Kipima joto ITV, Renatus Mkinga na TANESCO

Tangu mitambo ijengwe enzi za Nyerere Tanesco hawajajenga mtambo wowote wa kufua umeme wakati Nyerere aliweka mpaka na ziada ya umeme kwa mahitaji ya wakati huo.

Mtambo wa umeme wa Kihansi ulianza kujengwa mwaka 1994 na kuanza kazi mwaka 1999 wakati wa Mkapa.
 
Mkinga anasema, Tanesco sio mzingo, Tanesco imeiomba serikali tilioni 1 na milioni 300, ili tatizo la umeme Tanzania liishe Serikali imekataa lakini mafisadi wengine wanakopeshwa
 
atobowa mwenyekiti tatizo wa matatizo yote tanzania amegusia bandali maliasili magogo pembe za ndovu mwenyekiti anakumbatia uozo
 
anamuhulumia jk kwenye kampeni alitowa ahadi 78 garama zake nibajeti yote ya tanzania na haitoshi
 
Mkinga anaanza kubowa! Eti anatetea TANESCO hadi anatoka macho. Chuki yake na redudunce inamsumbua. Sasa ANABOA kweli!
 
Mkinga mshindi wa milion mia za vodacom,kama tukapatawatu kama mkinga mia moja sijui tungekuwa wapi,this country suck NCHI INAHITAJI MAOMBI
 
Back
Top Bottom