Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,237
Mimi ni mfanyakazi na kikwete hataki kura yangu mimi nina baba na mama yangu kule kijijini, nina kaka na dada zangu pia, lakini nina marafiki wengi wa kike na kiume, nina ndugu wengi wanaonitegemea babu na bibi zangu wapo hai kule kijijini kwa kweli nimetekeleza wajibu wangu kwa kuwaeleza jinsi ccm ilivyotufikisha mpaka hapa tulipo miaka 50 baada ya kuwa huru na mbinu zao wazitumiazo na nimewaambia kuwa pilau wale na pombe wanywe, kanga wachukue,kofia wavae,matamasha ya ccm wahudhurie tu ili japo nao wafaidi keki ya taifainayoibwa na ccm ila wamekubali na wameaapa kuwa kamwe hawatompigia kura kikwete na ccm yake........
NINGEKUWA MTU WA AJABU KM NISINGETEKELEZA WAJIBU HUU NILIOUTEKELEZA, WAFANYAKAZI WENZANGU NA WALE WOTE WAPENDA MAENDELEO MMEFANYA HAYA?
NINGEKUWA MTU WA AJABU KM NISINGETEKELEZA WAJIBU HUU NILIOUTEKELEZA, WAFANYAKAZI WENZANGU NA WALE WOTE WAPENDA MAENDELEO MMEFANYA HAYA?