Ujengelele
JF-Expert Member
- Jan 14, 2008
- 1,253
- 22
Itakuwa raha sana kama Slaa na CHADEMA wataweza kuwaondoa chama filisi cha mafisadi madarakani. Watanzania duniani kote tutajawa na furaha kubwa sana itakuwa ni sawa na furaha ya kupata uhuru tena kama tulivyofurahia December 9, 1961 au kama fuaraha iliyoonyeshwa na majirani zetu Wakenya baada ya kupata katiba mpya. Watakaohuzunika ni wale mafisadi na watetetezi wao akina Malaria sugu, Tandale sokoni anajiita Tandale one na mapandikizi wengine maffisadi hapa jukwaani akina Rostam Aziz alias Raj Patel. Huu moto wa kumzomea Kikwete utambae nchi nzima ili kila anapotia mguu mapokezi yake yawe ni kuzomewa kwa nguvu zote.