Kikwete: Mimba kwa wanafunzi ni kiherehere chao

kama ndio hivyo basi sio kazi yake pia kuwaita watoto wa watu viherehere.

mie ningependa mtu yoyote yule amkumbushe/amuelimishe/kumuongoza mtoto wangu pale anapofanya kosa hata kama mimi nishamwambia kabla.

Nakubaliana...Kabla hajawaita watoto wa shule vihere here,aboreshe mazingira ya watoto hao na maisha ya wazazi wao ili waweze kdumu gharama walau za elimu na matunzo..Pia ajue vihere here hivyo vitapungua kama mambo ya EPA yasingekuwepo...Liyumba nk,hivi kwanini rais asithink deep?Ama hajui maneno kama hayo si wala pilao pekee wenye kuayaona?Wanajisahau sana,si kama wakati wa mwalimu na chama kimoja,people are more knowledgable na pia si Taifa la wajinga moja kwa moja kama ilivyokuwa ssumed before,kuna waelewa mkuu Rais,unless mesage yako haikuwa kwa watanzania wote na ilikuwa kwa wale 70% yako.
 
Mmmmh, haya makubwa jamani. Kweli Rais wa nchi anaona watu wanaopata Ukimwi au mimba ni vihelehele vyao . Kweli hii inasikitisha ....

kazi kwenu vijana pigeni kavu madenti hakuna kesi maana rais kasema ukipata mimba ni kiherehere...hahaaaaaaa ..mtajuta kumfanham,u mtoto wa kikwere...
 
Hizi ndio speech za kuelekea katika awamu nyingine ya Urais ...zinachekesha
 
.kwani kakakikwete ni kabila gani vile...........??????
apo chacha!!!!!

hp u knw wat i mean!!!!!!!!!!!
tumsamehe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!si yeye ni earl childhood development+jamii iliyomzunguka+washkaji zake kisiasa km akina makamba ivi ndo vinampa kakakikwete uwezo na uelewa alionao so .kile anachoongea ni product ya alionayo kichwani na moyoni!!!!!!!

oooh mola nakuomba umtunze,umlinde raisi wetu
umuongoze katika busara na hekima yako daima

amen amen!!!!!!!!!!!!!
 
QUOTE......MANENO YA JK haya yamenifurahisha
"Kila anayepata Ukimwi anaufuata mwenyewe na wengine ni viherehere vyao; kwa mfano watoto wa shule",........" Na kwa bahati mbaya shughuli ile (uzinzi) binadamu hana dharura nayo, hivyo unaweza kutumia kondomu kama unaona kwamba huwezi kutii amri ya sita ama huwezi kuwa mwaminifu katika ndoa yako,"

heheheeeeee huyu RAIS hakyanani kiboko......I LOVE THIS PRESIDAAAA he is so funny......
 
" Kila anayepata Ukimwi anaufuata mwenyewe na wengine ni viherehere vyao; kwa mfano watoto wa shule," alisema Rais Kikwete

Hiii kauli mbaya kweli hasa kama inatoka kwa Rais.....Au alikuwa akishangiliwa mno nini...maana huyu mkulu huwa anapagawa kwa sifa na kupoteza umakini katika kauli zake (rejea hotoba yake kwa wazee wa Dar juu ya mgomo wa wafanyakazi!). Inanikumbusha kauli zenye utata za Rais wa zamani SA (Thabo Mbeki) kuhusu UKIMWI pia.
 
Hivi Kikwete Chuo Kikuu alipitaje? Au kwa maksi za uongozi wa DARUSO?

Maana haya si maneno ya mtu anayeweza kusema ana upeo wa kiwango cha chuo kikuu.

Swali la kusikitisha zaidi ni jins gani vyuo vikuu vyetu vinasaidia kuwapanua mawazo watu wetu? Maana kama huyu inaonekana kapoteza muda tu na kupata cheti, lakini elimu hakupata.
 
anyway ni simlaumu sana kwani kashatoa kauli nyingi za ajabu ajabu nadhani ni kwa vile uwezo wake wa kuongoza ni mdogo sana.

Kwanza tunatakiwa kufahamu kuwa huyu ni MKWERE.........maneno ya namna hiyo ni kawaida tu kwao!!!

Kiherehere maana yake ni umalaya wao tu!!

La kujiuliza ni kwamba, Je, wanafunzi wa sekondari tunaowazungumzia hapa ni under 18, 90% of them anyaways! sasa anataka kusema wazazi, walimu na wadau wengine hawana jukumu la kuwalinda wasichana hawa na dhidi ya mafataki? au kuhakikisha wanakuwa na negotiation skills, communication skills na wanatambua risky behaviours and risky situations??

Mkwere mkwere tu!! I was once told, they are never serious
 
Swali la kusikitisha zaidi ni jins gani vyuo vikuu vyetu vinasaidia kuwapanua mawazo watu wetu? Maana kama huyu inaonekana kapoteza muda tu na kupata cheti, lakini elimu hakupata.

Mkuu! nakubaliana na wewe!!
Ndo maana mimi nasema Elimu sio Cheti! Elimu ni uwezo, Huyu bwana ana cheti, lakini hana Uwezo!!
 
jamani nyie acheni kumshambulia bure huyu jamaa, mnakuwa kama hamumjui jk, sasa mlitegemea statement gani kutoka kwa mtu mwenye uelewa mdogo kama huyu jamaa?? sio ukimwi tuu jamaa uelewa wa mambo kibao ni sifuri..hiyo alotoa hapo ni too general statement, kama raisi hakutakiwa kabisa kusema hivyo...aaaaggghh nakasirika mpaka baasi yaani!!
 
Jamani msipende kumchafua "Mungubabu" wetu. Watu mlishaelezwa, raisi wetu anapenda utani sana... Tena masihara yake ni mahala popote. Sasa mshangaa nini!!

Anatania...
 
waliobakwa juzi na polisi wakipata mimba utasemaje
kuna vitoto vidogo vya shule vinadanganywa kwa peremende na chips utasemaje
nk nk

Na wale wanaobakwa na polisi wa tarime tumeje pia. Ni virehere here pia...!!!
 
Hapo ndio napenda kauli za kitata za raisi wangu, hivi hana mtoto wa kike wake ama wa dadaake,kakaake ama wa babayake mdogo aliedungwa mimba?
 
Back
Top Bottom