Tunachowaomba Rais Samia, Mzee Kinana na Dr Nchimbi 2025 watuletee Wabunge wenye Uwezo hawa wa Shujaa Wamedoda!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,034
Wabunge tuliochaguliwa na Shujaa Magufuli 2020 wameonesha Uwezo mdogo Sana hadi sasa

Hawawezi kutetea lolote kuhusu Wananchi

Nimwombe mwenyekiti mh Dr Samia na Wasaidizi wake Chamani Mzee Kinana, Dr Nchimbi na Komredi Makonda wahakikishe makosa ya 2020 hayarudiwi

Unamtosa Adadi unamleta Mchambuzi wa Michezo 🐼
 
Watathubutu kuruhusu uchaguzi huru na haki?
 
CCM tu yenyewe ilishaharibika baada ya kuwa Penda zaidi wafanyabiashara hivyo hata atokee mbunge Mzuri sana akiwa ndani ya chama anakuwa lofa tu kazi kuzingatia maokoto ndo stori kubwa Katika viunga vya bunge

Posho posho posho

Sisi tunaofanya kazi zenye per diem tunaujua ukweli siku zote tunapenda posho kuliko kazi yenyewe sembuse wabunge wenye madeni kibao
 
Wabunge tuliochaguliwa na Shujaa Magufuli 2020 wameonesha Uwezo mdogo Sana hadi sasa

Hawawezi kutetea lolote kuhusu Wananchi

Nimwombe mwenyekiti mh Dr Samia na Wasaidizi wake Chamani Mzee Kinana, Dr Nchimbi na Komredi Makonda wahakikishe makosa ya 2020 hayarudiwi

Unamtosa Adadi unamleta Mchambuzi wa Michezo 🐼
CCM ni wasikivu sana bilashaka wameona na wameskia maoni yako....

ile muhimu zaidi ni wanachama kuaamua nani arudi mjengoni nani apumzike,

nadhani ule utaratibu wajumbe ni rahisi kuwekeza pesa, kuwarubuni kwa pesa na kupata ushindi kwa pesa kwasabb wajumbe ni wachache na wanahesabika.

wanachama ni wengi mno ni ngumu kuwekeza pesa na kuwrubuni wote kwa pesa ispokua kwa ushawishi wa hoja....
 
Wabunge tuliochaguliwa na Shujaa Magufuli 2020 wameonesha Uwezo mdogo Sana hadi sasa

Hawawezi kutetea lolote kuhusu Wananchi

Nimwombe mwenyekiti mh Dr Samia na Wasaidizi wake Chamani Mzee Kinana, Dr Nchimbi na Komredi Makonda wahakikishe makosa ya 2020 hayarudiwi

Unamtosa Adadi unamleta Mchambuzi wa Michezo 🐼
Fikiri na fikiri Tena, Sina hakika kama umefikiri vizuri na upo kwenye utimamu sahihi. Wabunge na watumishi wengine wa kiafrika hutenda kulingana na rhythm au beat ya boss wao. Kama boss ni kiazi wao kwao huwa ni fursa. Hawa unaosema wamedoda kama angekuwepo chuma wangekuwa vizuri mno. Sasa unaposema kiazi kilete wengine basi wanaokuja watakuwa nyumbu
 
Nimecheka kwa makasiriko 😁
 
Wabunge tuliochaguliwa na Shujaa Magufuli 2020 wameonesha Uwezo mdogo Sana hadi sasa

Hawawezi kutetea lolote kuhusu Wananchi

Nimwombe mwenyekiti mh Dr Samia na Wasaidizi wake Chamani Mzee Kinana, Dr Nchimbi na Komredi Makonda wahakikishe makosa ya 2020 hayarudiwi

Unamtosa Adadi unamleta Mchambuzi wa Michezo
Umekosea sana wabunge kuwa wapumbavu inategemea rais aliyopo ikulu hivyo kinachotakiwa ni kupata rais asiye mpumbavu kwanza
 
Hivi Bunge lilipoitwa dhaifu ilikuwa na maana kwa sababu ina aina ya hao wabunge tulio nao sasa?
 
Wabunge tuliochaguliwa na Shujaa Magufuli 2020 wameonesha Uwezo mdogo Sana hadi sasa

Hawawezi kutetea lolote kuhusu Wananchi

Nimwombe mwenyekiti mh Dr Samia na Wasaidizi wake Chamani Mzee Kinana, Dr Nchimbi na Komredi Makonda wahakikishe makosa ya 2020 hayarudiwi

Unamtosa Adadi unamleta Mchambuzi wa Michezo 🐼
Mnakosea sana mnaposema walichaguliwa na JPM.

Ieleweke tu kwamba Wabunge walichaguliwa 2020 ni viazi!!

Hizi fikra tegemezi kwa JPM ndo zimekupotezeni CHADEMA hata msijue asubuhi muamke na hoja Gani!!

Naungana na wewe kwamba hatuna Wabunge Bali tuna Viazi tena vilivyooza
 
Para ya mwisho 😂😂😂🔥
 
wa
Hivi Bunge lilipoitwa dhaifu ilikuwa na maana kwa sababu ina aina ya hao wabunge tulio nao sasa?
ili wabunge wawe wazuri ni lazima uwachanganye na wabunge wa kutosha kutoka upinzani la sivyo kosa kubwa lilifanyika awamu ya 5 na ndiyo kisa cha kurubuni wale 19.Kosa hili lisirudiwe tena linaua democracy na maendeleo ya nchi.
 
Kabisa Kabisa!
 
Back
Top Bottom