Kila siku ye anataka tu, Mchana akirudi kazini usiku.....

Mi nadhani hakuna tatizo kwani ni kitu ambacho kila
siku hasa usiku kinafanyika, si dhambi kwa upande mmoja
wakati kwa upande mwingine ni dhambi yaani inategemea.......
hivyo kama hatujisikii tunaweza kuhamia kwenye spot au
zile mada zetu zinazoongeza stress
nice guessing,,,
 
Huyo ndio mwanamme wa shoka,sio wale wanao piga bao mpaka wakezao wanalalamika hawapati hakizao,huyo kashiba maziwa ya mamake haswaaaa! wengine ah akirudi nyumbani unasikia aaaah niwache mie nna stress kibao au anasingizia
anaumwa ilimradi tuu na siku akisema ana do ndio ohhhhhhh dakika 5 nyingi na mikelele teleeee....
 
Siku hizi hakuna wanaume kama hao, wale walikuwa
wanakula dona, siku hizi huu mwendo wa Chips kuku
ni kwa mwezi mara moja tu. Wale ndo walikuwa wanaume
bana, siku hizi kuna watoto wa kiume tu, hereni sikioni suruali
makalioni, legelege mtaani mpaka kitandani.
Tutake radhi, inawezekane uliyenaye ndo legelege, there are still chip of the old block around
 
Kwenye vikao vyetu visivyo rasmi(Saluni n.k) tunasimuliana haya mambo
Wengi wana matatizo bana msitake kubisha watu wamelegea kuanzia mtaani
mpaka vitandani.

Legelege wanaume,Mtaani kitandani
acheni mimi niseme,sifa zao mdomoni
Umewaisha udume,wamebaki ishirini
Twawagombea wachache, wanaume walobaki.

Mkirua aliaanza, Kwa mbwembwe na majigambo
Mara tu alipoanza, Kajichokea kitambo
ukamuisha ujanja, ukawa mwisho wa Tambo

Twawagombea wachache, wanaume walobaki

Mcharuko ado ado,wakale walituasa
Maji tulivu ya mto, huchukua nakuasa
Acha kucharukia mamba, mto bado kuvuka.

Wengi walidharau,moto ukawatokosa

Mkirua mjaribu, utajilaumu kumkosa
Acha kucharukia mamba, mto bado kuvuka.

Tamati nimefika,usihofu kilele utafika
Waliojaribu wametweta, Hakika wametosheka
Acha kucharukia mamba, mto bado kuvuka.
 
Habari zenu waungwana.
Leo nimekumbuka kisa cha siku nyingi kidogo. Ni binamu yangu
ambaye aliolewa na jamaa mmoja ambaye alikuwa anafanya kazi
POSTA na SIMU kabla hazijajitenga.

Siku moja alirudi nyumbani na mabegi yake na kudai kuwa hataki
tena kurudi kwa yule Mume. Ilikuwa ni ngumu sana kuelezea kisa cha
tatizo lakini mumewe alipokuja na kikao cha pande mbili kilipofanyika
ndipo Binamu yetu alipokuja na malalamiko hayo ya aina yake akidai
kuwa amechoka na huyo mwanaume kwani kila siku ye anataka tu,
yaani akirudi "kazini
kabla hata ya kuuliza chakula ye anataka**** kwanza". Ilikuwa ni vigumu
kumshawishi binti kurudi kwa yule mwanaume na ilishindikana kabisa.

Baadae yule jamaa alikuja kuoa mwanamke mwingine ambaye naye alikaa
naye mwaka mmoja tu kisha wakaachana kwa sababu kama zilezile, sifahamu
kilichoendelea kwani baada ya POSTA NA SIMU kuvunjika jamaa alihamishiwa
BUKOBA.

Je kuna uhalali wa kuachana na mume kwa sababu ya kutaka kila siku?

huko bukoba itakuwa walimuweza,maana nao..
 
Kwenye vikao vyetu visivyo rasmi(Saluni n.k) tunasimuliana haya mambo
Wengi wana matatizo bana msitake kubisha watu wamelegea kuanzia mtaani
mpaka vitandani.

Legelege wanaume,Mtaani kitandani
acheni mimi niseme,sifa zao mdomoni
Umewaisha udume,wamebaki ishirini
Twawagombea wachache, wanaume walobaki.

Mkirua aliaanza, Kwa mbwembwe na majigambo
Mara tu alipoanza, Kajichokea kitambo
ukamuisha ujanja, ukawa mwisho wa Tambo
Twawagombea wachache, wanaume walobaki

Definitely i can tell u one thing Mcharuko, sio kweli kwamba hawana nguvu bali ni Umalaya wa wanaume. Wanaume waseme hapa ukweli, trust me , mwanaume yeyote ambaye ana wanawake wengi Mechi ya huko nje ana-perform balaa, yaan hata wewe mcharuko ukim-meet siku ya kwanza utakubali jamaa kiwango bt kwa mkewe performance zero....sasa why inakuwa hivi?
reason kubwa ni tatizo la kisaikolojia, kwamba akiwa na mwanamke mpya anakuwa na hamu naye, while akishamzoea hamu zinamuisha hence poor performance...yaan anakuwa havutiwi tena kimapenz na huyo mke/gf wake. wanaume mlioko hapa bishen hili kama sio kweli....
pili kuna kule kujiachia achia kwa wife kila wakat yuko uchi mbele yako kias kwamba hata msisimko wa kumkandamiza unaisha maana ushazoea kuona that breast, mapaja nk...bt ukionyeshwa vya huko nje....oooh my god msisimko balaa..unakandamiza mpaka mwanamke anaomba maji ya kunywa katikati ya gemu.
tatu: Wanawake wengi wa Kibongo ni kama Boga kitandani...hawajui kabisa kujituma...kazi yao kulala tu na kusubiri wapewe mambo...yaan inabore kweli...wao wanasubir waambiwe kaa hivi, afanyiwe vile yaan aaagh full kubore..hawajui wapi mwanaume ashikwe apate hamasa, hawajui nin wazungumze kimvutie/kimsisimue mwanaume...yaan hata wao wanachangia by 55% kwa hili. nina experience ya wanawake 4 up to now, 3 zero kabisa, 1 tu ndo alikuwa anajituma tuma n guess what, the match was superb... yaan classic haswaaa!!
 
Baelezee kamanda moshi....
Well argued!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom