Kipima joto ITV, Renatus Mkinga na TANESCO

safari bado ni ndefu, umeme ni swala la kitaalam na technology ya hali ya juu jazba na siasa haziwezi kutatua tatizo la msingi. Bado wanasayansi wanatakiwa kuja na majibu ya kisayansi sio kutaja majina na vyama.

Mkinga anaonekana frustrated na hana hoja ya kutatua tatizo la umeme, kama kutenganisha uzalishaji netgroup solution walisema kitambo ila kutekeleza watu wanabinuka sarakasi, kufukuza AC, EL na RA bado sio njia kwani more investment and capacity ndio vinavyo hitajika
 
Mtambo wa umeme wa Kihansi ulianza kujengwa mwaka 1994 na kuanza kazi mwaka 1999 wakati wa Mkapa.
Hapo Nyerere bado alikuwa hai... So Bado ni Enzi zake kwani alikuwa ana power ya kuongea..
Tanesco ya ****** imewekeza Richmond Mkapa IPTL
 
Back
Top Bottom