Anyisile Obheli
JF-Expert Member
- Dec 13, 2009
- 3,398
- 319
ukimchunguza kwa makini utagundua kuwa hayupo kabisaaa,Mmmmh, haya makubwa jamani. Kweli Rais wa nchi anaona watu wanaopata Ukimwi au mimba ni vihelehele vyao . Kweli hii inasikitisha ....
anahitaji kukombolewa huyu, he is in mental illness, si bure