Kikwete aelekea US, Pinda atangaza ongezeko la bei kwa watumiaji umeme!

ameenda kutoa tarifa kwa obama kwanini ile meli imezama vinginevyo ule msaada usengeletwa tena
 
wakati huo huo waziri mkuu pinda ametangaza kuwa serikali inakusudia kuongeza bei ya umeme kwa sababu tanesco inajiendesha kwa hasara.mia

Nimekwazika, nimekasirika,

Tutaendelea kupandisha umeme mpaka lini?

Kwa nini muendelee kulipa Dowans na IPTL hawa ndo wanapandisha gharama za umeme,

Tumechoka.
 
Lazima itakuwa st.pingirimavi.semiray yenye kusomesha upadre na utawa..

Meaningless qualification for the nation..

Topical nadhani bado hujagundua kuwa huyo legevu mzururaji unayemtetea ameenda marekani ambapo agenda kuu ni kupambana na vigazeti uchwara kama al nur ambavyo vinapalilia ugaidi duniani kupitia imani yenu.
 
huyu pinda kasema anaenda kuongea na BARRICK kumbe ndio kupandisha na bei za umeme

hao TANESCO wanajiendesha kwa hasara kwa umeme upi? au ndio tunalipia mafuta ya hayo majenereta

Tanesco wanawalipa IPTL bilioni 15 kwa mwezi achilia mbali madeni mengine kufuatia mikataba mibovu serikali iliyoingia

tupime gharama ya kuzalisha umeme na bei inayouzwa kwa mlaji tuelezwe hiyo hasara inatoka wapi ukiachilia mbali upotevu njiani
 
Kama kaacha picha yake ofisini inatosha coz his presence makes no difference..
 
Kuna taratibu za kupandisha bei kwa taratibu Tanesco inaomba kwa EWURA na walaji/watumiaji tunaitwa na kujadili. wanapandisha bei kwa umeme upi mapato yameshuka kwa kuwa hakuna umeme wa kuuza
 
Duh, Mkuu Jasusi, heshima mbele mkuu...ni kitambo sana toka tupoteane humu jamvini...salama?
 
Safari njema mkuu JK, msalimie papaa Obama. Hiyo nchi unayoenda Slaa hajawahi kukanyaga toka alaziwe. Nchi yake kutembelea nje ya Tanzania ni Italia tu.
You have indications for a very severe condition. If it is an act be sute that it will cost you. Take politics of which you have taken an affiliation into out of my Diagnosis.
 
Safari njema mkuu JK, msalimie papaa Obama. Hiyo nchi unayoenda Slaa hajawahi kukanyaga toka alaziwe. Nchi yake kutembelea nje ya Tanzania ni Italia tu.

Ila we jamaa ufikiri wako unafurahisha sana kama sio kuchekesha,Kwani kwenda Marekani ndo nini? kwa slaa kutokwenda marekani ina implication gani ya uwezo wa kuongoza na kuwa leader with power ??(note: mH.MKWER is powerless) .Dah,kumbe ukishakua magamba akili yako inakuwa na magamba pia.Kw CCM kufanya picnic nyingi ndo ishu ya msingi.sisiemu are cursed.
 
Eee Mungu ile ndege yetu idondoke Atlantic Ocean na ipotee kama ilivyopotea meli ya wanyonge unguja
 
Kiguu na njia kama kawa. Ufunguzi wa UNGA kisingizio tu cha safari. Kibaki kaudhuria mara moja tangu ashike madaraka. Yeye kila mwaka yumo + ile miaka aliyokuwa anatumwa na Nkapa.
 
Eeeh! Tunusuru na hii nazi inayotuongoza!!!! Miaka minne iliyobaki tujifunge mkanda.
 
Kweli JK kichwa ngumu wakuu...huku kafanya uteuzi wa wabunge kuwa wakuu wa mikoa kitu ambacho watanzania walikuwa wanakipigia kelele muda mrefu...baada ya hapo huyu USA kula good time,na kuwaacha watanzania tunakufa kwa ajali,moto nk...kweli JK ni sikio la kufa lisilosikia dawa....

Kikwete ni mkweree, asili yao hawasikii ushauri wowote wa maana na ndio maana mafukara; pia masikio yake ni ya kufa hayasikii dawa ama sivyo makelele yote hayo anayopigiwa anasema hayamfanyi asilale mlango wazi!! The writing is on the wall you better read it buddy wherever you are!!.
 
Safari njema mkuu JK, msalimie papaa Obama. Hiyo nchi unayoenda Slaa hajawahi kukanyaga toka alaziwe. Nchi yake kutembelea nje ya Tanzania ni Italia tu.

Safari hizi unazoshabikia zinakukamua wewe kama ng'ombe anavyokamuliwa maziwa, sasa kheri ngombe ana chuchu wewe sijui wanakukamua wapi..........!
 
Back
Top Bottom