Kila siku ye anataka tu, Mchana akirudi kazini usiku.....

wanawake wa Bukoba wanahimili hiyo
michezo kwani katerero ndio ngumu kuliko hako ka mchezo
kwa kuchovya na kuchomeka kaa chamdarua ya malaria
Hii kitu naisikia sana lakini nimeshindwa kuelewa inakuwaje!
 
Nakubaliana na wewe lakini usije ukakosea step ukadhani wanaume wote wa siku hizi wote wako hivyo, angalia usije kuangukia kwa walaji wa gole na asali asubuhi, mchana tende na pilau a samli fresh na tende pembeni+vitunguu maj na pili pili za kusaga pembeni+ fresh juice ya tikiti maji unaweza na wewe ukakimbia :biggrin1:
E bana hiyo red siifahamu naomba ufafanuzi please.
 
Siku hizi hakuna wanaume kama hao, wale walikuwa
wanakula dona, siku hizi huu mwendo wa Chips kuku
ni kwa mwezi mara moja tu. Wale ndo walikuwa wanaume
bana, siku hizi kuna watoto wa kiume tu, hereni sikioni suruali
makalioni, legelege mtaani mpaka kitandani.

Tafadhali bwana.
Hebu acha kutu judge wanaume wote kwa ulegelege wa bwana wako.
Pita njia hii na kwake hautarudi.
 
Siku hizi hakuna wanaume kama hao, wale walikuwa
wanakula dona, siku hizi huu mwendo wa Chips kuku
ni kwa mwezi mara moja tu. Wale ndo walikuwa wanaume
bana, siku hizi kuna watoto wa kiume tu, hereni sikioni suruali
makalioni, legelege mtaani mpaka kitandani.
mfano ungekuwa ni wewe ungelimudu hilo jembe,maana tatizo hapa sio chips kuku tatizo hapa ni kufanya ngono kama ubwabwa.
 
Ngono,,NGONO, Ngono,NGONO,Ngono,NGONO,Ngono,NGONO,NGONO,Ngono,NGONO,Ngono,NGONOOOOOOOOOOOOOO!!!
 
Ha ha haaa najua unataka ujiandae kwa viroba na Viagra
wenzenu walikuwa hawana maandalizi kama hayo.

Acha hizo wewe wengine mbona unachomoa kiaina??
hatutumii hayo makitu bhana tunayasikia tu.
 
Hata mie ningekimbia mwenzangu, kisa cha kun'zeesha mtoto wa watu?!
 
Habari zenu waungwana.
Leo nimekumbuka kisa cha siku nyingi kidogo. Ni binamu yangu
ambaye aliolewa na jamaa mmoja ambaye alikuwa anafanya kazi
POSTA na SIMU kabla hazijajitenga.

Siku moja alirudi nyumbani na mabegi yake na kudai kuwa hataki
tena kurudi kwa yule Mume. Ilikuwa ni ngumu sana kuelezea kisa cha
tatizo lakini mumewe alipokuja na kikao cha pande mbili kilipofanyika
ndipo Binamu yetu alipokuja na malalamiko hayo ya aina yake akidai
kuwa amechoka na huyo mwanaume kwani kila siku ye anataka tu,
yaani akirudi "kazini
kabla hata ya kuuliza chakula ye anataka**** kwanza". Ilikuwa ni vigumu
kumshawishi binti kurudi kwa yule mwanaume na ilishindikana kabisa.

Baadae yule jamaa alikuja kuoa mwanamke mwingine ambaye naye alikaa
naye mwaka mmoja tu kisha wakaachana kwa sababu kama zilezile, sifahamu
kilichoendelea kwani baada ya POSTA NA SIMU kuvunjika jamaa alihamishiwa
BUKOBA.

Je kuna uhalali wa kuachana na mume kwa sababu ya kutaka kila siku?


Huyo jamaa alikuwa anawabaka wake zake ndiyo maana walikuwa wanamkimbia. Sasa mtu kafika toka kazini wakati anaandaliwa chakula anataka ku-do kwanza? Hayo maandalizi kwa mwenzie aliyafanya saa ngapi? Na hiyo raha ya hiyo kitu hao wake zake wangeipataje? Inapaswa kuwa na kiasi, too much of anything is harmful kwa kweli.
Naona ni halali walivyomkimbia!!
 
Siku hizi hakuna wanaume kama hao, wale walikuwa
wanakula dona, siku hizi huu mwendo wa Chips kuku
ni kwa mwezi mara moja tu. Wale ndo walikuwa wanaume
bana, siku hizi kuna watoto wa kiume tu, hereni sikioni suruali
makalioni, legelege mtaani mpaka kitandani.

Haya bhana Mcharuko nashindwa kukubishia kwa sababu usemayo ni kweli lakini umetudharau!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kuna post humu inasema wanaume wa siku hizi hawana uwezo
kitandani wanapigana vikumbo kwa wataalamu wa tiba za asili
hebu badilisheni mfumo wa vyakula kwanza, si unaona wenzenu hao
wao walikuwa wanatafuta Speed gavanor (vipunguza mwendo)
nyinyi mnatafuta vizidisha mwendo matokeo yake magari yanakuwa
mchuzi juu.

•Haaaaaaaaaa umenikumbusha mbali sana! Moja tulikua na gari bovu miss kibao nadhani ni system ya kizaman carbulator ikizima tunanyonya kiwese tunamwagia juu ya kifuniko kutafuta levo haaa!
•pili wimbo wa Wagosi long sana kama kitu cha 2005 hivi,"wali jaa na mchuzi juu" yaani wali wa jana na mchuzi wa juzi,nyeti hiyo!
 
ndo yale yale ya NIMEZUNGUKA DUNIA NZIMA SIJAONA MWANAUME KAMA "YE....",WAkati kwangu hajapita
Kwenye vikao vyetu visivyo rasmi(Saluni n.k) tunasimuliana haya mambo
Wengi wana matatizo bana msitake kubisha watu wamelegea kuanzia mtaani
mpaka vitandani.

Legelege wanaume,Mtaani kitandani
acheni mimi niseme,sifa zao mdomoni
Umewaisha udume,wamebaki ishirini
Twawagombea wachache, wanaume walobaki.

Mkirua aliaanza, Kwa mbwembwe na majigambo
Mara tu alipoanza, Kajichokea kitambo
ukamuisha ujanja, ukawa mwisho wa Tambo
Twawagombea wachache, wanaume walobaki
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom