Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,193
- 3,012
Umaskini je? sio sababu?
kama ndio hivyo basi sio kazi yake pia kuwaita watoto wa watu viherehere.
mie ningependa mtu yoyote yule amkumbushe/amuelimishe/kumuongoza mtoto wangu pale anapofanya kosa hata kama mimi nishamwambia kabla.
Mmmmh, haya makubwa jamani. Kweli Rais wa nchi anaona watu wanaopata Ukimwi au mimba ni vihelehele vyao . Kweli hii inasikitisha ....
Umaskini je? sio sababu?
" Kila anayepata Ukimwi anaufuata mwenyewe na wengine ni viherehere vyao; kwa mfano watoto wa shule," alisema Rais Kikwete
anyway ni simlaumu sana kwani kashatoa kauli nyingi za ajabu ajabu nadhani ni kwa vile uwezo wake wa kuongoza ni mdogo sana.
Swali la kusikitisha zaidi ni jins gani vyuo vikuu vyetu vinasaidia kuwapanua mawazo watu wetu? Maana kama huyu inaonekana kapoteza muda tu na kupata cheti, lakini elimu hakupata.
Mafataki sasa full kujiachia.
waliobakwa juzi na polisi wakipata mimba utasemaje
kuna vitoto vidogo vya shule vinadanganywa kwa peremende na chips utasemaje
nk nk