Kikundi cha Waislam chatawanywa kwa mabomu Mnazi mmoja - Dar

Hivi jamani...sie tumekalia kuwashambulia kina Sheikh Ponda, Sheikh Farid, JK...mara ooooh radio Imaan kuwa wanapanda mbegu za udini na wanachochea vurugu....what are we doing hapa JF? Ukiangalia kila thread ya udini watu wanatukanana na kudhalilishana sana tu hapa jamvini, ni sababu tu tumejificha nyuma ya majina 'feki' na avatars, la sivyo nasi tungeshachapana sana hapa kwa misimamo ya kisiasa, kikabila na kidini....tuna tufauti gani na Sheikh Ponda au Farid? Tunayoongea humu yana tofauti gani na wanayoongea kwenye mihadhara ya kudhalilishana kiimani?!

umenena mkuu Riwa
 
Last edited by a moderator:

Mkuu, mimi simshambulii mtu bali huo ndiyo mtazamo wangu,
na jina ninalotumia ni halisi wala si 'feki', hiyo avatar pia ni
picha yangu ya utotoni. Hata hivyo, nayaheshimu mawazo yako..
 
Yataisha tu hayo ni mambo ya kupita. Tukumbuke ya mwembechai. Ila ni vizuri sheria ikafuatwa kuliko vurugu itakayosababisha maisha ya mtu kupotea. Kama tunavyowafahamu polisi wetu wanaweza kua na utakuwa ndiyo mwisho wako.
 
Waisilamu wamefanya haya kukiwa
Rais
M/rais
Igp
Mkuu wa mkoa Dsm
Kamanda wa polisi Dsm
Rais wa zenji
M/rais......1 zenji
M/rais.......2 Zenji, wote ni waislamu . Je ingekuwa vinginevyo?
 
mwisho wa uonevu na propaganda chafu dhidi ya uislam na waislam kwa ujumla ni AIBU KWA WALE WALIOMKUFURU MUNGU i.e MAKAFIRI...
 
SASA SIM MLISEMA WENYEWE KUA NI MACHAGUO YA MUNGU??VIP SASA :fencing:UMETAKA CHAI MWENYEWE SASA KWANIN ULALAMIKE KUUUNGUA??
SUBIRI 2015 UMWINGIZE SLAA PALE MAGOGONI KAMA UBAVU HUO UNAO LAKIN
 
Na ukifuatilia kila aina ya thread inayoanzishwa humu jamvini inayohusu kejeli na kukshifu iman za watu waanzilishi wanakua ni makafiri dhidi ya uislam na waislam,,napata tabu sana na najiuliza hivi moderators nao ni jopo la washabiki wa haya mambo??mana sion wakichukua hatua yoyote either kuzifungia au kukemea mambo kama haya,nia yao nin wanataka nasisi waislam tujibu haya matusi ili watangaze mshindi ni nani??
Makafiri wana choko choko sana..
 
Hao ni wafungasha na kuwapeleka afghanistan, iraq,syria tuona kama fujo kweli wanazijua au wanatania
 
mwisho wa uonevu na propaganda chafu dhidi ya uislam na waislam kwa ujumla ni AIBU KWA WALE WALIOMKUFURU MUNGU i.e MAKAFIRI...

Mnajidhalilisha tu, mmeacha kupigania mpate maji safi, barabara, elimu nyie mnaandamana kwa mambo ya kijinga na kipuuzi
 
ni kweli na baadhi ya watu wamekamatwa. walikua wakishinikiza ponda na wale walio kamatwa mbagala waachiwe. mia

Hivi kazi za mahakama zimechkuliwa na Maandamano? Maana sasa ili jamaa wa ndg zetu aachiwe, wanaandamana na mtu anaachiwa!

Na kama serikali ndiyo ishaikubali kama njia mbadala wa mahakama ni bora wananchi kwa ujumla tutaarifiwe hili na wengine wenye ndugu mahabusu tujue wapi tupate waandamanaji wakuwatoa!
 
Back
Top Bottom