Kwa Utamaduni wa CCM Rais Samia Ndiye Anayekwenda kupeperusha Bendera uchaguzi Ujao

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,262
9,714
Ndugu zangu Watanzania,

Huu siyo utabiri kama ule aliofanya ndugu yangu mtangazaji nguli na mwandishi nguli wa Habari ndugu pascal mayalla aliyemtabilia Hayati Mwalimu Dr John Pombe Joseph Magufuli kuwa ndiye atakayepeperusha Bendera ya CCM Uchaguzi wa 2015 na kweli ikaja kutokea. Huu siyo utabiri kwa kuwa kwa utamaduni wetu CCM ni kuwa huu ni muhula wa kwanza wa Rais Samia madarakani kama Rais,Hivyo uchaguzi ujao sitarajii wala Haitarajiwi kwa mwana CCM yeyote kuonekana akichukua Fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na chama kupeperusha Bendera ya CCM Kushindana na vyama vitakavyokuwa vimejipima kuingia ulingoni kupambana na Rais samia katika sanduku la kura.

Kwa kuwa kila mwana CCM anatambua kuwa ni Rais samia ndiye anatakiwa kumalizia muhula wake wa pili. Ndio maana unaona kwa sasa Wana CCM wote wanatambua hilo na hakuna vuguvugu kama mlilokuwa mkiliona kuanzia mwaka 2010-2015 ambapo wote walitambua kuwa mzee wetu mh Dr Jakaya Mrisho Kikwete alikuwa anamaliza muda wake kikatiba wa kukaa madarakani.

Hii ndio maana unaona mambo ni shwari na Tulivu ndani ya chama na ndani ya serikali na kila mtendaji wa serikali na chama amejielekeza katika kufanya kazi kuhakikisha kuwa ilani ya CCM na yote yalimo na yaliyo ahidiwa kwa wananchi yanatekelezwa kikamilifu na wananchi wanapata huduma bora na Taifa letu linapaa kimaendeleo na kiuchumi.

Hata hivyo niwaulizeni ndugu zangu ni kipi unachoweza ukasema hiki na hiki Rais samia hajafanya wala kugusa,Ni wapi ambako Rais samia hajagusa? Ni nani hajafikiwa na mikono ya Rais samia? Ni wapi hakujapelekwa fedha za maendeleo? Ni nani ameonewa au kukandamizwa au kunyanyaswa na uongozi wa Rais samia?? Kundi gani limetengwa katika uongozi wake? Nani hajaguswa na uchumi wa Rais samia? Nani hana matumaini ya kesho iliyo bora chini ya uongozi wa Rais samia?

Angalieni na rudisheni kumbukumbu nyuma namna Rais samia alivyopokea nchi katika mazingira magumu ya kiuchumi yaliyo chochewa na ugonjwa wa COVID 19 na vita vya ukrein.Angalieni namna alivyo jenga uchumi unaogusa maisha ya kila mtanzania,angalieni namna alivyojenga vituo vya afya ,zahanati,shule ,kutoa maelfu ya ajira kwa vijana ,kuwapandisha madaraja watumishi wa umma,kuwaongezea nyongeza ya kila mwaka watumishi wa umma,kutoa Ruzuku ya mabilioni katika kilimo na hata mafuta pale yalipopanda Bei pamoja na kuimarisha Demokrasia nchini.

Ni kazi ,akili ,jasho na juhudi za Rais samia ambapo leo hii Tanzania inapokea mafuriko ya watalii na wawekezaji kutoka kila pembe ya Dunia, hasa baada ya wazo lake la Royal Tour ya kutangaza vivutio tulivyo navyo. Ukiona wanafunzi wa vyuo vikuu wanapokea Elfu kumi kila siku,ukiona Elimu ni Bure mpaka kidato cha sita yote hayo na vyote hivyo vimefanywa na kufanyika chini ya uongozi wake shupavu na madhubuti wa Rais samia. Ni samia ndiye aliyewafanya wafanya biashara kufanya biashara pasipo bughudha wala wasiwasi huku mapato yakipaa mpaka Trioni 2 kwa mwezi. Ni Rais samia na serikali yake ambaye amekifaya kilimo kiwe kimbilio la wengi na watu kuona fahari kuwa wakulima hasa baada ya kukipa thamani yake stahiki na kuwafuta machozi wakulima waliokuwa wamepinda migongo kwa dhoruba za jembe la mkono .

Nawakumbusheni kuwa ni Rais samia ambaye amevifanya vyama vya kisiasa ,wadau wa demokrasia kukaa kwenye ukumbi mmoja na kujadili masuala ya demokrasia kwa mstakabali mwema wa Taifa letu pasipo uhasama ama chuki,Ni Rais samia amewezesha leo hii Tanzania Tunakuwa kimbilio la wakenya wanyonge wanaokuja kununua mafuta nchini baada kwao mafuta kuwa bei juu.Ni Rais samia amefanya leo watanzania kuzungumza maoni yao pasipo hofu wala wasiwasi japo wengine wanatumia uhuru huo kuporomosha matusi.

Nini tunataka Rais samia afanye mpaka mioyo yetu iridhike ndugu zangu? Mnakumbuka aliko tutoa? Nani hajapata matumaini ya kutimiza ndoto zake katika uongozi wake Rais samia? Nani amekata Tamaa na kukatishwa Tamaa na Rais samia? Kipi hajafanya? Kipi hakijasikilizwa? Nani hajasikilizwa hoja zake? Nani yupo mahabusu au jera kwa uonevu wa serikali ya Rais samia? Nani amenyang'anywa mali yake na serikali ya Rais samia kwa uonevu? Nani amezuiwa kufanya biashara? Nani amefanya kazi kwa bidii, juhudi na maarifa na hajafaidika na jasho lake na kupata matokeo chanya?

Nani haoni juhudi za Rais samia katika kupeleka maendeleo kila eneo? Hamjasikia habari za ujenzi wa njia nne za barabara za lami zaidi ya km 237.9 kutoka igawa Mbeya hadi Tunduma mkoani Songwe? Hamjasikia ujenzi wa vyumba vya madarasa zaidi ya elfu moja vinakwenda kujengwa kuongezea kwa vile zaidi ya elfu ishirini vilivyojengwa mwaka jana? Hamjasikia Habari za uboreshaji wa kilimo kupitia BBT kuwawezesha vijana? Yote haya si amefanya Rais samia? Yote haya si ni kwa faida ya watanzania? Yote haya si yameleta Matumaini kwa watanzania? Yote haya si yametusaidia sote kwa pamoja?

Nani amelima akakosa soko la mazao yake? Nani amekwenda hospitalini akakosa huduma? Nani mwanae amekosa mkopo wa elimu ya juu ikiwa amekidhi vigezo? Nani amefungiwa biashara yake na TRA kwa uonevu? Yote haya nani kafanya kama siyo Rais samia? Mnakumbuka china ilitusamehe Deni la Billion 31? Unafikiri ni nani kama siyo ushawishi wa Rais samia angefanya hilo litokee? Unafikiri kwanini makamu wa Rais wa Marekani alikuja nchini na kuziacha na kuziruka nchi zingine? Unafikiri kama siyo Rais samia ingewezekana kupokea ugeni huo mzito na waheshima?

Tunataka nini cha ziada kutoka kwa Rais samia? Nini ambacho hajafanya? Nini ambacho mnataka aje mwingine badala yake ili aje akifanye ambacho akijaguswa na kufanywa na Rais Samia? Wapi hajatazama Rais wetu? Afanye nini tukubali uchapa kazi wake ndugu zangu? Achukue hatua zipi zaidi ya haya aliyo yafanya? Ndugu zangu changamoto huwa hazikosekani lakini kwamba watanzania hatuoni juhudi za Rais samia katika kutatua na kumaliza changamoto?kwamba Hatuoni dhamira yake njema kwa Taifa letu ndugu zangu?

Niambie ndugu zangu kasoro ya Rais samia ni ipi ambayo haivumiliki wala kusahihishwa? Niambieni ndugu zangu katika ubinadamu wake ni wapi ambapo Rais samia hajawasikiliza watanzania? Ni wapi hajatoa nafasi kwa jambo lolote lile kwa watanzania kulizungumza na kutoa maoni yao?

Tukubali kuwa Rais samia anatosha kuendelea kuliongoza Taifa letu mpaka 2030,Anastahili kuendelea kuaminiwa na sisi watanzania,Anapaswa kuungwa mkono na kila mtu mwenye mapenzi mema na Taifa letu,Ni uzalendo kuendelea kusimama na Rais samia, Ni fahari kuongozwa na Rais Samia na Ni muhimu kumpa muhula wa pili kwa maslahi mapana ya Taifa letu ili amalizie kazi kubwa anayoendelea kuifanya kwa Taifa letu.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Hu

Huko utaratibu upo kwenye ibara ipi ya Katiba ya CCM?
 
Huo ni utamaduni wetu ambao huwezi ukauelewa ukiwa nje ya chama.fuatilia tangia mfumo wa vyama vingi kama kuna aliyeongoza miaka mitano au kama kuna watu walichukua Fomu ya kutaka kushindana na Mwenyekiti wa CCM ambaye amemaliza muhula wake wa kwanza tu.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Huu siyo utabiri kama ule aliofanya ndugu yangu mtangazaji nguli na mwandishi nguli wa Habari ndugu pascal mayalla aliyemtabilia Hayati Mwalimu Dr John Pombe Joseph Magufuli kuwa ndiye atakayepeperusha Bendera ya CCM Uchaguzi wa 2015 na kweli ikaja kutokea.
Mkuu Comred Lucas mwashambwa, kwanza sante sana kukumbushia bandiko hili Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli bandiko hili halikuwa utabiri!, it was a tip from deep inside, na nililiweka hapa kwasababu kuna kitu nilikuwa nakijua sikukisema ili wale 'jamaa zetu' watimize wajibu wao!. They didn't ndio akawa!.
Huu siyo utabiri kwa kuwa kwa utamaduni wetu CCM ni kuwa huu ni muhula wa kwanza wa Rais Samia madarakani kama Rais,Hivyo uchaguzi ujao sitarajii wala Haitarajiwi kwa mwana CCM yeyote kuonekana akichukua Fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na chama kupeperusha Bendera ya CCM
Ni kweli na haiwezekani mwana CCM kujitokeza kuchukua fomu kwasababu fomu inachapishwa moja tuu!.
Tukubali kuwa Rais samia anatosha kuendelea kuliongoza Taifa letu mpaka 2030,Anastahili kuendelea kuaminiwa na sisi watanzania,Anapaswa kuungwa mkono na kila mtu mwenye mapenzi mema na Taifa letu,Ni uzalendo kuendelea kusimama na Rais samia, Ni fahari kuongozwa na Rais Samia na Ni muhimu kumpa muhula wa pili kwa maslahi mapana ya Taifa letu ili amalizie kazi kubwa anayoendelea kuifanya kwa Taifa letu. Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Naunga mkono hoja, you are absolutely right. ila ili Mama aweze ni lazima tumsaidie kwa kumwambia ukweli mchungu ili kumuepusha na majanga yasioonekana kwa macho ya mwili, hivyo nami kwanza nimeunga mkono 2025 twende na mgombea Mwanamke Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye! ila pia kuna sauti hii nimeisikia Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke hivyo kama hii sauti ni yake YEYE mwenyewe halisi, then mgombea urais wa JMT kwa mwaka 2025 sio lazima awe Mwanamke!.
P
 
Huo ni utamaduni wetu ambao huwezi ukauelewa ukiwa nje ya chama.fuatilia tangia mfumo wa vyama vingi kama kuna aliyeongoza miaka mitano au kama kuna watu walichukua Fomu ya kutaka kushindana na Mwenyekiti wa CCM ambaye amemaliza muhula wake wa kwanza tu.
Mbona upo nje ya chama na umeweza kuuelewa🤔
 
Ndugu zangu Watanzania,

Huu siyo utabiri kama ule aliofanya ndugu yangu mtangazaji nguli na mwandishi nguli wa Habari ndugu pascal mayalla aliyemtabilia Hayati Mwalimu Dr John Pombe Joseph Magufuli kuwa ndiye atakayepeperusha Bendera ya CCM Uchaguzi wa 2015 na kweli ikaja kutokea. Huu siyo utabiri kwa kuwa kwa utamaduni wetu CCM ni kuwa huu ni muhula wa kwanza wa Rais Samia madarakani kama Rais,Hivyo uchaguzi ujao sitarajii wala Haitarajiwi kwa mwana CCM yeyote kuonekana akichukua Fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na chama kupeperusha Bendera ya CCM Kushindana na vyama vitakavyokuwa vimejipima kuingia ulingoni kupambana na Rais samia katika sanduku la kura.

Kwa kuwa kila mwana CCM anatambua kuwa ni Rais samia ndiye anatakiwa kumalizia muhula wake wa pili. Ndio maana unaona kwa sasa Wana CCM wote wanatambua hilo na hakuna vuguvugu kama mlilokuwa mkiliona kuanzia mwaka 2010-2015 ambapo wote walitambua kuwa mzee wetu mh Dr Jakaya Mrisho Kikwete alikuwa anamaliza muda wake kikatiba wa kukaa madarakani.

Hii ndio maana unaona mambo ni shwari na Tulivu ndani ya chama na ndani ya serikali na kila mtendaji wa serikali na chama amejielekeza katika kufanya kazi kuhakikisha kuwa ilani ya CCM na yote yalimo na yaliyo ahidiwa kwa wananchi yanatekelezwa kikamilifu na wananchi wanapata huduma bora na Taifa letu linapaa kimaendeleo na kiuchumi.

Hata hivyo niwaulizeni ndugu zangu ni kipi unachoweza ukasema hiki na hiki Rais samia hajafanya wala kugusa,Ni wapi ambako Rais samia hajagusa? Ni nani hajafikiwa na mikono ya Rais samia? Ni wapi hakujapelekwa fedha za maendeleo? Ni nani ameonewa au kukandamizwa au kunyanyaswa na uongozi wa Rais samia?? Kundi gani limetengwa katika uongozi wake? Nani hajaguswa na uchumi wa Rais samia? Nani hana matumaini ya kesho iliyo bora chini ya uongozi wa Rais samia?

Angalieni na rudisheni kumbukumbu nyuma namna Rais samia alivyopokea nchi katika mazingira magumu ya kiuchumi yaliyo chochewa na ugonjwa wa COVID 19 na vita vya ukrein.Angalieni namna alivyo jenga uchumi unaogusa maisha ya kila mtanzania,angalieni namna alivyojenga vituo vya afya ,zahanati,shule ,kutoa maelfu ya ajira kwa vijana ,kuwapandisha madaraja watumishi wa umma,kuwaongezea nyongeza ya kila mwaka watumishi wa umma,kutoa Ruzuku ya mabilioni katika kilimo na hata mafuta pale yalipopanda Bei pamoja na kuimarisha Demokrasia nchini.

Ni kazi ,akili ,jasho na juhudi za Rais samia ambapo leo hii Tanzania inapokea mafuriko ya watalii na wawekezaji kutoka kila pembe ya Dunia, hasa baada ya wazo lake la Royal Tour ya kutangaza vivutio tulivyo navyo. Ukiona wanafunzi wa vyuo vikuu wanapokea Elfu kumi kila siku,ukiona Elimu ni Bure mpaka kidato cha sita yote hayo na vyote hivyo vimefanywa na kufanyika chini ya uongozi wake shupavu na madhubuti wa Rais samia. Ni samia ndiye aliyewafanya wafanya biashara kufanya biashara pasipo bughudha wala wasiwasi huku mapato yakipaa mpaka Trioni 2 kwa mwezi. Ni Rais samia na serikali yake ambaye amekifaya kilimo kiwe kimbilio la wengi na watu kuona fahari kuwa wakulima hasa baada ya kukipa thamani yake stahiki na kuwafuta machozi wakulima waliokuwa wamepinda migongo kwa dhoruba za jembe la mkono .

Nawakumbusheni kuwa ni Rais samia ambaye amevifanya vyama vya kisiasa ,wadau wa demokrasia kukaa kwenye ukumbi mmoja na kujadili masuala ya demokrasia kwa mstakabali mwema wa Taifa letu pasipo uhasama ama chuki,Ni Rais samia amewezesha leo hii Tanzania Tunakuwa kimbilio la wakenya wanyonge wanaokuja kununua mafuta nchini baada kwao mafuta kuwa bei juu.Ni Rais samia amefanya leo watanzania kuzungumza maoni yao pasipo hofu wala wasiwasi japo wengine wanatumia uhuru huo kuporomosha matusi.

Nini tunataka Rais samia afanye mpaka mioyo yetu iridhike ndugu zangu? Mnakumbuka aliko tutoa? Nani hajapata matumaini ya kutimiza ndoto zake katika uongozi wake Rais samia? Nani amekata Tamaa na kukatishwa Tamaa na Rais samia? Kipi hajafanya? Kipi hakijasikilizwa? Nani hajasikilizwa hoja zake? Nani yupo mahabusu au jera kwa uonevu wa serikali ya Rais samia? Nani amenyang'anywa mali yake na serikali ya Rais samia kwa uonevu? Nani amezuiwa kufanya biashara? Nani amefanya kazi kwa bidii, juhudi na maarifa na hajafaidika na jasho lake na kupata matokeo chanya?

Nani haoni juhudi za Rais samia katika kupeleka maendeleo kila eneo? Hamjasikia habari za ujenzi wa njia nne za barabara za lami zaidi ya km 237.9 kutoka igawa Mbeya hadi Tunduma mkoani Songwe? Hamjasikia ujenzi wa vyumba vya madarasa zaidi ya elfu moja vinakwenda kujengwa kuongezea kwa vile zaidi ya elfu ishirini vilivyojengwa mwaka jana? Hamjasikia Habari za uboreshaji wa kilimo kupitia BBT kuwawezesha vijana? Yote haya si amefanya Rais samia? Yote haya si ni kwa faida ya watanzania? Yote haya si yameleta Matumaini kwa watanzania? Yote haya si yametusaidia sote kwa pamoja?

Nani amelima akakosa soko la mazao yake? Nani amekwenda hospitalini akakosa huduma? Nani mwanae amekosa mkopo wa elimu ya juu ikiwa amekidhi vigezo? Nani amefungiwa biashara yake na TRA kwa uonevu? Yote haya nani kafanya kama siyo Rais samia? Mnakumbuka china ilitusamehe Deni la Billion 31? Unafikiri ni nani kama siyo ushawishi wa Rais samia angefanya hilo litokee? Unafikiri kwanini makamu wa Rais wa Marekani alikuja nchini na kuziacha na kuziruka nchi zingine? Unafikiri kama siyo Rais samia ingewezekana kupokea ugeni huo mzito na waheshima?

Tunataka nini cha ziada kutoka kwa Rais samia? Nini ambacho hajafanya? Nini ambacho mnataka aje mwingine badala yake ili aje akifanye ambacho akijaguswa na kufanywa na Rais Samia? Wapi hajatazama Rais wetu? Afanye nini tukubali uchapa kazi wake ndugu zangu? Achukue hatua zipi zaidi ya haya aliyo yafanya? Ndugu zangu changamoto huwa hazikosekani lakini kwamba watanzania hatuoni juhudi za Rais samia katika kutatua na kumaliza changamoto?kwamba Hatuoni dhamira yake njema kwa Taifa letu ndugu zangu?

Niambie ndugu zangu kasoro ya Rais samia ni ipi ambayo haivumiliki wala kusahihishwa? Niambieni ndugu zangu katika ubinadamu wake ni wapi ambapo Rais samia hajawasikiliza watanzania? Ni wapi hajatoa nafasi kwa jambo lolote lile kwa watanzania kulizungumza na kutoa maoni yao?

Tukubali kuwa Rais samia anatosha kuendelea kuliongoza Taifa letu mpaka 2030,Anastahili kuendelea kuaminiwa na sisi watanzania,Anapaswa kuungwa mkono na kila mtu mwenye mapenzi mema na Taifa letu,Ni uzalendo kuendelea kusimama na Rais samia, Ni fahari kuongozwa na Rais Samia na Ni muhimu kumpa muhula wa pili kwa maslahi mapana ya Taifa letu ili amalizie kazi kubwa anayoendelea kuifanya kwa Taifa letu.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Imefika wakati sasa gazeti lako tulipe kina.
 
Mkuu Comred Lucas mwashambwa, kwanza sante sana kukumbushia bandiko hili Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli bandiko hili halikuwa utabiri!, it was a tip from deep inside, na nililiweka hapa kwasababu kuna kitu nilikuwa nakijua sikukisema ili wale 'jamaa zetu' watimize wajibu wao!. They didn't ndio akawa!.

Ni kweli na haiwezekani mwana CCM kujitokeza kuchukua fomu kwasababu fomu inachapishwa moja tuu!.

Naunga mkono hoja, you are absolutely right. ila ili Mama aweze ni lazima tumsaidie kwa kumwambia ukweli mchungu ili kumuepusha na majanga yasioonekana kwa macho ya mwili, hivyo nami kwanza nimeunga mkono 2025 twende na mgombea Mwanamke Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye! ila pia kuna sauti hii nimeisikia Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke hivyo kama hii sauti ni yake YEYE mwenyewe halisi, then mgombea urais wa JMT kwa mwaka 2025 sio lazima awe Mwanamke!.
P
Ngoja nisome tena na tena
 
Ndugu zangu Watanzania,

Huu siyo utabiri kama ule aliofanya ndugu yangu mtangazaji nguli na mwandishi nguli wa Habari ndugu pascal mayalla aliyemtabilia Hayati Mwalimu Dr John Pombe Joseph Magufuli kuwa ndiye atakayepeperusha Bendera ya CCM Uchaguzi wa 2015 na kweli ikaja kutokea. Huu siyo utabiri kwa kuwa kwa utamaduni wetu CCM ni kuwa huu ni muhula wa kwanza wa Rais Samia madarakani kama Rais,Hivyo uchaguzi ujao sitarajii wala Haitarajiwi kwa mwana CCM yeyote kuonekana akichukua Fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na chama kupeperusha Bendera ya CCM Kushindana na vyama vitakavyokuwa vimejipima kuingia ulingoni kupambana na Rais samia katika sanduku la kura.

Kwa kuwa kila mwana CCM anatambua kuwa ni Rais samia ndiye anatakiwa kumalizia muhula wake wa pili. Ndio maana unaona kwa sasa Wana CCM wote wanatambua hilo na hakuna vuguvugu kama mlilokuwa mkiliona kuanzia mwaka 2010-2015 ambapo wote walitambua kuwa mzee wetu mh Dr Jakaya Mrisho Kikwete alikuwa anamaliza muda wake kikatiba wa kukaa madarakani.

Hii ndio maana unaona mambo ni shwari na Tulivu ndani ya chama na ndani ya serikali na kila mtendaji wa serikali na chama amejielekeza katika kufanya kazi kuhakikisha kuwa ilani ya CCM na yote yalimo na yaliyo ahidiwa kwa wananchi yanatekelezwa kikamilifu na wananchi wanapata huduma bora na Taifa letu linapaa kimaendeleo na kiuchumi.

Hata hivyo niwaulizeni ndugu zangu ni kipi unachoweza ukasema hiki na hiki Rais samia hajafanya wala kugusa,Ni wapi ambako Rais samia hajagusa? Ni nani hajafikiwa na mikono ya Rais samia? Ni wapi hakujapelekwa fedha za maendeleo? Ni nani ameonewa au kukandamizwa au kunyanyaswa na uongozi wa Rais samia?? Kundi gani limetengwa katika uongozi wake? Nani hajaguswa na uchumi wa Rais samia? Nani hana matumaini ya kesho iliyo bora chini ya uongozi wa Rais samia?

Angalieni na rudisheni kumbukumbu nyuma namna Rais samia alivyopokea nchi katika mazingira magumu ya kiuchumi yaliyo chochewa na ugonjwa wa COVID 19 na vita vya ukrein.Angalieni namna alivyo jenga uchumi unaogusa maisha ya kila mtanzania,angalieni namna alivyojenga vituo vya afya ,zahanati,shule ,kutoa maelfu ya ajira kwa vijana ,kuwapandisha madaraja watumishi wa umma,kuwaongezea nyongeza ya kila mwaka watumishi wa umma,kutoa Ruzuku ya mabilioni katika kilimo na hata mafuta pale yalipopanda Bei pamoja na kuimarisha Demokrasia nchini.

Ni kazi ,akili ,jasho na juhudi za Rais samia ambapo leo hii Tanzania inapokea mafuriko ya watalii na wawekezaji kutoka kila pembe ya Dunia, hasa baada ya wazo lake la Royal Tour ya kutangaza vivutio tulivyo navyo. Ukiona wanafunzi wa vyuo vikuu wanapokea Elfu kumi kila siku,ukiona Elimu ni Bure mpaka kidato cha sita yote hayo na vyote hivyo vimefanywa na kufanyika chini ya uongozi wake shupavu na madhubuti wa Rais samia. Ni samia ndiye aliyewafanya wafanya biashara kufanya biashara pasipo bughudha wala wasiwasi huku mapato yakipaa mpaka Trioni 2 kwa mwezi. Ni Rais samia na serikali yake ambaye amekifaya kilimo kiwe kimbilio la wengi na watu kuona fahari kuwa wakulima hasa baada ya kukipa thamani yake stahiki na kuwafuta machozi wakulima waliokuwa wamepinda migongo kwa dhoruba za jembe la mkono .

Nawakumbusheni kuwa ni Rais samia ambaye amevifanya vyama vya kisiasa ,wadau wa demokrasia kukaa kwenye ukumbi mmoja na kujadili masuala ya demokrasia kwa mstakabali mwema wa Taifa letu pasipo uhasama ama chuki,Ni Rais samia amewezesha leo hii Tanzania Tunakuwa kimbilio la wakenya wanyonge wanaokuja kununua mafuta nchini baada kwao mafuta kuwa bei juu.Ni Rais samia amefanya leo watanzania kuzungumza maoni yao pasipo hofu wala wasiwasi japo wengine wanatumia uhuru huo kuporomosha matusi.

Nini tunataka Rais samia afanye mpaka mioyo yetu iridhike ndugu zangu? Mnakumbuka aliko tutoa? Nani hajapata matumaini ya kutimiza ndoto zake katika uongozi wake Rais samia? Nani amekata Tamaa na kukatishwa Tamaa na Rais samia? Kipi hajafanya? Kipi hakijasikilizwa? Nani hajasikilizwa hoja zake? Nani yupo mahabusu au jera kwa uonevu wa serikali ya Rais samia? Nani amenyang'anywa mali yake na serikali ya Rais samia kwa uonevu? Nani amezuiwa kufanya biashara? Nani amefanya kazi kwa bidii, juhudi na maarifa na hajafaidika na jasho lake na kupata matokeo chanya?

Nani haoni juhudi za Rais samia katika kupeleka maendeleo kila eneo? Hamjasikia habari za ujenzi wa njia nne za barabara za lami zaidi ya km 237.9 kutoka igawa Mbeya hadi Tunduma mkoani Songwe? Hamjasikia ujenzi wa vyumba vya madarasa zaidi ya elfu moja vinakwenda kujengwa kuongezea kwa vile zaidi ya elfu ishirini vilivyojengwa mwaka jana? Hamjasikia Habari za uboreshaji wa kilimo kupitia BBT kuwawezesha vijana? Yote haya si amefanya Rais samia? Yote haya si ni kwa faida ya watanzania? Yote haya si yameleta Matumaini kwa watanzania? Yote haya si yametusaidia sote kwa pamoja?

Nani amelima akakosa soko la mazao yake? Nani amekwenda hospitalini akakosa huduma? Nani mwanae amekosa mkopo wa elimu ya juu ikiwa amekidhi vigezo? Nani amefungiwa biashara yake na TRA kwa uonevu? Yote haya nani kafanya kama siyo Rais samia? Mnakumbuka china ilitusamehe Deni la Billion 31? Unafikiri ni nani kama siyo ushawishi wa Rais samia angefanya hilo litokee? Unafikiri kwanini makamu wa Rais wa Marekani alikuja nchini na kuziacha na kuziruka nchi zingine? Unafikiri kama siyo Rais samia ingewezekana kupokea ugeni huo mzito na waheshima?

Tunataka nini cha ziada kutoka kwa Rais samia? Nini ambacho hajafanya? Nini ambacho mnataka aje mwingine badala yake ili aje akifanye ambacho akijaguswa na kufanywa na Rais Samia? Wapi hajatazama Rais wetu? Afanye nini tukubali uchapa kazi wake ndugu zangu? Achukue hatua zipi zaidi ya haya aliyo yafanya? Ndugu zangu changamoto huwa hazikosekani lakini kwamba watanzania hatuoni juhudi za Rais samia katika kutatua na kumaliza changamoto?kwamba Hatuoni dhamira yake njema kwa Taifa letu ndugu zangu?

Niambie ndugu zangu kasoro ya Rais samia ni ipi ambayo haivumiliki wala kusahihishwa? Niambieni ndugu zangu katika ubinadamu wake ni wapi ambapo Rais samia hajawasikiliza watanzania? Ni wapi hajatoa nafasi kwa jambo lolote lile kwa watanzania kulizungumza na kutoa maoni yao?

Tukubali kuwa Rais samia anatosha kuendelea kuliongoza Taifa letu mpaka 2030,Anastahili kuendelea kuaminiwa na sisi watanzania,Anapaswa kuungwa mkono na kila mtu mwenye mapenzi mema na Taifa letu,Ni uzalendo kuendelea kusimama na Rais samia, Ni fahari kuongozwa na Rais Samia na Ni muhimu kumpa muhula wa pili kwa maslahi mapana ya Taifa letu ili amalizie kazi kubwa anayoendelea kuifanya kwa Taifa letu.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
kama wewe mwenyewe unaongopea watu na moyo wako unajua hilo na kwa sababu haupati uteuzi kwa sababu ya kujikomba kwa Samia ambaye hata yeye mwenyewe anajua moyoni mwake kuwa she is incompetent anakuona kama boyq unayetafuta maisha kwa mtelemko weww hauna tofauti na mataapeli ya mjini
 
Kwanza uwe na adabu kwa Rais Wetu Tumepiga hatua za kimaendeleo na kupata mafanikio makubwa kutokana na uimara wa Rais samia,maono ya kiuongozi aliyonayo na kuwa na mikakati mizuri ya kimaendeleo. Pili ulitakiwa uoneshe huo unaosema uongo wangu
 
Mr lucas,mama samia ni lini amewahi kugombea urais wa Tanzania,akashindana kwenye kura za maoni na akateuliwa yeye na hatimae akagombea kwenye uchaguzi mkuu na akashinda na kutangazwa kuwa rais wa jamhuli ya muungano wa Tanzania?, na awamu yake ya kwanza ya urais ni ipi?.
 
Awamu yake ya kwanza ndio hii anayoongoza na kuendelea nayo .Uchaguzi mkuu wa 2020 alipigiwa kura kwa pamoja na Hayati Dr John Pombe Joseph Magufuli.Alipiga Kampeni nchi nzima na kuzunguka kila mahali kuomba kura .
 
Ndugu zangu Watanzania,

Huu siyo utabiri kama ule aliofanya ndugu yangu mtangazaji nguli na mwandishi nguli wa Habari ndugu pascal mayalla aliyemtabilia Hayati Mwalimu Dr John Pombe Joseph Magufuli kuwa ndiye atakayepeperusha Bendera ya CCM Uchaguzi wa 2015 na kweli ikaja kutokea. Huu siyo utabiri kwa kuwa kwa utamaduni wetu CCM ni kuwa huu ni muhula wa kwanza wa Rais Samia madarakani kama Rais,Hivyo uchaguzi ujao sitarajii wala Haitarajiwi kwa mwana CCM yeyote kuonekana akichukua Fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na chama kupeperusha Bendera ya CCM Kushindana na vyama vitakavyokuwa vimejipima kuingia ulingoni kupambana na Rais samia katika sanduku la kura.

Kwa kuwa kila mwana CCM anatambua kuwa ni Rais samia ndiye anatakiwa kumalizia muhula wake wa pili. Ndio maana unaona kwa sasa Wana CCM wote wanatambua hilo na hakuna vuguvugu kama mlilokuwa mkiliona kuanzia mwaka 2010-2015 ambapo wote walitambua kuwa mzee wetu mh Dr Jakaya Mrisho Kikwete alikuwa anamaliza muda wake kikatiba wa kukaa madarakani.

Hii ndio maana unaona mambo ni shwari na Tulivu ndani ya chama na ndani ya serikali na kila mtendaji wa serikali na chama amejielekeza katika kufanya kazi kuhakikisha kuwa ilani ya CCM na yote yalimo na yaliyo ahidiwa kwa wananchi yanatekelezwa kikamilifu na wananchi wanapata huduma bora na Taifa letu linapaa kimaendeleo na kiuchumi.

Hata hivyo niwaulizeni ndugu zangu ni kipi unachoweza ukasema hiki na hiki Rais samia hajafanya wala kugusa,Ni wapi ambako Rais samia hajagusa? Ni nani hajafikiwa na mikono ya Rais samia? Ni wapi hakujapelekwa fedha za maendeleo? Ni nani ameonewa au kukandamizwa au kunyanyaswa na uongozi wa Rais samia?? Kundi gani limetengwa katika uongozi wake? Nani hajaguswa na uchumi wa Rais samia? Nani hana matumaini ya kesho iliyo bora chini ya uongozi wa Rais samia?

Angalieni na rudisheni kumbukumbu nyuma namna Rais samia alivyopokea nchi katika mazingira magumu ya kiuchumi yaliyo chochewa na ugonjwa wa COVID 19 na vita vya ukrein.Angalieni namna alivyo jenga uchumi unaogusa maisha ya kila mtanzania,angalieni namna alivyojenga vituo vya afya ,zahanati,shule ,kutoa maelfu ya ajira kwa vijana ,kuwapandisha madaraja watumishi wa umma,kuwaongezea nyongeza ya kila mwaka watumishi wa umma,kutoa Ruzuku ya mabilioni katika kilimo na hata mafuta pale yalipopanda Bei pamoja na kuimarisha Demokrasia nchini.

Ni kazi ,akili ,jasho na juhudi za Rais samia ambapo leo hii Tanzania inapokea mafuriko ya watalii na wawekezaji kutoka kila pembe ya Dunia, hasa baada ya wazo lake la Royal Tour ya kutangaza vivutio tulivyo navyo. Ukiona wanafunzi wa vyuo vikuu wanapokea Elfu kumi kila siku,ukiona Elimu ni Bure mpaka kidato cha sita yote hayo na vyote hivyo vimefanywa na kufanyika chini ya uongozi wake shupavu na madhubuti wa Rais samia. Ni samia ndiye aliyewafanya wafanya biashara kufanya biashara pasipo bughudha wala wasiwasi huku mapato yakipaa mpaka Trioni 2 kwa mwezi. Ni Rais samia na serikali yake ambaye amekifaya kilimo kiwe kimbilio la wengi na watu kuona fahari kuwa wakulima hasa baada ya kukipa thamani yake stahiki na kuwafuta machozi wakulima waliokuwa wamepinda migongo kwa dhoruba za jembe la mkono .

Nawakumbusheni kuwa ni Rais samia ambaye amevifanya vyama vya kisiasa ,wadau wa demokrasia kukaa kwenye ukumbi mmoja na kujadili masuala ya demokrasia kwa mstakabali mwema wa Taifa letu pasipo uhasama ama chuki,Ni Rais samia amewezesha leo hii Tanzania Tunakuwa kimbilio la wakenya wanyonge wanaokuja kununua mafuta nchini baada kwao mafuta kuwa bei juu.Ni Rais samia amefanya leo watanzania kuzungumza maoni yao pasipo hofu wala wasiwasi japo wengine wanatumia uhuru huo kuporomosha matusi.

Nini tunataka Rais samia afanye mpaka mioyo yetu iridhike ndugu zangu? Mnakumbuka aliko tutoa? Nani hajapata matumaini ya kutimiza ndoto zake katika uongozi wake Rais samia? Nani amekata Tamaa na kukatishwa Tamaa na Rais samia? Kipi hajafanya? Kipi hakijasikilizwa? Nani hajasikilizwa hoja zake? Nani yupo mahabusu au jera kwa uonevu wa serikali ya Rais samia? Nani amenyang'anywa mali yake na serikali ya Rais samia kwa uonevu? Nani amezuiwa kufanya biashara? Nani amefanya kazi kwa bidii, juhudi na maarifa na hajafaidika na jasho lake na kupata matokeo chanya?

Nani haoni juhudi za Rais samia katika kupeleka maendeleo kila eneo? Hamjasikia habari za ujenzi wa njia nne za barabara za lami zaidi ya km 237.9 kutoka igawa Mbeya hadi Tunduma mkoani Songwe? Hamjasikia ujenzi wa vyumba vya madarasa zaidi ya elfu moja vinakwenda kujengwa kuongezea kwa vile zaidi ya elfu ishirini vilivyojengwa mwaka jana? Hamjasikia Habari za uboreshaji wa kilimo kupitia BBT kuwawezesha vijana? Yote haya si amefanya Rais samia? Yote haya si ni kwa faida ya watanzania? Yote haya si yameleta Matumaini kwa watanzania? Yote haya si yametusaidia sote kwa pamoja?

Nani amelima akakosa soko la mazao yake? Nani amekwenda hospitalini akakosa huduma? Nani mwanae amekosa mkopo wa elimu ya juu ikiwa amekidhi vigezo? Nani amefungiwa biashara yake na TRA kwa uonevu? Yote haya nani kafanya kama siyo Rais samia? Mnakumbuka china ilitusamehe Deni la Billion 31? Unafikiri ni nani kama siyo ushawishi wa Rais samia angefanya hilo litokee? Unafikiri kwanini makamu wa Rais wa Marekani alikuja nchini na kuziacha na kuziruka nchi zingine? Unafikiri kama siyo Rais samia ingewezekana kupokea ugeni huo mzito na waheshima?

Tunataka nini cha ziada kutoka kwa Rais samia? Nini ambacho hajafanya? Nini ambacho mnataka aje mwingine badala yake ili aje akifanye ambacho akijaguswa na kufanywa na Rais Samia? Wapi hajatazama Rais wetu? Afanye nini tukubali uchapa kazi wake ndugu zangu? Achukue hatua zipi zaidi ya haya aliyo yafanya? Ndugu zangu changamoto huwa hazikosekani lakini kwamba watanzania hatuoni juhudi za Rais samia katika kutatua na kumaliza changamoto?kwamba Hatuoni dhamira yake njema kwa Taifa letu ndugu zangu?

Niambie ndugu zangu kasoro ya Rais samia ni ipi ambayo haivumiliki wala kusahihishwa? Niambieni ndugu zangu katika ubinadamu wake ni wapi ambapo Rais samia hajawasikiliza watanzania? Ni wapi hajatoa nafasi kwa jambo lolote lile kwa watanzania kulizungumza na kutoa maoni yao?

Tukubali kuwa Rais samia anatosha kuendelea kuliongoza Taifa letu mpaka 2030,Anastahili kuendelea kuaminiwa na sisi watanzania,Anapaswa kuungwa mkono na kila mtu mwenye mapenzi mema na Taifa letu,Ni uzalendo kuendelea kusimama na Rais samia, Ni fahari kuongozwa na Rais Samia na Ni muhimu kumpa muhula wa pili kwa maslahi mapana ya Taifa letu ili amalizie kazi kubwa anayoendelea kuifanya kwa Taifa letu.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Maelezo marefu samaki kama kaoza kaoza tu hata umtie viungo vyote vya ulimwengu haiwezi badilisha uhalisia!
 
Back
Top Bottom