Kikwete: Waliochochea ukabila ndio wanachochea udini leo...

Status
Not open for further replies.
Wakati sheikh Mohamed Issa, KUNDECHA, BASALEH, BUNGO, PONDA na wengine wanazunguka nchi nzima kutukana kanisa na kukisema vibaya kanisa na CHADEMA mbona mlikaa kimya bila kukemea?, mlikuwa mnakenua kwa kudhani ni mazuri. MOD pse acha ukweli usemwe na hawa wafitinishaji CCM waumbuke ikibidi siku moja wawaombe radhi WATANZANIA kwa hali hii waliyotufikisha.
Mkuu hao kwao wanakuambia kuchanganya dini na siasa kwao ni sawa. ila tatizo lipo kwa wakatoliki hawapwasi waongelee siasa wakigusa tu hilo eneo tayari washaambiwa ni wadini
Hao mashehe wote wamemuombea kura kikwete misikiti yote Tz wakiongwazwa na Shehe Basahle. Kwa wenyehe kwao si udini, na je? Walilipwa kiasi gani cha pesa? Na ndo maana hata selikari ifanye makosa ya aina yyote hutosikia wanakemea kwa sababau washatiwa mfukoni. h
 
Kauli ya J.K kuwa kuna watu walijaribu kuwagombanisha watanzania kwa kutumia ukabila wakashindwa na kwamba sasa wanatumia udini ni ishara kuwa Mungu ameamua CCM wajiumbue wenyewe kwani CCM na wapambe wao walikuwa mstari wa mbele kuwahadaa wananchi kuwa kuna vyama vya siasa vya ukabila dhana ambayo ilishindwa kama JK mwenyewe alivyokiri jana na hili la udini aliloliasisi mwaka 2010 na kulilea kwa serikali yake kuachia mihadhara ya kukashifu kanisa ikifanywa nchi nzima bila kificho ili mradi pia wahubiri hao wakikisema vibaya CHADEMA. Rais na serikali yake ya CCM waliona hilo halina madhara bora CHADEMA inasemwa vibaya na wahadhiri hao. Leo anapokuja JK na kusema hayo anayoyasema huo ni UNAFIKI, nchi imefika hapa ilipo kwa udhaifu wake na upuuzi wa CCM.
Naomba watanzania tuukatae unafiki huu. Tulikataa kugawanywa na CCM kwa ukabila na sasa tusikubali kugawanywa na CCM kwa udini.

Poor u ur playing a game which u don't know
 
Nilijua tu, angejitokeza mwanamagamba au "mshikaji" wao kama huyu CUF ngangari kuwatetea. CUF ngangari ana hasira za kuitwa "mchumba" wa CCM. Kwa posting hii amejitanabaisha si mchumba tu bali mke kabisa. Mwacheni aone uchungu jamani; mumewe aumbuliwe na yeye akae kimya?
LIPMBA, JK lao moja, ukimsikia yeyote kati yao anekemea udini na ukabila ujue anachofanya ni UNAFIKI, wote laana tupu.
 
Poor u ur playing a game which u don't know

4701135_orig.jpg
 
Mkuu hao kwao wanakuambia kuchanganya dini na siasa kwao ni sawa. ila tatizo lipo kwa wakatoliki hawapwasi waongelee siasa wakigusa tu hilo eneo tayari washaambiwa ni wadini
Hao mashehe wote wamemuombea kura kikwete misikiti yote Tz wakiongwazwa na Shehe Basahle. Kwa wenyehe kwao si udini, na je? Walilipwa kiasi gani cha pesa? Na ndo maana hata selikari ifanye makosa ya aina yyote hutosikia wanakemea kwa sababau washatiwa mfukoni. h
. Hayo yote ni kweli mkuu, unajua hapa hatumteti mtu wala si kwamba tunamchukia JK kwa sababu ya dini yake, hapa tunakememea tabia hii mbovu ya UNAFIKI WA JK na CCM yake. Hao mashehe ni untouchable ukiweka na radio iman ya Morogoro.
 
Mtu akiwa nyuma ya keyboard anajiamini.Jitokezeni hadharani mseme hayo maneno machafu machafu muone.Huu ni ushamba kutukana viongozi hovyo
Na ni upuuzi kutetea maovu ya hao unaowaita viongozi wako. Yaani unataka tuwe tunasifia tu uendawazimu wa vilaza kama KIWETE? Hizi siyo zama za Zidumu fikra sahihi za M/Kiti. Unless wewe ni mhemeaji wa Ikulu, huna sababu za kuwaziba midomo watu kutoa maoni yao. Sasa unataka tujitokeze hadharani, kwani Dr. Slaa huwa anambutua M.k.w.e.r.e akiwa kwenye mahandaki au? Mbona hamumfanyi chochote na kinyume chake Policcm wanamlinda jukwaani hadi atakapomaliza kumchana Kilaza JK?
 
Nadhani ni raisi wetu aliyewahi kusema Wachungaji wanajihusisha ba biashara ya sembe-haram, mie nilishangaa sana kinywa Cha rais kufanya Kazi Za msemaji wa polisi lakini pia kwenda mbali Na kuachia kinywa chake kuwatenga watu wake watanzania Kwa misingi ya udini.. Kwanini asingesema wapo watanzania wanaofanya bizines hiyo?!,

Kumtamka kiongozi wa Dini au wadhifa wake kwenye mabaya ni udhaifu mkubwa Kwa kiongozi
Naam, ni JK yuleyule aliyesema na haya- WEZI WA EPA HAWAKAMATIKI UKIWAKAMATA NCHI ITAYUMBA; SIMJUI MWENYE RICHMOND WALA YEYE HANIJUI; WATOTO WA KIKE WANAOPATA MIMBA WANAPATA KWA KWASABABU YA VIHERERE VYAO, duh ni mengi mno mpaka kinyaa
 
.
Jk tungemuona muungwana kama tu angeomba radhi direct ya kuligawanya taifa kiukabila/ukanda na udini badala ya kujaribu kuomba radhi indirect.
.
Timam kabisa, aseme bila konakona angeweza kwenye hotuba (porojo) yake ya mwezi huu kuwa mimi JK na CCM tulitumia kete ya ukabila kwa wapinzani wetu wa kisiasa tukashindwa na 2010 tukatumia ya udini tukafanikiwa kidogo ila sasa tumeona madhara ya kutumia udini kuingia IKULU hivyo mimi JK na CCM TUNAOMBA RADHI watanzania. Aongeze na mengine ila hatutamsamehe
 
..suala hili alitakiwa alizungumzie akiwa D'Salaam ambako udini unaelekea kuota mizizi.

..wenyeji wa wilaya za Same na Mwanga hawana hizi hulka za udini tunazoziona hapa D'Salaam.

..si jambo la ajabu kukuta kamati ya maji au maendeleo ikihusisha Waislamu na Wakristo tena wakifanya kazi bila kufarakana kidini.
 
Message sent and delivered,
WALIOCHOCHEA UKABILA/UKANDA NDIO WANAOENDEKEZA UDINI. BIG UP JK, atleast umeliona tatizo
Waziri mkuu liwalo na liwe na rais kinamna na yeye anatuambia liwalo na liwe, hakuna atakaeweza kuzuia moto huo, yy ushamshinda, ajitoe magogoni pale anapofanya biashara ya mihadarati aone kama wenzie watashindwa kuzima moto wa udini ambao ameuasisi yeye mwenyewe
 
..suala hili alitakiwa alizungumzie akiwa D'Salaam ambako udini unaelekea kuota mizizi.

..wenyeji wa wilaya za Same na Mwanga hawana hizi hulka za udini tunazoziona hapa D'Salaam.

..si jambo la ajabu kukuta kamati ya maji au maendeleo ikihusisha Waislamu na Wakristo tena wakifanya kazi bila kufarakana kidini.
Anafanya Yaleyale ya kusambaza mbegu za udini nchi nzima, laana tupu huyu mtu.
 
Huyu Kikwete vipi ati moto wa kidini huwa hauna Mshindi? wakati hili lipo wazi kabisa Mkristu anayeamini Mungu wa Kweli hawezi shindwa na Shetani yeyote yule
 
"Ndugu zangu, siku zote tumekuwa na dini zetu, kila mmoja akiwa na uhuru wake wa kuabudu anachokitaka na kukiamini na kwa namna anavyotaka yeye. Ni muhimu tuendelee kuheshimu tofauti zetu za dini bila kuzigeuza tofauti hizokuwa chimbuko na sababu ya ugomvi."

Rais Kikwete pia amewahakikishia wananchi wa Same kuwa Serikali imedhamiria kumaliza tatizo la maji katika maeneo ya wilaya hiyo na wilaya za jirani za Mwanga na Korogwe katika Mkoa wa Tanga.

Amesema kuwa mradi mkubwa wa kusambaza maji katika vijiji 34 katika wilaya hizo kutoka Bwawa la Nyumba ya Mungu utaanza kutekelezwa Februari mwakani. Mradi huo wenye thamani za
dola za Marekani bilioni 34 utawahudumia wananchi katika vijiji 14vya Wilaya ya Same na utachukua kiasi cha miezi 18 kukamilika.

Hapo kwenye bold ni sahihi?
 
Yapo mengi na kama hayana huduma hii tunaweza kumjengea yeye familia yake na waramba viatu wake aaaamini. Ipo siku haya yatatimia kama si kwake basi wanae au hata makuadi wao.
 
Nikichangia uzi huu lazima nipigwe ban for life. JK anakera

Inakera sana mkuu, lakini chadema inabidi waitishe conference wamuulize Raisi awaseme hadharani hao anaowalenga ili umma uwajue na upime kama anasema ukweli au anauficha ukweli wa jambo hili.
Sababu ya CDM kufanya hivyo ni kufuta hisia ambazo wananchi wanajaribu kuhisi kuwa Raisi anailenga CDM.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom