Kikundi cha Waislam chatawanywa kwa mabomu Mnazi mmoja - Dar

mwinukai

JF-Expert Member
May 3, 2011
1,447
630
mchana huu polisi wamepiga mabomu hapa mnazimoja kusambaratisha kikundi cha Waislamu kilichokuwa kikiandamana kupinga Waislamu wenzao waliokamatwa huko Mbagala.
 
mchana huu polisi wamepiga mabomu hapa mnazimoja kusambaratisha kikundi cha Waislamu kilichokuwa kikiandamana kupinga Waislamu wenzao waliokamatwa huko Mbagala.

Vipi kuhusu Ponda, hawakuzungumzia hilo?
 
Vipi kuhusu Ponda, hawakuzungumzia hilo?

Ngoja nishuke niwaulizie zaidi maana naona nikiwa ghorofani nikishuka nitakujuza zaidi, ila mbegu alizopanda JK na CCM sasa zinachanua kwa kasi
 
vipi tena hao waislamu mbona wanataka kulazimisha wanavyotaka wao kwani wanajua kiza cha huko Mbagala.Jamani viongozi na maimam jaribuni kuwaelimisha hao vijana ili tuacha kulumbana na vitu ambavyo havina msingi wowote tuiachie mamlaka huzika itende kazi yake na isipotenda hapa kuna ulazima wa kulazimisha na kudai haki kwa hao wahusika na hapo kwa muislami mwenye akili ataunga mkono na serikali itakubali bila kipingamizi
 
Ni ukosefu wa akili tu,wao kuchoma makanisa na wakristo wakiamuwa kuandamana itakuwaje?.ni ukosefu wa ustarabu na elimu pia,mtu uliyekamilika huwezi fanya kitu kama hicho!,
 
nimepita muda huu mnazi mmoja polisi wengi wenye bunduki wako eneo la remsi m.moja dar?nahisi kuna ujambazi,mwenye taarifa atujuze
 
Movie ndo inaanza naona starring leo nani mbona nasikia Starring mkuu Ponda amekamatwa?
 
Ni ukosefu wa akili tu,wao kuchoma makanisa na wakristo wakiamuwa kuandamana itakuwaje?.ni ukosefu wa ustarabu na elimu pia,mtu uliyekamilika huwezi fanya kitu kama hicho!,

Mkuu umeona enh?..Ok, waandamane waelekee wapi?mf. nani atapokea maandamano, ulinzi wa Polisi waliomba?
Hakuna wanaozuiwa kuandamana, lakini tufate taratibu jamani! ..Halafu Si kila kitu lazima kuandamana, kutoa tamko n.k!
 
Hicho kitakuwa ni kikundi cha watu wachache tu wanatumia jina la waislaam, lakini siamin kama Waislaam wa kweli hawana busara kiasi hicho. Tena nashauri Kova ametume askari wenye majina yanayofanana na mjina yao, Afande Ramadhan, afande Salum, Afande Ustaadhi Juma na yanayofanana na hayo ili wakawashulikie vizuri wenzao maana waislaam wasio na busara wanaangalia hata majina ya askari walikuja kuwakamata ili waseme wakrito wanawaonea au wanapendelewa.
 
Natabiri huu mwezi unaweza usiishe kabla risasi ya moto haijatafuna mmoja kama wakiendelea na huu ukosefu wa subira.
 
Back
Top Bottom