Ni nafasi adhimu hiyo pamoja na dhihaka zenu kupata audience na US President sio mchezo, yes atatembeza bakuli na hatotoka mtupu.
Mmekalia majungu tu....
Wabongo manapenda vya rahisi wenzenu wafanye kazi nyie mtege bakuli angalia...isije ikawa kuna masharti. Nyie fyenu mwawapa tu wachache wajilie then mnasifia kuwa hatotoka mikono mitupu thats a shame.
Tupambane hapa hapa bongo mbona jamaa kwa kukubalika kwake kulikojengwa na aiba yake na pia vyombo vya habari angetaka kufanya mabadiliko angeweza kwani hii nchi ina kila kitu INACHOTAKIWA HUYU MWONGOZAJI AWE NA VISION SIYO KUWA NA VISION YA KUTANGULIZA BAKULI KILA KIONGOZI AINGIAYE MADARAKANI. MBONA KULE SAMORA NA MITAANI MNAWATIMUA OMBAOMBA WAKATI KAMA NCHI MNAOMBA!!! TUFANYE KAZI TUTAFUTE VYETU SIYO KWENDA KUJIDHALILISHA HUKO ETI KWA KUWA OBAMA NI JIRANI YETU....TUNACHEMKA YULE NI RAISI WA USA NOT EA.