Elections 2010 Kinana na Dr Slaa - Live Star TV

Mgombea wa Uraisi kwa Ticket ya Chadema akiwa Live ndani ya Jiji la mwanza Star TV,

Namuona Kinana akijalibu Kuwa Mgombea Uraisi wa CCM na kutetea Sera
 
Kwa kweli kinana atampigia kur Slaa na uzuri kura ni siri hivyo ile kula tumeichukua.
 
Kinana ana kigugumizi kuelezea ahadi ya JK aliyotekeleza 2005 - 2010
 
Aaaaah,huu ni mdahalo vile eh?
wame ufanya kama mdahalo bila wenyewe kujijua na ni udhalilishaji huu kumuweka na kinana hapa
 
Aaaaah,huu ni mdahalo vile eh?
wame ufanya kama mdahalo bila wenyewe kujijua na ni udhalilishaji huu kumuweka na kinana hapa
Hata yeye amesikitika kuwekwa na kinana, lakini amesema ataendelea kumwaga sera, hawa waongoza kipindi mbona wanampa Kinana muda mrefu halafu hawamkatishikatishi kama Slaa.
 
Kinana amekubali kuwa ahadi ni nyingi, na kudai kuwa ni ahadi za kiongozi ila sio za chama
 
Kinana leo ni mpole sana, mara kwa mara anasema anamheshimu sana Dr Slaa.
 
Kinana anasema tukubali kwamba tunaweza kushinda au kushindwa,

ushindi ni lazima hazungumzii tena.
 
Kinana anasema viongozi wa TCIB ni makada wa Chadema, utafiti wao ulompa Dr Slaa ushindi ulipikwa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom