Kikwete to USA (May 2009)

Huyu ndiye JMK, Tanzania president. Tutamsema sana, but my proposal always remains, actition, action now. Amezoea sana maneno huyu. Wala hayamsumbui.
 
People, leave my prez alone please. y'all forgot he used to be 'Waziri wa mambo ya nje' and some will be like, So?
Yea!, so what?
Discuss issues not tissues (msonyo)

The key word there is he used to be. Kama alioenda sana uwaziri wa mambo ya nje angemuachia mwingine awe raisi yeye aombe kupewa uwaziri wa mambo ya nje.
Your president kwani sisi siyo raisi wetu?
Safari za nje nayo ni issue because zina tumika hela za walipa kodi. Kila anapo safiri ana safiri na delegation kubwa which nayo yote inatumia hela za walipa kodi. Sasa kwako wewe how do you distinguish between an issue & a non ishue?
 
Huyu ndiye JMK, Tanzania president. Tutamsema sana, but my proposal always remains, actition, action now. Amezoea sana maneno huyu. Wala hayamsumbui.

Ni kweli, kama kusikia angekua kasha sikia na kuji rekebisha. Kilicho baki ni vitendo tu. 2010 wananchi kazi kwetu. Ila tatizo kabla hajaondoka huyu lazima apatikane kiongozi thabiti wa kuchukua nafasi yake siyo tunaondoa "papa" tunaingiza "nyangumi".
 
The key word there is he used to be. Kama alioenda sana uwaziri wa mambo ya nje angemuachia mwingine awe raisi yeye aombe kupewa uwaziri wa mambo ya nje.
Your president kwani sisi siyo raisi wetu?
Safari za nje nayo ni issue because zina tumika hela za walipa kodi. Kila anapo safiri ana safiri na delegation kubwa which nayo yote inatumia hela za walipa kodi. Sasa kwako wewe how do you distinguish between an issue & a non ishue?

(Kuna Watanzania outside Tanzania and we sure love to see him once in a while, especially his gorgeous smile)

Anaenda kufanya kazi, si kama anaenda kutalii. Why don't you people have one positive thought bout your Prez at least once? all the time he travels outside the country it become an issue here at "The home of Great thinkers" what happened to your "Great Thinking" ???!!

Discuss issues not tissues!
 
hamna kazi yoyote ya maana ya manufaa ya nchi anayefanya...20% official, 80% personal trips...fact, ask him...
 
(Kuna Watanzania outside Tanzania and we sure love to see him once in a while, especially his gorgeous smile)

Anaenda kufanya kazi, si kama anaenda kutalii. Why don't you people have one positive thought bout your Prez at least once? all the time he travels outside the country it become an issue here at "The home of Great thinkers" what happened to your "Great Thinking" ???!!

Discuss issues not tissues!

Anaenda kufanya kazi?...Magogoni pamebomolewa?!!

Issue ni kwamba; nchi yetu haizalishi vya kutosha, hazina almost hamna pesa za kigeni zilizobakia... misafara ya viongozi wetu hapa nyumbani na hii ya Mh. Rais wetu nje ya nchi hailingani na hali yetu kiuchumi.
 
Kwa sababu anatumia kodi za waliopo nchini si za nyie mliopo nje. Kama kisa cha kutaka aje nje ni ilimradi useme umeonana na raisi basi hapo sijui hata nikuambie nini. Kwa kifupi hela anazo tumia ni za walipa kodi na kwa sababu we siyo mmoja wa hao walipa kodi labda ndiyo maana hauna uchungu.

Haya unataka tumseme vizuri raisi basi andika thread au hata post kuelezea mafanikio yake basi kwa unavyoona wewe. Tutakuaje na positive thoughts kama hatuoni anything positive? Ndiyo maana ya sehemu kama JF, watu kushare ideas au siyo? Kwa sababu wewe unaona mazuri yake basi tutajie. Lakini hiyo ya kutaka tu aje ili umuone basi hautaki aje kufanya kazi wewe ili mradi aje uone sura yake. Gorgeous smile unataka raisi wa kuongoza taifa lako au mlimbwende awe "eye candy" for your eyes? Na narudia tena pesa zina tumika za walipa kodi, are you among those tax payers?
 
Sababu za safari ya Los Angeles ni hizi:

US Doctors for Africa (USDFA) to honor The President of The Republic of Tanzania, His Excellency Jakaya M. Kikwete on May 20th, 2009 in Los Angeles, California. Mr. Kikwete is known by most as one of most respected and forward thinking leaders in Africa. As President of The Republic of Tanzania and as a former head of the African Union, Mr. Kikwete played a leading role in improving access to health care in Tanzania as well as through out the African Continent.

USDFA in partnership with The Los Angeles World Affairs Council will honor President Kikwete on the evening of May 20th for his tireless effort in fighting poverty and for his creative approach in providing access to health care to the people of Tanzania.

Na huyu Ted Alemayuhu ameanza kuwa fisadi.

Chanzo: US Doctors For Africa
 
Kwa sababu anatumia kodi za waliopo nchini si za nyie mliopo nje. Kama kisa cha kutaka aje nje ni ilimradi useme umeonana na raisi basi hapo sijui hata nikuambie nini. Kwa kifupi hela anazo tumia ni za walipa kodi na kwa sababu we siyo mmoja wa hao walipa kodi labda ndiyo maana hauna uchungu.

Haya unataka tumseme vizuri raisi basi andika thread au hata post kuelezea mafanikio yake basi kwa unavyoona wewe. Tutakuaje na positive thoughts kama hatuoni anything positive? Ndiyo maana ya sehemu kama JF, watu kushare ideas au siyo? Kwa sababu wewe unaona mazuri yake basi tutajie. Lakini hiyo ya kutaka tu aje ili umuone basi hautaki aje kufanya kazi wewe ili mradi aje uone sura yake. Gorgeous smile unataka raisi wa kuongoza taifa lako au mlimbwende awe "eye candy" for your eyes? Na narudia tena pesa zina tumika za walipa kodi, are you among those tax payers?

I do pay taxes through different means which am not interested in discussing them with you.
True, he has a gorgeous smile. We unataka Rais wako awe havutii?

Discuss issues not tissues!
 
I do pay taxes through different means which am not interested in discussing them with you.
True, he has a gorgeous smile. We unataka Rais wako awe havutii?

Discuss issues not tissues!

And this is the issue we need to be discussing? The presidents appearances. You still haven't answered what I previously wrote, you simply just stated you pay taxes.
 
Kamanda endelea kusafiri safiri, ukikaa sana pale ikulu yatakukuta ya aliyekupisha!
 
Sababu za safari ya Los Angeles ni hizi:
Quote:
US Doctors for Africa (USDFA) to honor The President of The Republic of Tanzania, His Excellency Jakaya M. Kikwete on May 20th, 2009 in Los Angeles, California. [COLOR="black"]Mr. Kikwete is known by most as one of most respected and forward thinking leaders in Africa.[/COLOR] As President of The Republic of Tanzania and as a former head of the African Union, Mr. Kikwete played a leading role in improving access to health care in Tanzania as well as through out the African Continent.

USDFA in partnership with The Los Angeles World Affairs Council will honor President Kikwete on the evening of May 20th for his tireless effort in fighting poverty and for his creative approach in providing access to health care to the people of Tanzania.

Na huyu Ted Alemayuhu ameanza kuwa fisadi.

Chanzo: US Doctors For Africa

Hii misifa .. ama kweli. Nina mashaka na hawa jamaa.
 
Huyu JMK sasa ni kituko. Safari zisizokuwa na mwisho haoni kwamba ni mzigo kwa nchi masikini kama Tanzania?.

Wenzetu Wakenya wameliona tatizo hilo na wametangaza rasmi kwamba safari za viongozi zisizo na umuhimu ni marufuku pamoja na kupiga marufuku washa na kongamano zisizo na maana. Na tunaona Mzee Kibaki yuko Kenya anadunda mzigo kama kawaida.

Yoeli Kaguta Museveni yuko Uganda akiendelea na kazi zake, Paul Kagame yuko ndani ya nchi yake akidunda mzigo kama kawaida.

Kikwete bila shaka anashauriwa vibaya ama anadanganywa na watu ambao hawamtakii mema ama wanafaidika na safari hizo za Kikwete.

Jamani ni muda sasa nchi yetu imekuwa inayumba kimaadili, kiuchumi, kisiasa na vingine vingi ambavyo vinahitaji majibu ama kushughulikiwa na Raisi. Kwa upande mwingine ninaona Jakaya anakimbia kutatua matatizo ya Watanzania kwani yamemshinda tokana na ukweli kwamba hana majibu ya matatizo hayo, hivyo ili kuficha aibu ya kushindwa kwake anasingizia safari.

Huwezi kuwa Baba mzuri katika familia kama unakimbia kuyakabili na kuyatatua matatizo ya familia. Watoto wanaumwa ndani ya nyumba unakimbilia kuomba misaada, watoto hawana uniform za shule unakimbilia kuomba misaada, watoto wanapigana ndani ya nyumba unakimbilia kuomba misaada, watoto wanakuwa na tabia mbaya na chafu unakimbilia kuomba misaada, watoto wanabebeshwa mimba ama wanabebesha mimba unakimbilia kuomba misaada, huoni kama huko ni kukosa hekima?.

Hivi ni kweli hizi safari za Jakaya zina ulazima wa yeye kwenda?, waziri wake wa mambo ya nchi za nje anafanya nini?, mabalozi aliowateua katika nchi hizo anazokimbilia kila siku wanafanya nini?. Hivi ni kweli anaelewa kwamba analofanya ni kutubebesha mzigo watanzania?. Hivi Kikwete anajua kwamba kwa muda huu mchache aliokuwa Raisi idadi ya safari alizosafiri ni karibu sawa na idadi ya safari alizosafiri Nyerere ambaye amekuwa Raisi kwa zaidi ya miaka 20?. Washauri wake ni akina nani na wana wasifu gani?. Jakaya kaa nyumbani na ushughulikie matatizo ya nchi na wananchi waliokupa kura. Wananchi hawakukupa kura kutatua matatizo ya Kenya ama Zimbabwe la hasha bali ulichaguliwa na Watanzania kwa lengo la kuwatumikia Watanzania. Mimi Kama mtanzania inaniuma kuona Raisi wangu amepoteza dira, kwani wakati anachukua Uraisi kwenye hotuba yake ya kwanza pale Dodoma hakutueleza kwamba atafanya safari nyingi namna hii bali kwa ujasiri kabisa aliahidi kuyashughulikia matatizo ya Tanzania na ya Watanzania kwa faida ya Taifa la Tanzania. Kumbuka kwamba wakati wa uchaguzi (kuomba kura) ulipita mikoa yote ya Tanzania kutuomba kura, na wala hukupita huko unakokimbilia kuomba kura ya kuwa Raisi wa Tanzania. 2010 is just around the corner.
 
Kwa wale mlioko Los Angeles mheshimiwa rais Kikwete anawasili huko Tuesday. Atakutana na Watanzania pia. Atawasili Washington D.C jumatano lakini hana mpango wa kukutana na Watanzania kwa kisingizio kuwa Jumuiya ya Watanzania Washington bado ina mzozano wa uongozi. Atakutana na Hillary Clinton jumatano hiyo na Ijumaa anaingia NY.

Jamani, mwacheni kisura wetu ajaribu kama atasafisha nyota kwa Obama Administration.

Si mnafahamu mipango kamambe chini ya Bush administration ilikuwa katika hatua ya utekelezaji iwapo Republican wangeshinda?? Jaribuni kufuatilia safari za mara kwa mara US enzi zile na ujio wa Bush TZ

Au hamjuhi kama Kisura aliugua baada ya Obama kushinda na kwa muda amekuwa akitafuta mlango wa kuingilia kwa Obama.

Ni hayo tu.
 
Weakest Link in Africa. What's people priority at hand? Traveling all over the world or solve common man issues?

One trip to far west can buy at least two firefighter trucks and other supporting gears. But simply put, these people do not want to invest on people interest other than their own.
 
Kwa wale mlioko Los Angeles mheshimiwa rais Kikwete anawasili huko Tuesday. Atakutana na Watanzania pia. Atawasili Washington D.C jumatano lakini hana mpango wa kukutana na Watanzania kwa kisingizio kuwa Jumuiya ya Watanzania Washington bado ina mzozano wa uongozi. Atakutana na Hillary Clinton jumatano hiyo na Ijumaa anaingia NY.

- Mkuu Jasusi dataz ziko sawa, anakuja na delegation ya watu 40, kwa hesabu niliyopata jana toka pale kwenye kuchukua viza ya US, na wote hao wanalipiwa hii safari na kodi yetu.

- Halafu mind you kwamba, akifika LA lazima balozi wetu US asafiri kutoka DC na maofisa kama watano toka ubalozini kwenda kumpokea na kusaifi naye ndani ya US, ti is incredible yaani ajabu na kweli!

- Halafu September, atarudi tena huko US, yaani UN kwenye General Assembly! na watu zaidi ya 40.

Mungu Aibariki Tanzania.

FMES
 
Anaenda kufanya kazi?...Magogoni pamebomolewa?!!

Issue ni kwamba; nchi yetu haizalishi vya kutosha, hazina almost hamna pesa za kigeni zilizobakia... misafara ya viongozi wetu hapa nyumbani na hii ya Mh. Rais wetu nje ya nchi hailingani na hali yetu kiuchumi.

- Siku akimaliza ujenzi wa majengo kule nyumbani Ukwereni, basi safari zitaisha, watch! Lakini kwa sasa mpaka majengo yaishe kwanza!

FMEs!
 
Back
Top Bottom