Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Asante sana Mkuu. Zuku walishaniletea sms wakidai VAT imeongezeka na hivyo kifurushi kimepanda. Sasa nitakuwa najimwaga na KODI. Ubarikiwe!
 
habari chief... nimejaribu hio watchmojo ila sijafanikiwa kupata channel za muziki na sports,na vid25tubes sijaiona msaada mkuu!
Click video add on halafu utaona neno get more click hapo zitakuja list za add ons chagua unayotaka halafu download/install
 
Nashukuru sana CHIEF MKWAWA, nimekuwa natumia browser moja kwa moja ku stream soka, sas nitakuwa natumia hii. Je, za Supersport zipo kwenye add-on ipi?

Fata tutorial ya vdtube kuna add on nyingi sana tafuta humo zote Ni channel za mpira
 
Last edited by a moderator:
Tumezoea katika maisha yetu tukiangalia Tv basi huduma ile tunaipata kupitia madishi, cable au antenna. siku zinavyosogea mbele na technology ndivyo inavyokuwa na ndio jinsi madish na antenna vinavyopitwa wakati. leo kwenye uzi huu tutaangalia IPTV.

ni nini hii IPTV?
IPTV ni kifupi cha Internet Protocal TeleVision. hii ni aina ya uangaliaji tv kupitia mtandao wa internet ambapo kituo cha tv badala ya kutumia satelite dish au cable wenyewe wanarusha matangazo kwa intern

HATA hii nokia extramusic yangu inakamata?

Unaweza stream YouTube?
 
Tumezoea katika maisha yetu tukiangalia Tv basi huduma ile tunaipata kupitia madishi, cable au antenna. siku zinavyosogea mbele na technology ndivyo inavyokuwa na ndio jinsi madish na antenna vinavyopitwa wakati. leo kwenye uzi huu tutaangalia IPTV.

ni nini hii IPTV?
IPTV ni kifupi cha Internet Protocal TeleVision. hii ni aina ya uangaliaji tv kupitia mtandao wa internet ambapo kituo cha tv badala ya kutumia satelite dish au cable wenyewe wanarusha matangazo kwa internet.

unawezaje kuangalia IPTV?
utahitaji kifaa chenye internet na uwezo wa kustream ili kuweza kuangalia kama vile smartphone, tablet, laptop, desktop hadi tv zenye internet zinaweza kustream.

internet yenye speed gani inahitajika?
internet yoyote hata ya edge inaweza kustream ila iwe na latency nzuri, zipo stream zinahitaji speed ya 200kbps tu (25KBps). kama una latency ndogo hata internet iwe na speed vp huwwezi kustream live utastream tu vitu ambavyo si live. kujua zaidi kuhusu latency nenda thread hii
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...iwa-na-download-speed-kubwa-ndio-mzuri-2.html

je software gani inatumika kustream hizo tv?
kikawaida browser yenye flash au html5 inaweza kustream tv lakini ukitaka kustream vizuri zaidi software kama VLC au KODI ni muhimu. kutokana na uhaba wa links za vlc nitazungumzia zaidi jinsi ya kutumuia KODI kuangalizia IPTV.

KODI ni nini?
KODI ni software (media centre) ambayo hutumika kuubadili muonekano wako wa simu uwe kama tv na kuweza kuenjoy tv unazotumia na inapatikana kwenye simu, tablet, computer hadi tv
Kodi-devices-smudged.jpg

kuidownload nenda website yao hii hapa chini, ni bure haiuzwi
Downloads | Kodi

nikishadownload kodi nini kinafuatia?
utahitaji ku install plugin ili uweze kuangalia tv online. click video add on halafu chagua watchmojo, install halafu ifungue tuone kama itafanya kazi.
9vW4MHp.jpg

KODI imefanya kazi, je siwezi angalia mpira na vipindi vyengine?
unaweza angalia mpira chanell unayotaka kuanzia za ki Africa kama Super sport, za Ulaya kama Sky sport, za Asia kama Bein sport hadi za kimarekani kama NBC cha muhimu uwe na plugin (add ons) husika, hizi plugin za mpira na michezo mengine zinapatikana tu internet mfano mimi plugin yangu ninayotumia inaitwa Vdtube25 ina channell nyingi sana kuanzia mpira hadi movie.
zNbDtYR.jpg

PppArCw.jpg

hio hapo juu sky sport 3

uzuri wa hz plugin za kodi zipo tv ni HD na nyengine ni full HD kabisa hivyo internet yako tu.

malipo?
kila kitu kuanzia juu hadi hapa ulipofikia ni bure hutoi pesa, ila hz plugin za bure haziaminiki zipo za kulipia ambazo hazikati ovyo. mimi sijawahi kulipa natumia tu bure ila kama unahitaji service nzuri zaidi unaweza kulipa ila pia kuwa makini na matapeli

tutorial ya kueka na mahala pa kupatia plugins
plugin yangu ninayotumia ya vdtube25
https://seo-michael.co.uk/how-to-install-vdubt25-add-on-kodi-xbmc

website hio hio pia utapata plugins nyingi.

kama una swali lolote usisite kuuliza chini

Mkuu hii kitu inagoma kwenye android yangu ya huawei y530.. Unanisaidiaje?
 
Mkubwa nime install na imekubali sasa simu ilizima bt kila nikijaribu kurudi mpaka kwenye zile sky sports nakwama pale mwanzo, nafanyaje kuingia tena
 
Unakwama mwanzo wapi? Nenda video add on utazikuta list ya add on zote ulizozieka
 
Mkuu nikijaribu kuchagua jina la TV napokea ujumbe huu "one or more item failed to play, check the log book. Nn laweza kuwa tatizo chief maana step zote nimefata
 
hio ndio hasara ya plugin za bure si tv zote zinafanya kazi, ikikataa moja jaribu nyengine then utajua zipi zinazoonesha na zipi hazioneshi
 
Njunwa Wamavoko nimeona hao jamaa wa offside fee yao ni pound 11 ila hawajaspecify kama ni one time fee, kwa mwezi au kwa mwaka.

phoenix pia ninayo interface yake ya ukweli sana ila hawana tv nyingi kama vidtube,

then mimi naprefer windows over android kwenye kodi sababu ya games na emulators na nguvu ya kudownload
hqdefault.jpg

Hao offsidestream.com wana charge euro 10.99 monthly
ila content zao ziko smooth labdaa Music Package ndo nzito balaa
 
hio ndio hasara ya plugin za bure si tv zote zinafanya kazi, ikikataa moja jaribu nyengine then utajua zipi zinazoonesha na zipi hazioneshi
Finally nimeweza kuona baadhi ya tv .usichoke kutupa maujanja kama haya mkuu
 
Tumezoea katika maisha yetu tukiangalia Tv basi huduma ile tunaipata kupitia madishi, cable au antenna. siku zinavyosogea mbele na technology ndivyo inavyokuwa na ndio jinsi madish na antenna vinavyopitwa wakati. leo kwenye uzi huu tutaangalia IPTV.

ni nini hii IPTV?
IPTV ni kifupi cha Internet Protocal TeleVision. hii ni aina ya uangaliaji tv kupitia mtandao wa internet ambapo kituo cha tv badala ya kutumia satelite dish au cable wenyewe wanarusha matangazo kwa internet.

unawezaje kuangalia IPTV?
utahitaji kifaa chenye internet na uwezo wa kustream ili kuweza kuangalia kama vile smartphone, tablet, laptop, desktop hadi tv zenye internet zinaweza kustream.

internet yenye speed gani inahitajika?
internet yoyote hata ya edge inaweza kustream ila iwe na latency nzuri, zipo stream zinahitaji speed ya 200kbps tu (25KBps). kama una latency ndogo hata internet iwe na speed vp huwwezi kustream live utastream tu vitu ambavyo si live. kujua zaidi kuhusu latency nenda thread hii
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...iwa-na-download-speed-kubwa-ndio-mzuri-2.html

je software gani inatumika kustream hizo tv?
kikawaida browser yenye flash au html5 inaweza kustream tv lakini ukitaka kustream vizuri zaidi software kama VLC au KODI ni muhimu. kutokana na uhaba wa links za vlc nitazungumzia zaidi jinsi ya kutumuia KODI kuangalizia IPTV.

KODI ni nini?
KODI ni software (media centre) ambayo hutumika kuubadili muonekano wako wa simu uwe kama tv na kuweza kuenjoy tv unazotumia na inapatikana kwenye simu, tablet, computer hadi tv
Kodi-devices-smudged.jpg

kuidownload nenda website yao hii hapa chini, ni bure haiuzwi
Downloads | Kodi

nikishadownload kodi nini kinafuatia?
utahitaji ku install plugin ili uweze kuangalia tv online. click video add on halafu chagua watchmojo, install halafu ifungue tuone kama itafanya kazi.
9vW4MHp.jpg

KODI imefanya kazi, je siwezi angalia mpira na vipindi vyengine?
unaweza angalia mpira chanell unayotaka kuanzia za ki Africa kama Super sport, za Ulaya kama Sky sport, za Asia kama Bein sport hadi za kimarekani kama NBC cha muhimu uwe na plugin (add ons) husika, hizi plugin za mpira na michezo mengine zinapatikana tu internet mfano mimi plugin yangu ninayotumia inaitwa Vdtube25 ina channell nyingi sana kuanzia mpira hadi movie.
zNbDtYR.jpg

PppArCw.jpg

hio hapo juu sky sport 3

uzuri wa hz plugin za kodi zipo tv ni HD na nyengine ni full HD kabisa hivyo internet yako tu.

malipo?
kila kitu kuanzia juu hadi hapa ulipofikia ni bure hutoi pesa, ila hz plugin za bure haziaminiki zipo za kulipia ambazo hazikati ovyo. mimi sijawahi kulipa natumia tu bure ila kama unahitaji service nzuri zaidi unaweza kulipa ila pia kuwa makini na matapeli

tutorial ya kueka na mahala pa kupatia plugins
plugin yangu ninayotumia ya vdtube25
https://seo-michael.co.uk/how-to-install-vdubt25-add-on-kodi-xbmc

website hio hio pia utapata plugins nyingi.

kama una swali lolote usisite kuuliza chini

Mkuu umetisha.lkn supersport siioni.ahsnte
 
Kupata hiyo unatumia plugin gan na inapatikana wapi

1.Install Xunity Talk repository from Zip
2.Nenda Get add-ons>>>>video add-ons au All add-ons
3.Utaiona Offside streams

lakini inakudai uwe na acct yao ukitaka ku test perfomance yao sign up katika tovuti yao kwa hii card

Full Name : S CHHABRACredit Card Number : 4375511745826003
CVC : 698
Expiration Date : 12/2017
 
Back
Top Bottom