Kikwete aendelee muhula mwingine

Mkuu Mpungati Mimi ni Mkristo lakini huwa siamini katika Udini, sababu nina marafiki wengi sana waislamu na tunashirikiana katika maisha ya hapa Duniani na Kila mtu anaheshimu imani ya mwenzake

Kuwa Mwislamu, Muhindu, orthodox au mkristo Hakupunguzi au kuongeza Uwezo wa mtu kuwa kiongozi na mimi sipati shida hata Kama rais angekuwa muislam mkristo au mhindu miaka yote tatizo langu ni kiongozi anayeweza kutimiza matakwa ya wananchi wake



JK simkubali si kwa sababu ya dini yake lakini ni kwa sababu anauwezo mdogo sana wa kuwa kiongozi, kashindwa kutatua matatizo ya raia wake karibu yote.

Haya ni mawazo yangu na niko tayari kukosolewa.

Orthodox ni christians..
 
Worst president ever,rais anayefukuza wataalam anajenga taifa la watu wa namna gani?
He is unmitigated disaster in this country,I wish I woke up tomorrow and find that he is no longer my president coz shit which has been goin down since he became president are unbeliveable
 
Ndio maana ukikosekana hapa ninakumiss sana Mwiba, post zako zina akili sana
kwel we ni MPITA NJIA!!! yani post ya kijinga kama hii unasema ina akili??? are u serious??? nahisi unashoti kwenye ubongo wako!!
 
Naamini kabisa huyu jamaa anamuelekeo wa kuifikisha Tanzania pale inapotaka kwenda,utendaji wake na serikali uliopo hivi sasa inaonekana ulichelewa ,lakini kasi ya maendeleo ambayo inaonekana kila pembe ya Tz ni wazi kuwa Tanzania imepata kiongozi mwenye upendo na wananchi wake.

WaTanzania hawana budi kumpa tena muhula wa uongozi kwa miaka kumi mingine.Huku tukisubiri Katiba mpya au Tanganyika mpya.

Labda Wakweree wakampe ubalozi wa nyumba kumi Msoga.
 
Mwiba usisahau JK leo anafuturisha futari Ikulu, kwahiyo usichelewe na hii thread ukimuonesha Salva Rweyemamu unalamba posho yako baada ya futari kwa kazi nzuri uliyoifanya leo.
 
Last edited by a moderator:
MWIBA ata kama unatumika unatakiwa utumie busara ata anayekutuma atakushangaa huwezi kuleta hoja kama hii kwa jinsi hali ya maisha ilivyo pia katiba hairuhusu.
 
Mimi nakushauri mwiba, kusanya thread zako zote za humu JF, utengeneze kitabu cha vichekesho,nakuhakikishia utakuwa bilionea kwa muda mfupi sana.
 
Safi sana Mwiba nilikuwa nafikiri kuleta uzi kama huu sijui kwa nini watanzania hawaoni haya maendeleo, halafu unajua nini kasi ya maendeleo itaongezeka zaidi akimteua Mwigulu nchemba kuwa waziri wa fedha, Lusinde waziri wa habari na utamaduni na Komba waziri mkuu! we si umeona maendeleo kule temeke mtoto wake ambaye hajamaliza hata sekondari (Khalfan Kikwete) amepata kiwanja, sasa mnafikiri watoto wetu wangapi watapata viwanja wakiwa bado chekechea tukimuongeza miaka mingine kumi! Tunaimaaaaniiii na Kikweeeeteeee oya oya oya!
 
Wewe Mwiba inaelekea jana hakula Daku!! Muda wa kufuturu unakaribia.

Makelele yenu mengi kama mnashangilia mpira tena ule wa kupitia redioni uliokuwa ukitangazwa kwenye idhaa ya biashara ya redio Tanzania anao anao goooal,wengi mmezaliwa juzi juzi hamuifahamu hio redio ,amini usiamini hapa JF kuna watu hawaijui senti tano ,ile ya nduaro.

Sielewi kile mnachokipinga kwa JK ,kama ni matatizo mbona yapo mengi tu kwa wengine ,hivi huko kwenye vyama vyenu hakuna matatizo ? Yaani Nyinyi mnaona mkiipata hiiNchi maisha mtayafanya yawe laini kama siagi ,mtapandisha mishahara siku tu mkiingia Ikulu ,hivi mnaota au mshakufa ?

Maendeleo ya JK kwa sasa yapo wazi kabisa ,hivi CCM ianzie tokea Tanu na ASP huko,wameiendesha Nchi hii kutoka kwenye shida na dhiki hadi leo wanaanza kuchimba mafuta na gesi ,itakuwa kosa kubwa sana kwa CCM kuziacha juhudi zake kwa wengine , Ukiangali JK ameweza na amewezesha karibuni itakuwa kila mtu ,WaTz wa leo ni matajiri kila mmoja anamiliki kajisimu cha mobile japo kimeo ,kinaitaji hela au sio ,unakakuta kapofull credit akiitajivocha.

Wengi tu sasa wanamiliki bodaboda na vyombo vya moto vya miguu miwili au mitatu vibajaji, kesho na kesho kutwa kila nyumba itakuwa na gari ndogo nje ,haya yote yamefumka katika kipindi kifupi cha JK.

Ikiwa wewe huoni kama hayo ni maendeleo basi utakuwa maiti inayotembea.
 
Safi sana Mwiba nilikuwa nafikiri kuleta uzi kama huu sijui kwa nini watanzania hawaoni haya maendeleo, halafu unajua nini kasi ya maendeleo itaongezeka zaidi akimteua Mwigulu nchemba kuwa waziri wa fedha, Lusinde waziri wa habari na utamaduni na Komba waziri mkuu! we si umeona maendeleo kule temeke mtoto wake ambaye hajamaliza hata sekondari (Khalfan Kikwete) amepata kiwanja, sasa mnafikiri watoto wetu wangapi watapata viwanja wakiwa bado chekechea tukimuongeza miaka mingine kumi! Tunaimaaaaniiii na Kikweeeeteeee oya oya oya!

Nikweli mkuu. Yafaa kumwongezea muda kuenzi kazi na mambo mazuri aliyofanya.
-.Kupandisha mfumuko wa bei kutoka 6% hadi 19% sio kazi ndogo
-Kuna nchi wanatamani hata nafasi ya kumi wameshindwa lakini TZ ni ya Tatu kwa umasikini unafikiri mchezo?
-Ni mchapa kazi na anayejituma, si unaona kitu kidogo tu ambacho angeweza kufanya hata ofisa wa chini anapanda ndege kwenda majuu kutekeleza mwenyewe.
-Ana upendo wa hali ya juu kwa watu wake, ndio maana akawasamehe mafisadi, angekuwa kiongozi kama Mwalimu si ange-over react hapo.
Ni mtu wa watu ndo maana utamwona yuko busy na matatizo yawatu hasa misiba, kuacha majukumu ya kitaifa na issue kama ya madaktari kwenda kuhudhuria mazishi lazima uwe na roho ya kipekee
 
nijuavyo mie wilaya na mikoa yote ina wakuu,
sasa wewe unajipendekeya upewe upi
 
Koma kama ulivyokoma kunyonya ziwa la mama yo JK hafai haijapata kutokea Raisi aliyeshindwa kuongoza nchi kama huyu embu usitufanye tuje tupasuke mioyo
 
Back
Top Bottom