Uchaguzi chadema kahama waingia matatani

MWAKATA KWETU

JF-Expert Member
Mar 25, 2015
562
319
Aliyekuwa Mwenyekiti WA CDM Jimbo la KAHAMA Mjini Kamanda Juma Protas Ntahipera ameenguliwa kwenye kinyang'anyiro hicho Kwa tuhuma ya Kikiuza Chama.

Juma Protas Ntahipera alikata Rufaa kupinga maamuzi hayo ya Chama kwani anadai hakupewa nafasi ya kujitetea na hakuna ushahidi ulionyeshwa au kutolewa kuhusu tuhuma hizo.

Juma Protas amekuwa Mwenyeti takribani miaka 20+hivyo kuenguliwa kwake ni njama ya Washindani wake na kuna Fedha nyingi sana zinatolewa kutoka CCM ili kumdhoofisha .
 
Asante kwa Taarifa Mkuu.

KAMA NI KWELI BASI KUNA SHIDA MAHALI.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Aliyekuwa Mwenyekiti WA CDM Jimbo la KAHAMA Mjini Kamanda Juma Protas Ntahipera ameenguliwa kwenye kinyang'anyiro hicho Kwa tuhuma ya Kikiuza Chama.
Juma Protas Ntahipera alikata Rufaa kupinga maamuzi hayo ya Chama kwani anadai hakupewa nafasi ya kujitetea na hakuna ushahidi ulionyeshwa au kutolewa kuhusu tuhuma hizo.
Juma Protas amekuwa Mwenyeti takribani miaka 20+hivyo kuenguliwa kwake ni njama ya Washindani wake na kuna Fedha nyingi sana zinatolewa kutoka CCM ili kumdhoofisha .
Ukiona mtu anang'ang'ania madaraka yasiyo na mshahara,ujue kuna namna anapata faida.
 
Kauza wapi na bei gani aah kamandaaaa!
 
Aliyekuwa Mwenyekiti WA CDM Jimbo la KAHAMA Mjini Kamanda Juma Protas Ntahipera ameenguliwa kwenye kinyang'anyiro hicho
Juma Protas amekuwa Mwenyeti takribani miaka 20+
Kahama ni kwa watu fulani, jina la Ntahipera ni la pale jirani!.

Kwa maoni yangu, baada ya kuwa Mwenyekiti kwa miaka 20+ na Chadema haijaweza kushinda ubunge licha ya Mbunge wa Kahama kupitia CCM, James Lembeli kuhamia Chadema, hivyo nadhani itoshe, aje mwingine!.
P
 
Back
Top Bottom