Mzee kifimbo cheza
Member
- Jul 28, 2015
- 67
- 49
Asante kwa somo zuri Mjukuu wangu..
hapo kuna mambo mawiliHabari zenu wanaJf.. Katika pita pita zangu mitandaoni nimekutana na hii tv, smart tv ya android inch 55 muuzaji anasema bei yake ni laki 2.. Kwa mtu mwenye uzoefu nazo hivi ndo bei yake au ndo changa la macho...
Lete email yako nikupatie s/w ya powervuChief mkwawa
salama mkuu sasa nilikuwa naomba msaada wako mimi nina qsat 11 ninahitaji sofware za kufungua channel za mpira msaada tafadhari
Sijaielewa hiyo link nMkubwaaaa kula tano kwa msaada wako, but nataka kukopi hiyo linki nisiipoteze kwe simu yangu, nafanyaje. Msaada pliz
Tatizo simu yako badilisha simu uenjoy mkuuWatalaam wa hii kodi Mimi ninatumia Tecno h6 lakini ninapoangalia mechi yoyote kupitia iwe sports devil au Phoenix au nyingine yoyote ktk hii kodi inaonyesha dk15 halafu inakata ghafla tatizo nini wadau!
Jaribu hii:Wakuu hii moneysports nitumie njia gani kuipata nikitumia http://renegades.info/repo au http://4legends.co.uk/legends njia zote mbili zinagoma
hapo umenichanganya, zip kwenda m3u?Samahani wakuu wa jf naomba msaada wenu. Nataka kubadilisha zip file inayotumika ktk kodi ili iwe m3u nitumie ktk iptv player. Naomba muongozo wenu nifanyeje?