UDSM-CCM -DCUF = CCM B
NCCR = CCM C
CHADEMA ni chama cha upinzani Kikwete hana ubavu wa kumteua mbunge kutoka upinzani. hao hapo juu ni washirika wake
Songoro akili yako ndogo haijajua methali: Ukitaka kujua CDM ni jembe ni pale ilipotoa list ya mafisadipapa, magamba kama makongoro yakabisha kwa nguvu zote lakini leo baadhi ya hayomafisadi yapo mahakamani. Nani aliibua ufisadi ndani ya BoT? Nani kaboreshasheria ya mchakato wa katiba? Kwa mara nyingine magamba na kusinzia kwaobungeni yalipitisha maazimio yote yaliyopendekezwa na wasomi werevu toka CDMtena kwa amri kupitia kwa bosi wao. Ccm sikuzote walikataa habari ya katiba mpya, baada ya mkuu wao kukimbiwa bungeniakajishuku na kukumbuka yaliyojiri wakati wa uchaguzi, akatathimini na kugunduailikuwa ni haki yake kukimbiwa maana kwa katiba bora asingekuwepo hapo alipo.Akaogopa Peoples Power, akatangaza mchakato wa katiba, mazuzu yote yakiwemo ccmB na Kinana wakasema ni hoja yao. Werevu peoples wakaona ujinga kufikiria nihoja ya nani, wakajikita kwenye mambo ya msingi kuboresha mchakato, magambayakapinga pila Dodoma, mkuu wao wa nchi akaongea na walalahoi wa DSM,wakamshangilia kwa nguvu zote, siku chache baadaye werevu Dr Slaa, Prof Baregu,Jembe Tundu Lissu na Mnyika kwa uchache wakatinga Ikulu, President na wazee wakulala na kuchemka bungeni wakala matapishi yao.Awaogope kwa lipi? Ile mikwala ya kukesha viwanjani mpaka uchaguzi wa umeya Arusha urudiwe imeishia wapi? Kwenye Tume ya katiba Prof Baregu kateuliwa na Slaa? Wenzenu wakiteuliwa Vibaraka,nyie mkiteuliwa kimyaa!!wekeni utaratibu Rais akisafir na wabunge wenu mfahamishwe pengine hamlijui hilo!
Upinzani sio uadui mkuu wala kupinga kila kitu!
Sasa kuna vyama tanganyika viongozi wake wanadhani kuwa mpinzani maana yake we uwe against na kila linalofanywa
na serikali hilo ndio tatizo la hao CDM, tofauti n vyama vingine ambavyo katika baadhi ya masuala yenye manufaa na
taifa wanakubaliana na serikali au wanatoa maoni yenye kuboresha CDM yenyewe imejengeka katika mfumo wa kupinga
tu.
Sasa katika hali hiyo usitegemee atokee mbunge wa kuteuliwa toka kwa hawa watu.
Dah thread nyingine bwana, yaani kwa akili zako, Mtukufu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaweza kuogopa chama cha vilaza kama Chadema?.
.
"Ama kweli CHADEMA NI SAWA NA NG'OMBE ASIYE NA BEI SOKONI".
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
Huna lolote wewe kama huipendi chadema kwanini unatumia picha ya mh mbowe na usitumie ya kilaza wako JK?????Dah thread nyingine bwana, yaani kwa akili zako, Mtukufu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaweza kuogopa chama cha vilaza kama Chadema?.