sasa hapo wewe unaona umechangia kitu?
wakati huo huo waziri mkuu pinda ametangaza kuwa serikali inakusudia kuongeza bei ya umeme kwa sababu tanesco inajiendesha kwa hasara.mia
Lazima itakuwa st.pingirimavi.semiray yenye kusomesha upadre na utawa..
Meaningless qualification for the nation..
huyu pinda kasema anaenda kuongea na BARRICK kumbe ndio kupandisha na bei za umeme
hao TANESCO wanajiendesha kwa hasara kwa umeme upi? au ndio tunalipia mafuta ya hayo majenereta
You have indications for a very severe condition. If it is an act be sute that it will cost you. Take politics of which you have taken an affiliation into out of my Diagnosis.Safari njema mkuu JK, msalimie papaa Obama. Hiyo nchi unayoenda Slaa hajawahi kukanyaga toka alaziwe. Nchi yake kutembelea nje ya Tanzania ni Italia tu.
Safari njema mkuu JK, msalimie papaa Obama. Hiyo nchi unayoenda Slaa hajawahi kukanyaga toka alaziwe. Nchi yake kutembelea nje ya Tanzania ni Italia tu.
Mr. Kuzurura.
Kweli JK kichwa ngumu wakuu...huku kafanya uteuzi wa wabunge kuwa wakuu wa mikoa kitu ambacho watanzania walikuwa wanakipigia kelele muda mrefu...baada ya hapo huyu USA kula good time,na kuwaacha watanzania tunakufa kwa ajali,moto nk...kweli JK ni sikio la kufa lisilosikia dawa....
Safari njema mkuu JK, msalimie papaa Obama. Hiyo nchi unayoenda Slaa hajawahi kukanyaga toka alaziwe. Nchi yake kutembelea nje ya Tanzania ni Italia tu.