Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Sasa Mkwawa msaada kidogo baada ya kudownload na kuinstall wakat wa kuopen napata error kuwa kod haiko compatibo na ARM vs X86 msaada hapo natumia nokia xl
 
Sasa Mkwawa msaada kidogo baada ya kudownload na kuinstall wakat wa kuopen napata error kuwa kod haiko compatibo na ARM vs X86 msaada hapo natumia nokia xl
Maelezo hapo juu ni kwa windows pc na sio kwa simu
 
sijajua tatizo nini Chief-mkwawa na xfinity.PNG xfinity.PNG njuwa wa mavoko naomba msaada tafadhali.....mi nimedownload kodi-helix 14.2 nikafuata toturial ya vdubt25 toturial ku install add on . lakini inanipa msg hiyo
 
Kuna muda nikifungua inaonyesha hivi...,tatizo nini?
Inaweza kuwa Your connection is poor au channel unayotumia Link yake ipo outdated.
Not all channels will work....
Hivo ni vema kuwa na addon zaidi ya moja japo add-ons nyingi zina share channels lkn ni vema zaidi ukiwa na alternative
Ikigoma vdtub25 unaenda Paki India Live au unaenda Phoenix TV
 
Inaweza kuwa Your connection is poor au channel unayotumia Link yake ipo outdated.
Not all channels will work....
Hivo ni vema kuwa na addon zaidi ya moja japo add-ons nyingi zina share channels lkn ni vema zaidi ukiwa na alternative
Ikigoma vdtub25 unaenda Paki India Live au unaenda Phoenix TV

Mkuu hiyo Phoenix tv unaipataje
 
Tumezoea katika maisha yetu tukiangalia Tv basi huduma ile tunaipata kupitia madishi, cable au antenna. siku zinavyosogea mbele na technology ndivyo inavyokuwa na ndio jinsi madish na antenna vinavyopitwa wakati. leo kwenye uzi huu tutaangalia IPTV.

ni nini hii IPTV?
IPTV ni kifupi cha Internet Protocal TeleVision. hii ni aina ya uangaliaji tv kupitia mtandao wa internet ambapo kituo cha tv badala ya kutumia satelite dish au cable wenyewe wanarusha matangazo kwa internet.

unawezaje kuangalia IPTV?
utahitaji kifaa chenye internet na uwezo wa kustream ili kuweza kuangalia kama vile smartphone, tablet, laptop, desktop hadi tv zenye internet zinaweza kustream.

internet yenye speed gani inahitajika?
internet yoyote hata ya edge inaweza kustream ila iwe na latency nzuri, zipo stream zinahitaji speed ya 200kbps tu (25KBps). kama una latency ndogo hata internet iwe na speed vp huwwezi kustream live utastream tu vitu ambavyo si live. kujua zaidi kuhusu latency nenda thread hii
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...iwa-na-download-speed-kubwa-ndio-mzuri-2.html

je software gani inatumika kustream hizo tv?
kikawaida browser yenye flash au html5 inaweza kustream tv lakini ukitaka kustream vizuri zaidi software kama VLC au KODI ni muhimu. kutokana na uhaba wa links za vlc nitazungumzia zaidi jinsi ya kutumuia KODI kuangalizia IPTV.

KODI ni nini?
KODI ni software (media centre) ambayo hutumika kuubadili muonekano wako wa simu uwe kama tv na kuweza kuenjoy tv unazotumia na inapatikana kwenye simu, tablet, computer hadi tv
Kodi-devices-smudged.jpg


kuidownload nenda website yao hii hapa chini, ni bure haiuzwi
Downloads | Kodi

nikishadownload kodi nini kinafuatia?
utahitaji ku install plugin ili uweze kuangalia tv online. click video add on halafu chagua watchmojo, install halafu ifungue tuone kama itafanya kazi.
9vW4MHp.jpg


KODI imefanya kazi, je siwezi angalia mpira na vipindi vyengine?
unaweza angalia mpira chanell unayotaka kuanzia za ki Africa kama Super sport, za Ulaya kama Sky sport, za Asia kama Bein sport hadi za kimarekani kama NBC cha muhimu uwe na plugin (add ons) husika, hizi plugin za mpira na michezo mengine zinapatikana tu internet mfano mimi plugin yangu ninayotumia inaitwa Vdtube25 ina channell nyingi sana kuanzia mpira hadi movie.
zNbDtYR.jpg

PppArCw.jpg


hio hapo juu sky sport 3

uzuri wa hz plugin za kodi zipo tv ni HD na nyengine ni full HD kabisa hivyo internet yako tu.

malipo?
kila kitu kuanzia juu hadi hapa ulipofikia ni bure hutoi pesa, ila hz plugin za bure haziaminiki zipo za kulipia ambazo hazikati ovyo. mimi sijawahi kulipa natumia tu bure ila kama unahitaji service nzuri zaidi unaweza kulipa ila pia kuwa makini na matapeli

tutorial ya kueka na mahala pa kupatia plugins
plugin yangu ninayotumia ya vdtube25
https://seo-michael.co.uk/how-to-install-vdubt25-add-on-kodi-xbmc

website hio hio pia utapata plugins nyingi.

kama una swali lolote usisite kuuliza chini

Samahani kuna tatizo nahisi ndio chanzo cha kuja kusumbua mbele wakati naweka plugin, nikifika kule kwenye plugn nikitaka kufungua lile file la xunity halifunguki
 

Attachments

  • 1437388141536.jpg
    1437388141536.jpg
    36.9 KB · Views: 633
asee ilo ni bonge la darasa/ elimu funguo yako ni ya bonge la kitasa/
 
Sawa but naona pia kama kuna kod apk pia kwa ajili android phone

kaka hii kodi ni multiplatform inatakiwa hadi android ikubali japo tutorial nimeiandika kwa kutumia pc. pia haitumii api za google hivyo ilitakiwa kurun kwenye simu yako japo haina playstore. una uhakika umedownload version sahihi ya simu yako?
 
Tumezoea katika maisha yetu tukiangalia Tv basi huduma ile tunaipata kupitia madishi, cable au antenna. siku zinavyosogea mbele na technology ndivyo inavyokuwa na ndio jinsi madish na antenna vinavyopitwa wakati. leo kwenye uzi huu tutaangalia IPTV.

Ni nini hii IPTV?
IPTV ni kifupi cha Internet Protocal TeleVision. Hii ni aina ya uangaliaji TV kupitia mtandao wa internet ambapo kituo cha TV badala ya kutumia satelite dish au cable wenyewe wanarusha matangazo kwa internet.

Unawezaje kuangalia IPTV?
Utahitaji kifaa chenye internet na uwezo wa kustream ili kuweza kuangalia kama vile smartphone, tablet, laptop, desktop hadi TV zenye internet zinaweza kustream.

Internet yenye speed gani inahitajika?
Internet yoyote hata ya edge inaweza kustream ila iwe na latency nzuri, zipo stream zinahitaji speed ya 200kbps tu (25KBps). Kama una latency ndogo hata internet iwe na speed vipi huwezi kustream live utastream tu vitu ambavyo si live. Kujua zaidi kuhusu latency nenda thread hii
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...iwa-na-download-speed-kubwa-ndio-mzuri-2.html

Je software gani inatumika kustream hizo TV?
Kikawaida browser yenye flash au html5 inaweza kustream tv lakini ukitaka kustream vizuri zaidi software kama VLC au KODI ni muhimu. Kutokana na uhaba wa links za VLC nitazungumzia zaidi jinsi ya kutumuia KODI kuangalizia IPTV.

KODI ni nini?
KODI ni software (media centre) ambayo hutumika kuubadili muonekano wako wa simu uwe kama TV na kuweza kuenjoy TV unazotumia na inapatikana kwenye simu, tablet, computer hadi TV.
Kodi-devices-smudged.jpg


Kuidownload nenda website yao hii hapa chini, ni bure haiuzwi
Downloads | Kodi

Nikishadownload kodi nini kinafuatia?
Utahitaji ku install plugin ili uweze kuangalia TV online. Click video add on halafu chagua watchmojo, install halafu ifungue tuone kama itafanya kazi.
9vW4MHp.jpg


KODI imefanya kazi, je siwezi angalia mpira na vipindi vyengine?
Unaweza angalia mpira chanel unayotaka kuanzia za ki-Africa kama Super sport, za Ulaya kama Sky sport, za Asia kama Bein sport hadi za kimarekani kama NBC cha muhimu uwe na plugin (add ons) husika, hizi plugin za mpira na michezo mengine zinapatikana tu internet mfano mimi plugin yangu ninayotumia inaitwa Vdtube25 ina channel nyingi sana kuanzia mpira hadi movie.
zNbDtYR.jpg

PppArCw.jpg


Hio hapo juu sky sport 3

Uzuri wa hizi plugin za kodi zipo TV ni HD na nyengine ni full HD kabisa hivyo internet yako tu.

Malipo?
Kila kitu kuanzia juu hadi hapa ulipofikia ni bure hutoi pesa, ila hizi plugin za bure haziaminiki zipo za kulipia ambazo hazikati ovyo. Mimi sijawahi kulipa natumia tu bure ila kama unahitaji service nzuri zaidi unaweza kulipa ila pia kuwa makini na matapeli

Tutorial ya kuweka na mahala pa kupatia plugins
Plugin yangu ninayotumia ya vdtube25
https://seo-michael.co.uk/how-to-install-vdubt25-add-on-kodi-xbmc

Website hio hio pia utapata plugins nyingi.

Kama una swali lolote usisite kuuliza chini

nikisema asante haitoshi,kwangu mimi hili ni darasa tosha mkuu
 
Back
Top Bottom