Miezi mitatu tangu nianze kutumia 5G Home Internet ya Voda Supakasi. Hiki ndicho nilichoki-experience so far

mdhalendo

JF-Expert Member
Dec 14, 2011
282
273
Tangu mwezi Novemba mwaka jana nimekuwa miongoni mwa wateja wa kwanza wa kutumia huduma za vodacom 5G supakasi ya home internet kwa kutumia device yao mpya ya NOKIA FastMile 5G Gateway 3.1 na leo ningependa nitumie jukwaa hili kutoa uzoefu wangu kama mmojawapo wa wateja wa kwanza wa 5G internet nchini.

Huu ni uzoefu wangu binafsi na nitajitahidi kutokuwa biased kwa jambo lolote:

1. Kwa experience yangu 5G internet is overated....at least kwa sasa. Kasi niliyoipata haitofautiani sana na ile niliyokuwa nikiipata kupitia internet ya 4G LTE. Kwa baadhi ya mataifa tunashuhudia wenye strong 5G wanafikia hadi 1 GB per second download speed.....Mimi tangu nianze kutumia ninacheza kwenye 29 MBps (ofcoz inategemea na package niliyopo lakini kupanda na kushuka ni kwingi sana)

2. 5G Signal ipo very unstable... nimekuwa niki-track stability ya 5G signal kwenye eneo langu kupitia link hii http://192.168.1.1/web_whw/#/ matokeo yake ni kwamba mara moja moja sana signal inasoma 5G, mara nyingi sana inacheza kwenye 4G signal. So basically I'm paying for 5G lakini napata 4G signal muda mwingi. Nilipouliza voda jambo hili walidai kwamba Signal za 5G ni rahisi sana kuzuiwa na ukuta, miti, upepo na hata mvua.

Binafsi naamini, vodacom na watoa huduma wengine bado wana safari ndefu sana ya kwenda kwenye kuboresha huduma hizi. Kama umeamua kuuza 5G ni bora ukahakikisha signal zake ni strong ili usiwauzie watu 4G kwa kinyago cha 5G.

Jambo lingine ambalo vodacom wanapaswa kulifanyia kazi ni kuja na package ndogo ya 10Mps kwa malipo ya 65,000 TZS hadi 70,000 TZS kwa mwezi. Hii itawafaa sana watu wenye kipato cha kawaita. Vifurushi vya 120,000 TZS kwa mwezi vinaweza visiwe rafiki sana kwa watu wengi.

Kama nawe unatumia huduma hii si vibaya ukatoa experience yako hapa ili wadau wajue user experience yako.
 
mdhalendo

Mimi natumia hii huduma na so far naona ipo vizuri. Ninakaribia miezi miwili na mtandao ulisumbua kama mara mbili, ila badda ya mda mfupi tatizo liliisha.

Kuna vitu inabidi ufanye, kwenye hiyo Fast Mile router kuna taa pale juu zipo tatu, kama haziwaki nenda kwenye settings na uziwashe, halafu jaribu kuiweka hiyo router sehemu iliyo wazi, wanashauri sana kuiweka karibu na dirisha ili upate signals vizuri.

Pia unaweza ukawa unaizungusha hiyo router, na kucheki taa zinavyowaka, taa ikiwa moja signal ni hafifu, taa mbili signal ni ya wastani, na taa tatu signal zipo vizuri. Mda huo pia angalia nembo ya 5G iwe imewaka. Isipowaka 5G jua unapata 4G.

KIngine nilichogundua kwenye hii router ni kuwa unaweza ukarusha wireless ya 5G na 4G, so devices kadhaa zikaunga 5G nyingine 4G. Jaribu kuhakikisha hiyo pia, unaweza kuta una connect kwenye 4G tu.

Kupata speed nzuri inategemea na package uliyochukua, package ya 30Mbps, ambayo itakupa hadi 4 MBps / sec kwenye kudownload, ambayo kwa famiilia ya watu wachache (chini ya watu 5) ni nzuri.

Mimi natuma na familia, na nilijaribu kustream 1444p kwa devices 4 bila shida yeyote.

4K ilikuwa inasumbua kidogo, ila nilipopunguza devices pia ikawa vizuri.

So, cha msingi ni angalia 5G signals za sehemu yako, jitahidi router uiweke sehemu nzuri.
 
Tangu mwezi Novemba mwaka jana nimekuwa miongoni mwa wateja wa kwanza wa kutumia huduma za vodacom 5G supakasi ya home internet kwa kutumia device yao mpya ya NOKIA FastMile 5G Gateway 3.1 na leo ningependa nitumie jukwaa hili kutoa uzoefu wangu kama mmojawapo wa wateja wa kwanza wa 5G internet nchini.

Huu ni uzoefu wangu binafsi na nitajitahidi kutokuwa biased kwa jambo lolote:

1. Kwa experience yangu 5G internet is overated....at least kwa sasa. Kasi niliyoipata haitofautiani sana na ile niliyokuwa nikiipata kupitia internet ya 4G LTE. Kwa baadhi ya mataifa tunashuhudia wenye strong 5G wanafikia hadi 1 GB per second download speed.....Mimi tangu nianze kutumia ninacheza kwenye 29 MBps (ofcoz inategemea na package niliyopo lakini kupanda na kushuka ni kwingi sana)

2. 5G Signal ipo very unstable... nimekuwa niki-track stability ya 5G signal kwenye eneo langu kupitia link hii http://192.168.1.1/web_whw/#/ matokeo yake ni kwamba mara moja moja sana signal inasoma 5G, mara nyingi sana inacheza kwenye 4G signal. So basically I'm paying for 5G lakini napata 4G signal muda mwingi. Nilipouliza voda jambo hili walidai kwamba Signal za 5G ni rahisi sana kuzuiwa na ukuta, miti, upepo na hata mvua.

Binafsi naamini, vodacom na watoa huduma wengine bado wana safari ndefu sana ya kwenda kwenye kuboresha huduma hizi. Kama umeamua kuuza 5G ni bora ukahakikisha signal zake ni strong ili usiwauzie watu 4G kwa kinyago cha 5G.

Jambo lingine ambalo vodacom wanapaswa kulifanyia kazi ni kuja na package ndogo ya 10Mps kwa malipo ya 65,000 TZS hadi 70,000 TZS kwa mwezi. Hii itawafaa sana watu wenye kipato cha kawaita. Vifurushi vya 120,000 TZS kwa mwezi vinaweza visiwe rafiki sana kwa watu wengi.

Kama nawe unatumia huduma hii si vibaya ukatoa experience yako hapa ili wadau wajue user experience yako.
Sorry mkuu ila ni ujinga kupima speed ya 5G kupitia supakasi,

Umeshaambiwa ni Unlimited ila unapimiwa speed kifurushi kinaanzia 30mbps ulitegemea nini? Upate speed zaidi ya 30mbps?

Voda wameshatangaza wenyewe speed yao kwa sasa ni 400mbps baadae wataupgrade mitambo ku double hio speed, ili upate close tu hio speed inabidi ulipie laki 6. Je wewe kifurushi chako ni cha laki 6?

Cha muhimu cha kwanza kabisa uzi wako uwe na maana ungeweka screenshot ya hio 5G ikiwa na speed ndogo tuangalie ping na mambo mengine.

Advantage za 5G over 4G ni nyingi sana ikiwemo capacity na ping hivi ndio vitu utavipata kwenye package ambazo zimelimitiwa speed.
 
Tangu mwezi Novemba mwaka jana nimekuwa miongoni mwa wateja wa kwanza wa kutumia huduma za vodacom 5G supakasi ya home internet kwa kutumia device yao mpya ya NOKIA FastMile 5G Gateway 3.1 na leo ningependa nitumie jukwaa hili kutoa uzoefu wangu kama mmojawapo wa wateja wa kwanza wa 5G internet nchini.

Huu ni uzoefu wangu binafsi na nitajitahidi kutokuwa biased kwa jambo lolote:

1. Kwa experience yangu 5G internet is overated....at least kwa sasa. Kasi niliyoipata haitofautiani sana na ile niliyokuwa nikiipata kupitia internet ya 4G LTE. Kwa baadhi ya mataifa tunashuhudia wenye strong 5G wanafikia hadi 1 GB per second download speed.....Mimi tangu nianze kutumia ninacheza kwenye 29 MBps (ofcoz inategemea na package niliyopo lakini kupanda na kushuka ni kwingi sana)

2. 5G Signal ipo very unstable... nimekuwa niki-track stability ya 5G signal kwenye eneo langu kupitia link hii http://192.168.1.1/web_whw/#/ matokeo yake ni kwamba mara moja moja sana signal inasoma 5G, mara nyingi sana inacheza kwenye 4G signal. So basically I'm paying for 5G lakini napata 4G signal muda mwingi. Nilipouliza voda jambo hili walidai kwamba Signal za 5G ni rahisi sana kuzuiwa na ukuta, miti, upepo na hata mvua.

Binafsi naamini, vodacom na watoa huduma wengine bado wana safari ndefu sana ya kwenda kwenye kuboresha huduma hizi. Kama umeamua kuuza 5G ni bora ukahakikisha signal zake ni strong ili usiwauzie watu 4G kwa kinyago cha 5G.

Jambo lingine ambalo vodacom wanapaswa kulifanyia kazi ni kuja na package ndogo ya 10Mps kwa malipo ya 65,000 TZS hadi 70,000 TZS kwa mwezi. Hii itawafaa sana watu wenye kipato cha kawaita. Vifurushi vya 120,000 TZS kwa mwezi vinaweza visiwe rafiki sana kwa watu wengi.

Kama nawe unatumia huduma hii si vibaya ukatoa experience yako hapa ili wadau wajue user experience yako.
Umelipa 120k unataka upate 1gbps?

Your limited speed mwusho ni 30mbps.
 
Mimi natumia hiyo huduma, nami pia nililetewa device yangu ya Nokia mwaka jana Nov. Kwa kifupi huduma ni nzuri sana ukilinganisha na huduma nyingine na gharama yake ni very cheap.

Speed ya 5G huenda unaona ni dhaifu kwa kuwa unatumia yenye limit ya 30Mbps/4MBps, ambayo na yenyewe pia ni nafuu than the rest of subscriptions hapa Tz.

Wakati nafanyiwa survey, nilitumia Device ya yule Technician, aliniachia device yake kama kwa masaa matatu ofisini kwangu, ile device yake ilikua imepewa full bandwidth, trust me, speed test ilikua inasoma hadi 500Mbps na uki-download file ilikua inasoma hadi 55MBps, speed ilikua ni kali kiasi kwamba una download file la 1GB kwa just 1 minute.

Nadhani kama ukitaka kufaidi, kama you need more speed above that, omba wakuunge na connection ya juu kabisa
 
Vp kwa mkoani huku inaweza fanya kazi kama kigezo ni source ya umeme. Na ghrama yake ikoje?

Kwa mimi sijawahi itumia nje ya Dar es Salaam.

Ila pindi nilivyopata Router, nilisikia kuna nyingine zilikuwa zinatumwa mikoani. Na ninaimini zitafanya kazi hata mikoani kwani router ina support hata 4G.

Wasiliana na Vodacom, watakupa maelezo ya kufanya na kuna mkataba utapewa, utaupitia na kuchagua package unayotaka.
 
Tangu mwezi Novemba mwaka jana nimekuwa miongoni mwa wateja wa kwanza wa kutumia huduma za vodacom 5G supakasi ya home internet kwa kutumia device yao mpya ya NOKIA FastMile 5G Gateway 3.1 na leo ningependa nitumie jukwaa hili kutoa uzoefu wangu kama mmojawapo wa wateja wa kwanza wa 5G internet nchini.

Huu ni uzoefu wangu binafsi na nitajitahidi kutokuwa biased kwa jambo lolote:

1. Kwa experience yangu 5G internet is overated....at least kwa sasa. Kasi niliyoipata haitofautiani sana na ile niliyokuwa nikiipata kupitia internet ya 4G LTE. Kwa baadhi ya mataifa tunashuhudia wenye strong 5G wanafikia hadi 1 GB per second download speed.....Mimi tangu nianze kutumia ninacheza kwenye 29 MBps (ofcoz inategemea na package niliyopo lakini kupanda na kushuka ni kwingi sana)

2. 5G Signal ipo very unstable... nimekuwa niki-track stability ya 5G signal kwenye eneo langu kupitia link hii http://192.168.1.1/web_whw/#/ matokeo yake ni kwamba mara moja moja sana signal inasoma 5G, mara nyingi sana inacheza kwenye 4G signal. So basically I'm paying for 5G lakini napata 4G signal muda mwingi. Nilipouliza voda jambo hili walidai kwamba Signal za 5G ni rahisi sana kuzuiwa na ukuta, miti, upepo na hata mvua.

Binafsi naamini, vodacom na watoa huduma wengine bado wana safari ndefu sana ya kwenda kwenye kuboresha huduma hizi. Kama umeamua kuuza 5G ni bora ukahakikisha signal zake ni strong ili usiwauzie watu 4G kwa kinyago cha 5G.

Jambo lingine ambalo vodacom wanapaswa kulifanyia kazi ni kuja na package ndogo ya 10Mps kwa malipo ya 65,000 TZS hadi 70,000 TZS kwa mwezi. Hii itawafaa sana watu wenye kipato cha kawaita. Vifurushi vya 120,000 TZS kwa mwezi vinaweza visiwe rafiki sana kwa watu wengi.

Kama nawe unatumia huduma hii si vibaya ukatoa experience yako hapa ili wadau wajue user experience yako.
Mkuu tz hatuna 4G wala 5G bado tuna LTE 4G lite wanaita.
5G ni Gb1/s , 4G ni 100mb/s.
Ku-install hiyo minara ya 5G ni ghali sana.
Ndio maana mitamdao yote inatumia mkongo wa TTCl ambao wana-device za 3G tu.
 
Back
Top Bottom