Kikundi cha Waislam chatawanywa kwa mabomu Mnazi mmoja - Dar

Bado waislamu wanaendelea kuonyesha upuuzi wao hawajatosheka na aibu ya kuiba na kukamatwa sasa wanaendelea eti watolewe wezi ili iweje au ndio uislam unavyosema?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hv waislam huwa wengi hawana kazi za kufanya ni kucheza bao tu ama?maana mida hii mtu unatakiwa uwe ofisini kwako
 
vipi tena hao waislamu mbona wanataka kulazimisha wanavyotaka wao kwani wanajua kiza cha huko Mbagala.Jamani viongozi na maimam jaribuni kuwaelimisha hao vijana ili tuacha kulumbana na vitu ambavyo havina msingi wowote tuiachie mamlaka huzika itende kazi yake na isipotenda hapa kuna ulazima wa kulazimisha na kudai haki kwa hao wahusika na hapo kwa muislami mwenye akili ataunga mkono na serikali itakubali bila kipingamizi
Thatha itakuwa je!Aithee!
 
Ngoja nishuke niwaulizie zaidi maana naona nikiwa ghorofani nikishuka nitakujuza zaidi, ila mbegu alizopanda JK na CCM sasa zinachanua kwa kasi
Ni kweli kabisa unachosema, hii mbegu ya udini, imepaliliwa sana na CCM hasa baada ya kufa Nyerere, na imezidi sana awamu hii ya JK. Hamkumbuki maimamu kule Igunga walivyokuwa wanamnadi Dr Kafumu wa CCM msikitini, huku makada wa CCM, wakichekelea kwa nguvu sana! Hivi sasa makanisa yamechomwa moto, ndiyo wanajidai eti kuwakemea waislamu, wasijichukulie sheria mkononi!!
 
ni kweli na baadhi ya watu wamekamatwa. walikua wakishinikiza ponda na wale walio kamatwa mbagala waachiwe. mia
 
hivi akitokea muislamu mmoja akaihadaa dunia kwa kuchoma msikiti 1 tu, Tanzania itakalika kweli? kwani siamini kama hao wakristo wanahisia za kipuuzi za kulipiza kisasi kiajabu namna wafanyavyo waislamu...Me with my GOD with my Soul...natafakari kisha natenda kwa hisia za hekima kama alivyonituma yeye atoaje mamlaka ya elimu na busara bila ya kuwaumiza wengine wote waitwao Binadamu....Tanzania na amani yetu ni azma ya kila mtu kutimiza wajibu na kuheshimu fikra na hisia za mwenzie bila ya kuuhadaa uvumilivu wa mwingine
 
Waislam hawa daaah... Hadi inaboa yani.. Mara wenyewe kwa wenyewe... Mara na polisi duh,.... Hawana kazi za kufanya? Polisi piga hao
 
Suruali fupi na bagarshia chakavu

Matatizo ya akili za kushikiwa, wenye akili zao wanachakarikia maisha tu saa hizi...

Piga hao wowowoooooo!!!

Nasema piga hao mburula/Boko haram

Hivi jamani...sie tumekalia kuwashambulia kina Sheikh Ponda, Sheikh Farid, JK...mara ooooh radio Imaan kuwa wanapanda mbegu za udini na wanachochea vurugu....what are we doing hapa JF? Ukiangalia kila thread ya udini watu wanatukanana na kudhalilishana sana tu hapa jamvini, ni sababu tu tumejificha nyuma ya majina 'feki' na avatars, la sivyo nasi tungeshachapana sana hapa kwa misimamo ya kisiasa, kikabila na kidini....tuna tufauti gani na Sheikh Ponda au Farid? Tunayoongea humu yana tofauti gani na wanayoongea kwenye mihadhara ya kudhalilishana kiimani?!
 
kwa kweli wana tia hasira sana, polisi wangewashugulikia vizuri wasiwaogope.
 
Hivi jamani...sie tumekalia kuwashambulia kina Sheikh Ponda, Sheikh Farid, JK...mara ooooh radio Imaan kuwa wanapanda mbegu za udini na wanachochea vurugu....what are we doing hapa JF? Ukiangalia kila thread ya udini watu wanatukanana na kudhalilishana sana tu hapa jamvini, ni sababu tu tumejificha nyuma ya majina 'feki' na avatars, la sivyo nasi tungeshachapana sana hapa kwa misimamo ya kisiasa, kikabila na kidini....tuna tufauti gani na Sheikh Ponda au Farid? Tunayoongea humu yana tofauti gani na wanayoongea kwenye mihadhara ya kudhalilishana kiimani?!

upo sawa kaka, natamani kila mmoja aisome hii comment yako.
 
Nimesema mara nyingi, waislamu wasidhani wakristo ni wajinga au hawana nguvu ya kupigana nao. Pindi wakisema basi liwalo na liwe hii nchi haitakalika si kwa waislamu au wakristo maana itakuwa ni kuchinjana kwenda mbele.
 
vipi tena hao waislamu mbona wanataka kulazimisha wanavyotaka wao kwani wanajua kiza cha huko Mbagala.Jamani viongozi na maimam jaribuni kuwaelimisha hao vijana ili tuacha kulumbana na vitu ambavyo havina msingi wowote tuiachie mamlaka huzika itende kazi yake na isipotenda hapa kuna ulazima wa kulazimisha na kudai haki kwa hao wahusika na hapo kwa muislami mwenye akili ataunga mkono na serikali itakubali bila kipingamizi
umenena point mkuu. Suluhisho kamili ni hawa viongozi wao, masheikh nk wawaelekeze waumini wao ustaarabu. Swali ni je hawa viongozi si sehemu ya tatizo? Uongozi wa kiislamu una structure gani? Sijui.
 
Back
Top Bottom