Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,500
- Thread starter
- #81
Ujumbe umefika kwa wauhusika.
ndio akina nani
Ujumbe umefika kwa wauhusika.
"Kuna watu hawana raha na utulivu na amani ya nchi yetu. Walijaribu kutufarakanisha kwa kutumia ukabila lakini hili lilishindikana na sasa wamegeukia dini. Lakini ndugu zangu moto wa dini hautakuwa na wa kuuzima na hautakuwa na mshindi,"
Message sent and delivered,
WALIOCHOCHEA UKABILA/UKANDA NDIO WANAOENDEKEZA UDINI. BIG UP JK, atleast umeliona tatizo
Mwana Mpotevu Hii mbona iko wazi inawalenga CDM moja kwa moja, kwani wao ndio 90% ya viongozi wao wanatoka kaskazini, na sasa wameleta udini chini ya mwamvuli wa kanisa
Mwana Mpotevu Hii mbona iko wazi inawalenga CDM moja kwa moja, kwani wao ndio 90% ya viongozi wao wanatoka kaskazini, na sasa wameleta udini chini ya mwamvuli wa kanisa
Ujumbe umefika kwa wauhusika.
Mbona unajichanganya mwenyewe, yaani Chadema ni ya Kanisa halafu inachoma makanisa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ninachompendea rais wangu ni hiki, nae huwa anayaona matatizo kama tunavyo yaona wananchi wake, tofauti tu ni hii, sisi hatuna uwezo wa kuyatatua ila yeye hua anaouwezo lakini hautumii.
Natoa mifano:-
Nape Nnauye ameishawahi kusikika sio mara moja akiwaasa watu wasijuiunge na CDM kwa vile eti CDM ni ya wachagga, mwenyekiti wake alikaa kimyaaaa kabisa akijua ni upepo tu utapita, Radio Imani, vikundi kadhaa vya kiislamu vilifanya mikutano mingi tena hadharani wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2010, vilisema kwa uwazi kabisa, CDM ni chama cha kidini na Dr. Slaa ni Padre, rais wa wakati huo pamoja na msajiri wa vyama vya siasa walikaa kimyaaaa kabisa.
Twende Igunga, bakwata ikatia timu huko na kuwaasa waislam kutokumchagua mbunge wa CDM (wagombea wote wenye mvuto kumbuka walikua Wakristo pale Igunga) na kuawaelekeza Waislamu wamchague yule mgombea wa CCM, yote hayo serikali ilikaa kimya, mbegu ilipandwa na nyie wenyewe wacha sasa iote na hakika tutavuna hata ambao hatukushiriki kuipanda, ninacho sikitika, wengi mliopanda mbegu hii, wakati wa mavuno wenzetu mnaweza kukimbilia popote, sisi je?
Mwana Mpotevu Hii mbona iko wazi inawalenga CDM moja kwa moja, kwani wao ndio 90% ya viongozi wao wanatoka kaskazini, na sasa wameleta udini chini ya mwamvuli wa kanisa
\
Kuna watu hawana raha na utulivu na amani ya nchi yetu. Walijaribu kutufarakanisha kwa kutumia ukabila lakini hili lilishindikana na sasa wamegeukia dini. Lakinindugu zangu moto wa dini hautakuwa na wa kuuzima na hautakuwa na mshindi,
Amechukua hatua gani kukomesha, mbona hata hajakemea kwa ukali; au hulka ya ukali hana.
kuitetea CCM inahitaji uwe na akili ya maiti. by Daudi Mchambuzi
kumbe hata yale ya mbagala yameletwa na CDM sio???