Zimmermann
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 2,794
- 1,235
picha please...
Hivi jamani...sie tumekalia kuwashambulia kina Sheikh Ponda, Sheikh Farid, JK...mara ooooh radio Imaan kuwa wanapanda mbegu za udini na wanachochea vurugu....what are we doing hapa JF? Ukiangalia kila thread ya udini watu wanatukanana na kudhalilishana sana tu hapa jamvini, ni sababu tu tumejificha nyuma ya majina 'feki' na avatars, la sivyo nasi tungeshachapana sana hapa kwa misimamo ya kisiasa, kikabila na kidini....tuna tufauti gani na Sheikh Ponda au Farid? Tunayoongea humu yana tofauti gani na wanayoongea kwenye mihadhara ya kudhalilishana kiimani?!
Na ukifuatilia kila aina ya thread inayoanzishwa humu jamvini inayohusu kejeli na kukshifu iman za watu waanzilishi wanakua ni makafiri dhidi ya uislam na waislam,,napata tabu sana na najiuliza hivi moderators nao ni jopo la washabiki wa haya mambo??mana sion wakichukua hatua yoyote either kuzifungia au kukemea mambo kama haya,nia yao nin wanataka nasisi waislam tujibu haya matusi ili watangaze mshindi ni nani??
Makafiri wana choko choko sana..
vipi tena hao waislamu mbona wanataka kulazimisha wanavyotaka wao kwani wanajua kiza cha huko Mbagala.Jamani viongozi na maimam jaribuni kuwaelimisha hao vijana ili tuacha kulumbana na vitu ambavyo havina msingi wowote tuiachie mamlaka huzika itende kazi yake na isipotenda hapa kuna ulazima wa kulazimisha na kudai haki kwa hao wahusika na hapo kwa muislami mwenye akili ataunga mkono na serikali itakubali bila kipingamizi
ponda akojolewa rumande
Tunakoelekea siko. Kama hawa watu wangekuwa na ajira ya uhakika bila shaka wasingetusumbua hivi!!!!
Sasa hiyo ajira ya uhakika itatoka wapi na elimu ya kujua kusoma Quran tukufu.
Waambieni waende Hospitali ya Muhimbili wanahitajika Madaktari wa Upasuaji wanaojua Kiarabu.
Na pia ofisi za Vodacom, AIRTEL na TTCL wanahitajika Telephone operators wanaojua Kiarabu. Lakini mfano ofisi yetu ni ya Mwarabu lakini ameajiri wanaojua Lugha zilizoenda shule tu.
MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
Na ukifuatilia kila aina ya thread inayoanzishwa humu jamvini inayohusu kejeli na kukshifu iman za watu waanzilishi wanakua ni makafiri dhidi ya uislam na waislam,,napata tabu sana na najiuliza hivi moderators nao ni jopo la washabiki wa haya mambo??mana sion wakichukua hatua yoyote either kuzifungia au kukemea mambo kama haya,nia yao nin wanataka nasisi waislam tujibu haya matusi ili watangaze mshindi ni nani??
Makafiri wana choko choko sana..
Ni ukosefu wa akili tu,wao kuchoma makanisa na wakristo wakiamuwa kuandamana itakuwaje?.ni ukosefu wa ustarabu na elimu pia,mtu uliyekamilika huwezi fanya kitu kama hicho!,