiliza maoni haya, tungesaidika sanaMnaweza jionea wenyewe uyu mzee anatema nondo kumbe nguzo gharama yake ni 250000 wakatii tanesco wanatugonga milioni na ushee mbaya zaidi nguzo za mufindi pale!
Ni mzee Mkinga kama kawaida yake!
Ranatus Mkinga na sakata la Umeme Tanzania, anaelezea matatizo ya serikali na Mafisadi
Tupe update mkuu,
mukinga tanzania inavyanzo 4 vya umeme maji upepo makaa yamawe joto alizi bahati tuliyonayo watanzania