E bana hiyo red siifahamu naomba ufafanuzi please.Nakubaliana na wewe lakini usije ukakosea step ukadhani wanaume wote wa siku hizi wote wako hivyo, angalia usije kuangukia kwa walaji wa gole na asali asubuhi, mchana tende na pilau a samli fresh na tende pembeni+vitunguu maj na pili pili za kusaga pembeni+ fresh juice ya tikiti maji unaweza na wewe ukakimbia :biggrin1:
Siku hizi hakuna wanaume kama hao, wale walikuwa
wanakula dona, siku hizi huu mwendo wa Chips kuku
ni kwa mwezi mara moja tu. Wale ndo walikuwa wanaume
bana, siku hizi kuna watoto wa kiume tu, hereni sikioni suruali
makalioni, legelege mtaani mpaka kitandani.
mfano ungekuwa ni wewe ungelimudu hilo jembe,maana tatizo hapa sio chips kuku tatizo hapa ni kufanya ngono kama ubwabwa.Siku hizi hakuna wanaume kama hao, wale walikuwa
wanakula dona, siku hizi huu mwendo wa Chips kuku
ni kwa mwezi mara moja tu. Wale ndo walikuwa wanaume
bana, siku hizi kuna watoto wa kiume tu, hereni sikioni suruali
makalioni, legelege mtaani mpaka kitandani.
Ha ha haaa najua unataka ujiandae kwa viroba na Viagra
wenzenu walikuwa hawana maandalizi kama hayo.
Habari zenu waungwana.
Leo nimekumbuka kisa cha siku nyingi kidogo. Ni binamu yangu
ambaye aliolewa na jamaa mmoja ambaye alikuwa anafanya kazi
POSTA na SIMU kabla hazijajitenga.
Siku moja alirudi nyumbani na mabegi yake na kudai kuwa hataki
tena kurudi kwa yule Mume. Ilikuwa ni ngumu sana kuelezea kisa cha
tatizo lakini mumewe alipokuja na kikao cha pande mbili kilipofanyika
ndipo Binamu yetu alipokuja na malalamiko hayo ya aina yake akidai
kuwa amechoka na huyo mwanaume kwani kila siku ye anataka tu,
yaani akirudi "kazini
kabla hata ya kuuliza chakula ye anataka**** kwanza". Ilikuwa ni vigumu
kumshawishi binti kurudi kwa yule mwanaume na ilishindikana kabisa.
Baadae yule jamaa alikuja kuoa mwanamke mwingine ambaye naye alikaa
naye mwaka mmoja tu kisha wakaachana kwa sababu kama zilezile, sifahamu
kilichoendelea kwani baada ya POSTA NA SIMU kuvunjika jamaa alihamishiwa
BUKOBA.
Je kuna uhalali wa kuachana na mume kwa sababu ya kutaka kila siku?
we huoni hilo jina lake.Duh! wenzio wanalalamika we unasifia?
Siku hizi hakuna wanaume kama hao, wale walikuwa
wanakula dona, siku hizi huu mwendo wa Chips kuku
ni kwa mwezi mara moja tu. Wale ndo walikuwa wanaume
bana, siku hizi kuna watoto wa kiume tu, hereni sikioni suruali
makalioni, legelege mtaani mpaka kitandani.
Kuna post humu inasema wanaume wa siku hizi hawana uwezo
kitandani wanapigana vikumbo kwa wataalamu wa tiba za asili
hebu badilisheni mfumo wa vyakula kwanza, si unaona wenzenu hao
wao walikuwa wanatafuta Speed gavanor (vipunguza mwendo)
nyinyi mnatafuta vizidisha mwendo matokeo yake magari yanakuwa
mchuzi juu.
Gole ni neno linatumiwa na wale wa zanzibar, sisi wa bara tunaita mkate wa maji.E bana hiyo red siifahamu naomba ufafanuzi please.
Ha ha haaa najua unataka ujiandae kwa viroba na Viagra
wenzenu walikuwa hawana maandalizi kama hayo.
Wanaume wengiwanaotamka haya maneno huwa hamna lolotehuyo jamaa km mimi........napiga mashine mpaka mwanamke aombe pooo
Kwenye vikao vyetu visivyo rasmi(Saluni n.k) tunasimuliana haya mambondo yale yale ya NIMEZUNGUKA DUNIA NZIMA SIJAONA MWANAUME KAMA "YE....",WAkati kwangu hajapita