Elections 2010 Kinana na Dr Slaa - Live Star TV

Slaa ana mahojiano na Kinana mbona haijakaa sawa hii? Kwani Kinana ndiye mgombea wa CCM? Basi kama Kinana anataka mdahalo wafanye na Baregu siyo Slaa. Slaa anatakiwa kupambana na Kikwete, huyu ndiye size yake.
 
huyu anaemhoji slaa na anae mhoji kinana,jamani mbona slaa haachiwi nafasi sana ya kujitetea kama kinana?
 
Slaa amembana mbavu kinana, ingawa waongoza kipindi wakidhani wanamsaidia kinana, lakini wanammaliza
 
Mimi msimamo wangu ni tofauti kidogo,"you can not compare like with unlike"apple can not be compared with an orange.Although, altogather are fruits.This is unfair game.Mdahalo ulipaswa uwe kati ya Dr Slaa na Kikwete,because they are presidential candidates for CHADEMA and CCM respectively.
 
Mimi pia nimemisi. Aliyerekodi anaweza kutusaidia tukapata kujua kilichojiri
 
Safi sana slaa,nimekukubali haukubalu kuonewa na unasimamia haki :A S thumbs_up:
 
Slaa amjia juu muongoza kipindi.
Amjibu deodoras Kamara, sema Kamara hakutanguliza maslahi ya watanzania kwenye mkataba wa Afrika Mashariki, asema elimu ya Kamara haijamsaidia, hajaweka uzalendo mbele, yeye (Slaa) anasema kati ya mikataba mibovu ni Protocol ya afrika Mashariki ambayo ataipitia na kuiboresha kwa faida ya watz. Kupunguza kodi kwenye vifaa vya ujenzi inawezekana kwa faida ya watanzania
 
Dah! Slaa anavunja mbaya! Mtangazaji anajitahidi kumtega jamaa hategeki kweli udokta wa kusomewa ni tofauti na wa kutuzwa!
 
Da dr slaa,anatisha amenifurahisha alivyojibu swali la kutolipa kodi ya africa mashariki mpaka wananchi wote wa Tanzania wawe na makaz bora.
 
Dr Slaa Kichwa kilichoenda shule, Kinana mwili ulioenda darasa
 
wameongezwa muda kwa nusu saa zaidi, endeleeni kupata uhondo
 
Back
Top Bottom