Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Kama hilo zip file ni la repository ya kodi, sidhani kama inawezekana, ila kama hilo file ni la m3u ambalo liko compressed kwenye zip file, then ni ku uncompress. ungetuma hilo file ndiyo tungeweza kukusaidia kwa uhakika zaidi.
Sawa mkuu
 
Shukrani sana kwa Chief Mkwawa na Njunwa Wamavoko kwa darasa huru, mbarikiwe sana.
 
Chief mkwawa habari mtalaam samahani naomba msaada nitapaje application nzuri free kwa ajiri ya masomo ya njia ya mtandao
 
Chief mkwawa naomba kufaham ni software gani au key ipi au link ipi naweza tumia kupata continental tv kwa kutumia qsat 11
 
Wataalamu wa kodi naomba kuuliza kuhusu hii money sports imeshatolewa au kuna namna nyingine ya kuiingiza kwenye kodi naona ni muda siipati.
 
Naomba msaada kwangu kwenye kodi naskia sauti tu bila picha na nimepata version mpya ya 16.1 na kuinstall ila bado vile vile.Msaada tafadhali
 
Nashukuru sana kwa kunifumbua macho,imenitesa sana,sasa GPU ni software au hardware yaani naweza upgrade au nikaibadili hiyo GPU??
gpu ni hardware lakini pia ili ifanye kazi inabidi uwe na software yake (driver)
-kwa desktop utaweza kuibadili
-kwa laptop huwezi ibadili ila unatakiwa uekw driver zake
-kwa simu kila kitu kipo tayari ukiinunua huna haja ya kufanya kitu.

kubypass hio issue nenda setting halafu video halafu acceleration toa hardware rendering (gpu) then tumia software rendering (cpu) hapo utaplay bila tatizo
 
Kuhusu hiyo acestream ina tofauti gani na hizi addons za P2P Streams kama Operation Robcop maana nazo ni kama torrent!

Ila pia nimeona kama ina addon yake pia HAPA
 
Kuhusu hiyo acestream ina tofauti gani na hizi addons za P2P Streams kama Operation Robcop maana nazo ni kama torrent!

Ila pia nimeona kama ina addon yake pia HAPA
yap ipo zipo addon za kodi ila kuweka mambo yasiwe complicated nikaona niiweke tu yenyewe na client yake
 
Back
Top Bottom