Kila siku ye anataka tu, Mchana akirudi kazini usiku.....

Tafadhali bwana.
Hebu acha kutu judge wanaume wote kwa ulegelege wa bwana wako.
Pita njia hii na kwake hautarudi.
Unataka uanze maandalizi ya nguvu? Najua lazima
utafute mtaalamu la sivyo hakuna kitu hasa wewe
unaekesha ukiwa umepakata LAPTOP
 
tatizo sio kutaka tu.....

je alipokuwa anataka alikuwa anamuandaa mwenzie? au ndo kuparamiana tu kila siku binti wa watu auguze michubuko...

je alikuwa anajali hisia za mwenzie?

je alikuwa anaangalia na majukumu ya mwenzie? au mradi mihemko imempanda basi amparamie?

yaani akirudi hata kuzungumza na mkeo hamzungumze direct kuparamiana?

wanaume wanasahau kuwa wanawake wanaendeshwa kwa hisia, na maandalizi huanzia toka uko ofisini, unaweza mpigia mkeo mkazungumza, ukirudi keti na mkeo cheka nae , msikilize magumu yake, kama anapika nenda hata jikoni mchekeshe mfanye awe na hamu na wewe then maromance na ku-duu,

usikute mke ana frustration zake mume hamuulizi hata mkewe, hampetipeti anakimbilia kumpandia loh nani anataka mambo hayo....halafu ukute mara mbili kwa siku bao 3 (2x3=6 kwa siku, 42 kwa wiki) walaahiii hapo mke lazima afungashe...
 
Unataka uanze maandalizi ya nguvu? Najua lazima
utafute mtaalamu la sivyo hakuna kitu hasa wewe
unaekesha ukiwa umepakata LAPTOP

taratibu mtoto wa kike.
sipakati laptop bali nakamata tablet.
sihiitaji maandalizi yoyote wa wachumba kama wewe
 
Ngono,,NGONO, Ngono,NGONO,Ngono,NGONO,Ngono,NGONO,NGONO,Ngono,NGONO,Ngono,NGONOOOOOOOOOOOOOO!!!
Mi nadhani hakuna tatizo kwani ni kitu ambacho kila
siku hasa usiku kinafanyika, si dhambi kwa upande mmoja
wakati kwa upande mwingine ni dhambi yaani inategemea.......
hivyo kama hatujisikii tunaweza kuhamia kwenye spot au
zile mada zetu zinazoongeza stress
 
Anataka tuuuuuuuu. Alikuwa anataka upande gani? Inawezekana anataka upande uliokatazwa sasa kwanini wasikimbie?
 
O.k nimekubali ombi lako ila itabidi tufanye kwa kushtukiza ili usitafute viagra.We bwana hata ukibisha ukweli ndo unabaki hivyo
 
TIGO haikuwapo kabisa miaka hiyo,
baada ya wanaume kuwa hawana nguvu,
ndo wanatafuta sehemu tofauti tofauti
hata mmefikia kurudi kule kwa nn nya.

sio kwamba TIGO ilikua inahusika ndio maana wahusika walikua wanasepa?
 
tehe najua watoto wa ki haya waliweza ku handle libido za jamaa, si unajua watoto wa kihaya tena lzm walimchanganya kwa katerero
 
Siku hizi hakuna wanaume kama hao, wale walikuwa
wanakula dona, siku hizi huu mwendo wa Chips kuku
ni kwa mwezi mara moja tu. Wale ndo walikuwa wanaume
bana, siku hizi kuna watoto wa kiume tu, hereni sikioni suruali
makalioni, legelege mtaani mpaka kitandani.

hahaha mtachonga sana tuu lakini mwisho wa siku lazima mtapata dushelele zetu ata kama mnasema tupo lege lege
 
Katika maadiko matakatifu yanasema hivi mwanamke ni halali kwa mumewe hivyo anastahili kupewa kilicho chake muda wowote mahitaji yanapowasilishwa vivyo hivyo mwanamume ni halali kwa mkewe kwa hiyo kijana yule kutaka kila mara aludipo kazini ilikuwa halali yake kwanza alikuwa anaiheshimu ndoa yake badala ya kuhangaika nje yeye alikuwa anapeleka matatizo yake nyumbani kwa chaguo lake . wanaopingana na wazo hili nawauliza endapo kijana huyo angeamua kutofanya uaminifu kwa mkewe kila alipohitaji angepita nyumba ndogo kumaliza shida zake maelewano yangekuwaje siku ambayo angehisi mume wake kapita sehemu nyingine?????????? na kwa bahati mbaya siku hiyo mkewe naye pengine alikuwa amejiandaa kufurahi na mke wake???? kipindi hiki cha maradhi mengi badala ya kuhangaika kwenda zaidi nje shida unamalizia nyumbani hata kama ni kila saa nini siku. hivyo huyo dada hakumtendea haki mume wake au hakuyazingatia vizuri maandiko matakatifu.
 
Kutokana na sheria za dini kuna uhalali, sababu tendo la ndoa sio la kulazimishana...ndo mana mwanaume anapotaka kuoa, anatakiwa awe kakamilika kiakili, lazima awe anafahamu sex itakuwa nzuri kama mwanamke yule ataifurahia hio ya kufanya kila siku kama mwenamke hapendezewi inaitwa kero sio sex tena.

Tena wanakupa na mistari ya kutosha kwamba kila kitu kifanyike 'kwa kiasi'
 
TIGO haikuwapo kabisa miaka hiyo,
baada ya wanaume kuwa hawana nguvu,
ndo wanatafuta sehemu tofauti tofauti
hata mmefikia kurudi kule kwa nn nya.
Tigo ilikuwepo tokea enzi za sodoma na gomora wewe!, sema kipindi hicho ilikua ngumu kwa mwanamke kusema kwamba kafanyiwa unyama.
 
Siku hizi hakuna wanaume kama hao, wale walikuwa
wanakula dona, siku hizi huu mwendo wa Chips kuku
ni kwa mwezi mara moja tu. Wale ndo walikuwa wanaume
bana, siku hizi kuna watoto wa kiume tu, hereni sikioni suruali
makalioni, legelege mtaani mpaka kitandani.

Lakini hata hao wa dona, kwa kasi ya kutwa mara tatu kama panadol?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom