Elections 2010 Kila mfanyakazi na mpenda maendeleo akifanya hivi CCM baibai

Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
17,670
13,236
Mimi ni mfanyakazi na kikwete hataki kura yangu mimi nina baba na mama yangu kule kijijini, nina kaka na dada zangu pia, lakini nina marafiki wengi wa kike na kiume, nina ndugu wengi wanaonitegemea babu na bibi zangu wapo hai kule kijijini kwa kweli nimetekeleza wajibu wangu kwa kuwaeleza jinsi ccm ilivyotufikisha mpaka hapa tulipo miaka 50 baada ya kuwa huru na mbinu zao wazitumiazo na nimewaambia kuwa pilau wale na pombe wanywe, kanga wachukue,kofia wavae,matamasha ya ccm wahudhurie tu ili japo nao wafaidi keki ya taifainayoibwa na ccm ila wamekubali na wameaapa kuwa kamwe hawatompigia kura kikwete na ccm yake........

NINGEKUWA MTU WA AJABU KM NISINGETEKELEZA WAJIBU HUU NILIOUTEKELEZA, WAFANYAKAZI WENZANGU NA WALE WOTE WAPENDA MAENDELEO MMEFANYA HAYA?
 
Yup..ngoma inatakiwa iende kama chain-reaction...Kila unayemwambia naye anasambaza kwa rafiki zake.....Mwisho wa siku 3/4 ya nchi wamebadilika!
 
It is possible and it begins with you...
yup..ngoma inatakiwa iende kama chain-reaction...kila unayemwambia naye anasambaza kwa rafiki zake.....mwisho wa siku 3/4 ya nchi wamebadilika!
 
Natamani kila mmoja angefanya hivi pengine tungewewza kutoka hapa tulipokwama kwa miaka zaidi ya 50 baada ya uhuru
 
Utakuwa umesaidia kuokoa taifa...........mwambie na huyo jamaa afanye hivyo pia pengine twaweza kufika japo tutakuwa tumechoka
mkuu jile79 strategy nzuri sana ya ushindi hiyo. Naanza sasa hivi
 
Yup..ngoma inatakiwa iende kama chain-reaction...Kila unayemwambia naye anasambaza kwa rafiki zake.....Mwisho wa siku 3/4 ya nchi wamebadilika![/IMG][/URL]

Kweli mkuu kwani kila mmoja akinunua vocha ya booku mbili tu na akaitumia kuwaelimisha ndugu na jamaa zake nyumbani basi tutakuwa tumepiga kahatua, si unaona hata kwenye TV wanavyombania Dr Slaa, wengine wote wanaonyeshwa wakiwa wanatangaza sera zao inapofika zamu ya Chadema na Slaa basi huonyeshwa akiwa kwenye jukwaa huku mtangazaji akielezea eg Mgombea wa chadema amelalamikia kitendo cha Mr Tendoowa and braaabraaabraaa then out and black,,,,,,fs$t*n
 
kweli mkuu kwani kila mmoja akinunua vocha ya booku mbili tu na akaitumia kuwaelimisha ndugu na jamaa zake nyumbani basi tutakuwa tumepiga kahatua, si unaona hata kwenye tv wanavyombania dr slaa, wengine wote wanaonyeshwa wakiwa wanatangaza sera zao inapofika zamu ya chadema na slaa basi huonyeshwa akiwa kwenye jukwaa huku mtangazaji akielezea eg mgombea wa chadema amelalamikia kitendo cha mr tendoowa and braaabraaabraaa then out and black,,,,,,fs$t*n

dk slaa go, dk slaa is a king. Yes we can.

Mimi nimewaambia hivyo na wamekubali kabisa. Kule kijijini ndugu zangu wote wamekubali.

Nina kura zaidi ya 20 kwenda kwa dk slaa.

Dk slaa oyeeeee!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom