Unaweka argument kumtetea Nyerere wakati idea za Nyerere za Ujamaa zilishindwa kabisa. Hata Warusi walikuwa na modeli yao ya Ucommonist na walifeli kabisa.
Kosa kubwa la Nyerere siyo Ujamaa, tatizo lake kubwa ni lile la kulea wanafiki. Angekuwa na utaratibu mzuri wa kuchuja wanafiki, basi wakati anaondoka madarakani angerithiwa na watu ambao wangerekebisha makosa yake na kuendeleza mazuri yake. Lakini alikuwa na wanafiki ambao walikuwa hawajui Nyerere anataka kufikia lengo lipi. Kwa hiyo baada ya Nyerere kuondoka kila mtu akaja na la kwake; nchi ikawa derailed kabisa.
Kwanini Korea kaskazini imeachwa na kusini kwa mbali sana? nchi iliyoko ktk nchi za baridi inayobanana na nchi za afrika ujue nchi hiyo ni masikini sana.Maana mahitaji ya kwa baridi ni makubwa mnoo. Ukifika korea kaskazini utatoa machozi.
Mkuu wangu huu mfano mzuri sana.. sasa tazama orodha nzima (which you overlooked) ni nchi ngapi za Kijamaa zipo hapa?..bila shaka kuna nchi za kijamaa chache kuliko za Kibepari au sio?, na Kenya ambao hawajawahi kuwa wajamaa imekuwaje wawe nafasi ile ikiwa Ubepari ndio njia?..Sudan 2,200 2010 est.
153 Mauritania 2,100 2010 est.
154 Tajikistan 2,000 2010 est.
155 Cambodia 2,000 2010 est.
156 Gambia, The 1,900 2010 est.
157 Senegal 1,900 2010 est.
158 Chad 1,800 2010 est.
159 Côte d'Ivoire 1,800 2010 est.
160 São Tomé and Príncipe 1,800 2010 est.
161 Korea, North 1,800 2009 est.
162 Bangladesh 1,700 2010 est.
163 Lesotho 1,700 2010 est.
164 Benin 1,600 2010 est.
165 Ghana 1,600 2010 est.
166 Kenya 1,600 2010 est.
167 Tuvalu 1,600 2002 est.
168 Tanzania 1,500 2010 est.
Angalia North korea wajamaa na Tanzania wajamaa wanavyovutana mashati. Teh teh teh,
jk wa sasa ak juma kaseja alwahi kusema kwamba angependa kuona hizo statistic za uchumi nk zina onyesha maisha wa mtz, nyerere aliweza kureflect hizo idea zake na maisha ya mtz, kwani tuliona ajira zaidi za watz, nyumba bora kwa ajili ya watz, kama nhc, bhesco, hosco, nbc, crdb, thb, bora , tcc nk nk, sasa wewe na theory zako je waweza kutuonyesha, impact ya theory za sasa ktk maisha ya watz?
Mkuu wangu huu mfano mzuri sana.. sasa tazama orodha nzima (which you overlooked) ni nchi ngapi za Kijamaa zipo hapa?..bila shaka kuna nchi za kijamaa chache kuliko za Kibepari au sio?, na Kenya ambao hawajawahi kuwa wajamaa imekuwaje wawe nafasi ile ikiwa Ubepari ndio njia?..
Kufanikiwa kwa nchi yeyote kunategemea vitu vinne - Watu, ardhi, Siasa safi na Uongozi bora. Sasa sisi maadam tuligundua kuwa siasa safi ndio ilikuwa tatizo letu imekuwaje leo baada ya kubadilisha tuna matatizo zaidi kuliko mwanzo hali tumechukua siasa safi?...Bila shaka kuna tatizo ktk yaliyobakia ambayo tukisema WATU, kweli lipo tatizo la elimu na nguvukazi kwani hatukujiandaa kuingia Ubepari, na viongozi bora - Hatuna.
Hivi visingizio vya Nyerere na Ujamaa haviwezi kabisa kutupeleka popote hata kama utatoa mifano millioni kwani mfano wa Korea kusini na Kaskazini ni sawa na kuuliza mbona Marekani Matajiri hali Mexico sii Matajiri wakati wote ni Mabepari?
Nadhani watu mnashindwa kuelewa ujamaa maana yake ni nini?....maana yake ni serikali kuunmiliki uchumi!!!!..Norway inamiliki asilimia 57% ya uchumi wake na china inamiliki 19% ya uchumi wake! Tanzania 25%...sasa mkamap nieleze kati ya hizo nchi ipi ni ya kijamaa na nchi ipi ina per capita GDP kubwa?
Nadhani watu mnashindwa kuelewa ujamaa maana yake ni nini?....maana yake ni serikali kuunmiliki uchumi!!!!..Norway inamiliki asilimia 57% ya uchumi wake na china inamiliki 19% ya uchumi wake! Tanzania 25%...sasa mkamap nieleze kati ya hizo nchi ipi ni ya kijamaa na nchi ipi ina per capita GDP kubwa?
Unashindwa kuelewa, ujamaa ulikuwepo ukashindwa, na kwabahati mbaya wazee walioshindwa ujamaa ndo bado wanaendesha serikali kwa kibepari wakati kichwani mwao wana ideology ya kijamaa. Ndo maana nikasema tuwapige chini wazee, waiingie vijana wenye mawazo ya kibepari na waendeshe serikali kibepari. Jiridhishe usome tangu mwanzo wa thread hii. Hakuna ninaposema Tanzania sasa ni ujamaa, nasema viongozi wazee ndo wajamaa wanatakiwa wapigwe chini na ujamaa wao.
Kwanini unawaleta failures na unawaondoa winners? Ndiyo maana nimekuwekea mode of production ya govervanance ya Scandinavia na Israel; tena mfano wa siasa ya Nyerere hasa kwenye land ownership inafanana sana na China na mimi juzi nimefanya case studies za China actually sijui walimsoma Nyerere waliboresha siasa yetu ya ujamaa na kujitegemea. Duniani watu hawaigi failures japo wanatumika kujisomea ili tusifanye makosa kama yao. Ningekuwa na muda ningekueleza kwanini Urusi umefail na China wameweza japo wote walikuwa in the same block. Nimefanya case study zao siongei nisichokijua. Kwasababu na malengo yangu vinginevyo ningekupa hizo documents.
Kama ujamaa ume fail basi Scandinavians Israel China and even Venezuela without forgetting Libya must not be removed from the list of the failures. Ujamaa concept ni continuum concept na extent varies from scenario to scenario mwenzangu hapo juu amekuja na facts ambapo levels za government investiment ameziweka sasa kama unapenda kubisha hatuna cha kukusaidia. Wewe endelea kubisha huku wengine tukiendelea kukata kitabu usiku na mchana huku tuki weka pilot projects before we come public with tested models zenye practical facts. I hope by this have made myself clear!
Kwanza lazima ujue Israel haijitegemei Kiuchumi. USA wanatumia mabillion ya hela ktk foreign aid kila mwaka kusupport uchumi wa Israel.
Kuhusu China, uchumi waChina ulifeli mpaka walipoaddapt capitalism idea ktk uchumi wao. Sasa hivi Wachina wana mixed economy kitu ambacho kinawasadia kumanipulate their currency ili wasiwe na strong currency ktk world market.
Nipe reference, ambayo inasema scandinavia ni ujamaa, sio mnajenga hoja za kufikirika tu ku justfy hoja yenu. Lete hata katiba ya nchi moja ya scandinavia inaposema ujamaa.
Maupindisha ujamaa kwa hoja zenu, wakati mnafahamu kabisa jinsi ujamaa unavyofanya kazi, vijiji vya ujamaa, maduka ya ujamaa, mashirika ya ujamaa, mabasi ya ujamaa. nk.
Kwanza lazima ujue Israel haijitegemei Kiuchumi. USA wanatumia mabillion ya hela ktk foreign aid kila mwaka kusupport uchumi wa Israel.
Kuhusu China, uchumi waChina ulifeli mpaka walipoaddapt capitalism idea ktk uchumi wao. Sasa hivi Wachina wana mixed economy kitu ambacho kinawasadia kumanipulate their currency ili wasiwe na strong currency ktk world market.
Tatizo lako sijui ni lipi ebu niambie theory ya communication ilianza na ICT tuliyo nayo leo? Kwataarifa yako evolution ya ICT haiweki pembeni inovation ya type writers na mathematic formulars (Algorithm) zilizogunduliwa na yule mwingereza mwanamke na mume wake anayeitwa Augusta Ada Byron. Kuna basics katika mwanzo wa kitu theory inabakia kama a direction lakini implementation ina time factor kama variable ndiyo maana kuna static models ku potray kitu bila variations; dynamic models zinazo contain time factor and assumptions depending on environment that theory is to be practiced to make the theory practicable. Hatupindishi ila tunataka kukuelimisha usiwe una kariri bali unaelewa subject matter wakati wa Mwl mazingira ya wakati huo yali sababisha katika practice assumptions fulani kuzingatiwa mojawapo ilikuwa political environment; Sasa katika era hii ya free market economy ku practice ujamaa kwa kutumia static models za enzi za cold war sasa hapo mimi na wewe nani anayetaka kupindisha mambo? Ebu kwa mfano wa Scandinavia niambie huo ni ubepari ama ujamaa? Labda wewe ukinisaidia kujua which is which utanirahisishia mimi kukuelewa badala ya kuendelea kukubishia.
Kuhusu katiba zao je Scandinavia wanatumia kiswahili katika katiba yao upate exactly the word Ujamaa na kujitegemea kwa maana halisi ya context yake ukihusisha siasa ya Ujamaa na kujitegemea ya Tanzania chini ya Nyerere the theorist? Jamani nyie kama ndiyo wachumi tunaowategemea huko nyumbani basi inabidi waalimu tukazane sana kuwapiga msasa maana mnatafsiri kazi yetu kuwa hatuifanyi vizuri.
As an economic system, socialism is based on the direct allocation of economic inputs (the means of production) and production for use. Production is therefore planned and does not suffer from the cyclical fluctuations inherent to economies based on capital accumulation. Accounting for the use of economic inputs is based on calculation in-natura, while final goods and services are distributed through markets.
Market socialism retains the process of capital accumulation, but subjects investment to social control, utilizing the market to allocate the factors of production. The profit generated by publicly owned firms would go to a social dividend, which would be used for public investment or public finance. Market socialist theories range from libertarian theories like mutualism, to theories based on Neoclassical economics like the Lange Model.
The ownership of the means of production can be based on direct ownership by the users of the productive property through worker cooperative; or commonly owned by all of society with management and control delegated to those who operate/use the means of production; or public ownership by a state apparatus. Public ownership may refer to the creation of state-owned enterprises, nationalisation or municipalisation. The fundamental feature of a socialist economy is that publicly owned, worker-run institutions produce goods and services in at least the commanding heights of the economy.[17][18]
Management and control over the activities of enterprises is based on self-management and self-governance, with equal power-relations in the workplace to maximize occupational autonomy. A socialist form of organization would eliminate controlling hierarchies so that only a hierarchy based on technical knowledge in the workplace remains. Every member would have decision-making power in the firm and would be able to participate in establishing its overall policy objectives. The policies/goals would be carried out by the technical specialists that form the coordinating hierarchy of the firm, who would establish plans or directives for the work community to accomplish these goals.
Wewe usinipe DESA lako harafu utake nitoe jibu kwenye DESA lako. Ujamaa ni ule mliokuwa mnaenda kulima mashamba ya ushirika kama ulikuwepo, ama yale mavyama ya ushirika, ama maduka ya ushirika na vitu vya namna hiyo.
Ha ha ha huko kwenye communication na ICT, teh teh teh teh. Nakufahamu vizuri sana, communication ni tele means distance na communication ni mawasiliano. Telecommunication ya mwanzo haijazaa na algorithm yoyote bali walitumia farasi kupeleka information (barua) kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
Aliyebadirisha historia ya communication ni bwana Fourrier mfarasa na uwezo wake wakuia nalyse spectrum, na wakati ana present paper lake profesa na bingwa wa mahesabu langelange alipinga sana, lakini hadi leo ndo Fourrier ameibuka kidedea. Mengine utabaki na hadithi tu kwamba scandinavia ni wajamaa.