Kikwete anaiogopa CHADEMA?

Hakuna mwanasiasa atakayeteuliwa na rais akakataa ni unafiki tu ndo unaowasumbua
 
CUF = CCM B
NCCR = CCM C

CHADEMA ni chama cha upinzani Kikwete hana ubavu wa kumteua mbunge kutoka upinzani. hao hapo juu ni washirika wake
UDSM-CCM -D
Mahakama -CCM-E.... teh teh kazi ipooooo
 
Awaogope kwa lipi? Ile mikwala ya kukesha viwanjani mpaka uchaguzi wa umeya Arusha urudiwe imeishia wapi? Kwenye Tume ya katiba Prof Baregu kateuliwa na Slaa? Wenzenu wakiteuliwa Vibaraka,nyie mkiteuliwa kimyaa!!wekeni utaratibu Rais akisafir na wabunge wenu mfahamishwe pengine hamlijui hilo!
Songoro akili yako ndogo haijajua methali: Ukitaka kujua CDM ni jembe ni pale ilipotoa list ya mafisadipapa, magamba kama makongoro yakabisha kwa nguvu zote lakini leo baadhi ya hayomafisadi yapo mahakamani. Nani aliibua ufisadi ndani ya BoT? Nani kaboreshasheria ya mchakato wa katiba? Kwa mara nyingine magamba na kusinzia kwaobungeni yalipitisha maazimio yote yaliyopendekezwa na wasomi werevu toka CDMtena kwa amri kupitia kwa bosi wao. Ccm sikuzote walikataa habari ya katiba mpya, baada ya mkuu wao kukimbiwa bungeniakajishuku na kukumbuka yaliyojiri wakati wa uchaguzi, akatathimini na kugunduailikuwa ni haki yake kukimbiwa maana kwa katiba bora asingekuwepo hapo alipo.Akaogopa Peoples Power, akatangaza mchakato wa katiba, mazuzu yote yakiwemo ccmB na Kinana wakasema ni hoja yao. Werevu peoples wakaona ujinga kufikiria nihoja ya nani, wakajikita kwenye mambo ya msingi kuboresha mchakato, magambayakapinga pila Dodoma, mkuu wao wa nchi akaongea na walalahoi wa DSM,wakamshangilia kwa nguvu zote, siku chache baadaye werevu Dr Slaa, Prof Baregu,Jembe Tundu Lissu na Mnyika kwa uchache wakatinga Ikulu, President na wazee wakulala na kuchemka bungeni wakala matapishi yao.
Kwa kifupi, werevu CDM wanajua wanachokifanya. Baraza hilolinalokuja ni shinikizo la CDM. Kwani msumari wa Zitto ulikuwa wa moto kwenyekidonda ndani ya serkali. Wabunge wote wa magamba pamoja na spika wao waliogopaas if dunia inapasuka. Wakagoma hata kusaini waraka wa kukosa imani na barazala mawaziri (mnielewe, kutokuwa na imani na PM maanake kutokuwa na imani nabaraza la mawaziri, kwani kuondoka kwa PM, baraza zima linaondoka. Kwa maanapana zaidi, hata imani kwa aliyelisuka hilo baraza inashuka, mhhhh!)
Kazi njema CDM!
 
Upinzani sio uadui mkuu wala kupinga kila kitu!

Sasa kuna vyama tanganyika viongozi wake wanadhani kuwa mpinzani maana yake we uwe against na kila linalofanywa

na serikali hilo ndio tatizo la hao CDM, tofauti n vyama vingine ambavyo katika baadhi ya masuala yenye manufaa na

taifa wanakubaliana na serikali au wanatoa maoni yenye kuboresha CDM yenyewe imejengeka katika mfumo wa kupinga

tu.

Sasa katika hali hiyo usitegemee atokee mbunge wa kuteuliwa toka kwa hawa watu.

Hatuhitaji kuteuliwa na Kikwete, we are doing just fine the way we are!
 
Dah thread nyingine bwana, yaani kwa akili zako, Mtukufu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaweza kuogopa chama cha vilaza kama Chadema?.
.
"Ama kweli CHADEMA NI SAWA NA NG'OMBE ASIYE NA BEI SOKONI".
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

Hapo kwenye red, kwa jinsi unavyoropoka na wewe pia hujasoma kwa hiyo na wewe pia unatafunwa. Huenda ukapata ubunge wa viti maalumu na wewe.
 
Dah thread nyingine bwana, yaani kwa akili zako, Mtukufu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaweza kuogopa chama cha vilaza kama Chadema?.
.
"Ama kweli CHADEMA NI SAWA NA NG'OMBE ASIYE NA BEI SOKONI".
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
Huna lolote wewe kama huipendi chadema kwanini unatumia picha ya mh mbowe na usitumie ya kilaza wako JK?????
 
Upinzani sio uadui mkuu wala kupinga kila kitu!

Sasa kuna vyama tanganyika viongozi wake wanadhani kuwa mpinzani maana yake we uwe against na kila linalofanywa

na serikali hilo ndio tatizo la hao CDM, tofauti n vyama vingine ambavyo katika baadhi ya masuala yenye manufaa na

taifa wanakubaliana na serikali au wanatoa maoni yenye kuboresha CDM yenyewe imejengeka katika mfumo wa kupinga

tu.

Sasa katika hali hiyo usitegemee atokee mbunge wa kuteuliwa toka kwa hawa watu.

Mkuu, nahisi hujafanya utafiti wa kutosha juu ya unalolisema kuwahusu CDM, Chadema ndio kimekuwa chama kinachotoa mapendekezo mengi tu kwa maendeleo ya nchi, kwani kuhusu Katiba mpya si ni chadema waliolivalia njuga hadi JK akakubali? Kuhusu wizara hiyo ya madini na nishati kugawanywa, kama kumbukumbu zangu zipo sahihi, ni Mhe mwenyekiti wa CDM ndiye aliyependekeza Bungeni kuwa kutokana na umuhimu wa wizara hii ni heri kuzigawanya, wabunge wa magamba walibisha sana hili, Zitto Kabwe akakomelea msumari wa moto kwenye kidonda, leo kiko wapi? si umesikia JK ameisha fanya nusu ya hilo? Hivi ile hotuba ya JK mwezi April, 2011 hasa bei ya sukari, si ni chadema waliompa mwongozo hata kumfanya PM kuamka usingizi akaanza kutembela mikoa inayo zalisha Sukari? Without research no right to speak.

Nimalizie hii, wakati Kikwete anaingia madakani 2005, alikuwa na baraza kubwa kweli la mawaziri, CDM (of course hapa na CUF waliingia) walilipigia kelele nyingi kweli hili Baraza, nadhani unakumbuka nini kilitokea, JK alipunguza 2008, hivi kuvunjwa kwa hili Baraza la Mawaziri, chanzo ni nini kama tutakuwa wakweli? haraka haraka utasema ni Bungeni, but rudhisha kumbukumbu zako nyuma, Dr Slaa na Zitto Kabwe ndiyo waazilishi wa hii topic, leo kiko wapi? si ni jana tu JK kafanya kama alivyo elekezwa? Hata kama kitu hukipendi jaribu basi kuwa mkweli, CDM ndio wanaongoza nchi kwa remote kwakweli, magamba hawana Think Tank, wanasuburi CDM waseme nini ndio wanafanya, umesahau CDM waliposusia mjadara wa Bunge juu ya issue ya Katiba? walipokwenda Ikulu na mapendekezo yao, nini kilitokea?

Tafakari!!!
 
Dah thread nyingine bwana, yaani kwa akili zako, Mtukufu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaweza kuogopa chama cha vilaza kama Chadema?.
.
"Ama kweli CHADEMA NI SAWA NA NG'OMBE ASIYE NA BEI SOKONI".
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

CCM ni kama kunguru hata akifa inzi hatui kwenye mzoga wake ccm kinanuka rushwa,wizi,uuwaji,ubakaji kila uchafu uko ccm, kama una akili tafakari hilo baraza la mawaziri limebadilishwa kwa nguvu CDM na kwenye bunge angalia tutakavyowanyoa.. nyie endeleeni kutumia makalio kufikiria...
 
Back
Top Bottom