Kikundi cha Waislam chatawanywa kwa mabomu Mnazi mmoja - Dar

Hivi jamani...sie tumekalia kuwashambulia kina Sheikh Ponda, Sheikh Farid, JK...mara ooooh radio Imaan kuwa wanapanda mbegu za udini na wanachochea vurugu....what are we doing hapa JF? Ukiangalia kila thread ya udini watu wanatukanana na kudhalilishana sana tu hapa jamvini, ni sababu tu tumejificha nyuma ya majina 'feki' na avatars, la sivyo nasi tungeshachapana sana hapa kwa misimamo ya kisiasa, kikabila na kidini....tuna tufauti gani na Sheikh Ponda au Farid? Tunayoongea humu yana tofauti gani na wanayoongea kwenye mihadhara ya kudhalilishana kiimani?!

Acha kuwafananisha watu mithili ya sheikh ponda,farid,hiyo tabia sio nzuri,sisi tunawapa moyo polisi wetu wasambaratishe hizo vurugu ili amani ilejee.wewe Riwa utakuwa ofisini unafanya kazi wale wenzenu wasio na kazi ndio wanatumika vibaya.
FFU=Fanya Fujo Uone
 
Na ukifuatilia kila aina ya thread inayoanzishwa humu jamvini inayohusu kejeli na kukshifu iman za watu waanzilishi wanakua ni makafiri dhidi ya uislam na waislam,,napata tabu sana na najiuliza hivi moderators nao ni jopo la washabiki wa haya mambo??mana sion wakichukua hatua yoyote either kuzifungia au kukemea mambo kama haya,nia yao nin wanataka nasisi waislam tujibu haya matusi ili watangaze mshindi ni nani??
Makafiri wana choko choko sana..

nakusamehe uwezo wako mdogo sana
 
kumbe sio uislam unaagiza hayo?nilizadi ndo jihad ya kupigania imani
 
Hiii yote imesababishwa na Mkuu wa nchi sababu kauli alizozitoa yeye na chama wakati wa kuapishwa sasa ndio zinajionesha wazi kwamba walitengeneza jamii ambayo imeingiwa na chuki amabayo italipeleka taifa kubaya
 
Ni wakati muafaka sasa kwa waislamu wote Tanzania kuamka na kuinvest zaidi kwenye elimu kitu ambacho kitasaidia waislam wajao wasiwe na itikadi kama walizo nazo hawa wa sasa,inasikitisha sana kuona viongozi wa dini hii i.e mashehe kutokuwa na elimu kabisa yaani kasoma sana la saba,hiyo ndio sababu ya kuwa na maamuzi yasio kuwa sahihi kwenye mambo yao,nasema hivi coz yanayoendelea sasa kwa waislamu ni matokeo ya kutoelimika kwao
 
vipi tena hao waislamu mbona wanataka kulazimisha wanavyotaka wao kwani wanajua kiza cha huko Mbagala.Jamani viongozi na maimam jaribuni kuwaelimisha hao vijana ili tuacha kulumbana na vitu ambavyo havina msingi wowote tuiachie mamlaka huzika itende kazi yake na isipotenda hapa kuna ulazima wa kulazimisha na kudai haki kwa hao wahusika na hapo kwa muislami mwenye akili ataunga mkono na serikali itakubali bila kipingamizi

Hiki kikundi cha waislamu wachache wezi na waporaji kimevumiliwa vya kutosha na mwisho wao umefika. Bora JK ameanza mapema kuwashughulikia kwani alijua baada ya 2015 kitu ambacho wangefanyiwa.

NACHUKUA NAFASI HII KUWAPONGEZA WALE WAISLAMU WENGINE WASTAARABU NA WANAOJUA KU REASON KABLA YA KUFANYA UHARAMIA UNAOFANYWA NA PONDA NA MWENZAKE WA UAMSHO ZANZIBAR.
 
Tunakoelekea siko. Kama hawa watu wangekuwa na ajira ya uhakika bila shaka wasingetusumbua hivi!!!!

Sasa hiyo ajira ya uhakika itatoka wapi na elimu ya kujua kusoma Quran tukufu.

Waambieni waende Hospitali ya Muhimbili wanahitajika Madaktari wa Upasuaji wanaojua Kiarabu.

Na pia ofisi za Vodacom, AIRTEL na TTCL wanahitajika Telephone operators wanaojua Kiarabu. Lakini mfano ofisi yetu ni ya Mwarabu lakini ameajiri wanaojua Lugha zilizoenda shule tu.



MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Sasa hiyo ajira ya uhakika itatoka wapi na elimu ya kujua kusoma Quran tukufu.

Waambieni waende Hospitali ya Muhimbili wanahitajika Madaktari wa Upasuaji wanaojua Kiarabu.

Na pia ofisi za Vodacom, AIRTEL na TTCL wanahitajika Telephone operators wanaojua Kiarabu. Lakini mfano ofisi yetu ni ya Mwarabu lakini ameajiri wanaojua Lugha zilizoenda shule tu.



MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!

Mkuu tungekuwa na viwanda hawa watu wanahusika sana kwenye viwanda hawawezi shindwa kufanya hata packing!
 
Na ukifuatilia kila aina ya thread inayoanzishwa humu jamvini inayohusu kejeli na kukshifu iman za watu waanzilishi wanakua ni makafiri dhidi ya uislam na waislam,,napata tabu sana na najiuliza hivi moderators nao ni jopo la washabiki wa haya mambo??mana sion wakichukua hatua yoyote either kuzifungia au kukemea mambo kama haya,nia yao nin wanataka nasisi waislam tujibu haya matusi ili watangaze mshindi ni nani??
Makafiri wana choko choko sana..

Makafiri?
Nyie hamko rational mtu akishawasomea mistari michache ya kiarabu akikosea ku-translate mnachukulia hivyo hivyo na matokeo yake mnakwenda kinyume na mafundisho ya muhamad. Mbona yule jamaa alikojolea msikiti mbele ya muhamad na mtume akasema aachwe amalize mkojo wake kisha akaomba wasaidizi wake wasafishe ukuta wa msikiti. Nyie tu kitabu kimejojolewa mna react upuuzi. Kitabu chenyewe hata ndani hamjui kilichoandikwa kazi kufuata mkumbo tu hebu angalieni mnavyochezea kibano cha polisi !!!
 
Ni ukosefu wa akili tu,wao kuchoma makanisa na wakristo wakiamuwa kuandamana itakuwaje?.ni ukosefu wa ustarabu na elimu pia,mtu uliyekamilika huwezi fanya kitu kama hicho!,

Kweli Mkuu. Elimu ndio tatizo hapa. Maana mimi nashindwa kuwaelewa. Kama ni kosa yule mtoto wa kiislamu ndo mwenye kosa kwa kukubali kumshawishi yule mkristu akojolee ile korani ili ajeuke nyoka. Kama angekuwa na maadili ya dini, asingekubali kumwambia mwenzake ambae hajui umuhimu wa hicho kitabu akikojolee. Lakini kwa kuwa alikuwa anataka mwanzake ajeuke nyoka, alikubali kukitoa kitabu ili kikojolewe na yeye aone ukweli kwa kitendo cha mtu kujeuka nyoka. Hii ina maan kuwa huyo mtoto wa kiislamu, alikuwa na nia mbaya ya kumgeuza "kafri' nyoka. Lakini kwa kuwa Mungu hajaribiwi, kitabu kilikojolewa vizuri na hakuna aliyegeuka nyoka. What he said is that, they were taught in the Madrasa. So he wanted to put it into practice and see if it will work out truely. Unajua ukimfundisha mtoto uongo, ataenda kujaribu kutafuta ukweli. ..Hii inanikumbusha hadithi ya baba mmoja aliyekuwa anamfundisha mtoto uongo. Mtoto alisikia watoto wenzake wakitukana...wewe usenge...mara wewe..Mboo...Alipokuja nyumbani akamuuliza baba yake; Baba, hivi ****** ni nini?. Badala ya kumweleza ukweli, akamdanganya kuwa, maana yake ni..Wageni!. Mboo je?..Akamdanganya ni Mwavuli. Siku ya siku ilipofika, wakaja wageni pale nyumbani na kulikuwa na mvua inanyesha, hivyo walijifunika kwa miavuli.. Basi yule mtoto akawakaribisha..karibuni "*******"wa baba..na wekeni "mboo" zenu pale zichurizike maji. Ilikuwa aibu tupu. HAYA YOTE YASINGETOKEA KAMA BABA ANGEMFUNDISHA MTOTO UKWELI. Tuache kudanganya kuwa ukichezea hiki mara kile utajeuka nyoka..wapi bwana!..It was proved wrong by the Christian boy !.
 
Hao si waislamu bali wezi wanaotafuta kujenga mazingira ya kufanya vurugu ili waibe. Kwanini tumalizane kwa ajili ya makaratasi jamani?Hapa tatizo ni korani au kuna jingine fichi?
 
Hao wangepigwa tu bakora za kwenye magoti na viungio vya mikono uone kama kesho watarudia hao ni vibaka tu hao. Watu gani wasioelimika hata kwa macho kama elimu dunia na madrasa imewashinda. Sheria na taratibu zizingatiwe. ebo.
 
Ha ha ha ha ha...!!
Hizi propaganda za upande wa pili its so funny,,
yan wanavotuchukia waislam na uislam na qur an yetu,,dah hadi kufikia kutuita sisi magaidi
utadhani washawahi kutuskia sisi tukiwakashifu wao kwa kuwaita mashoga na walawiti
hatujawahi waambia hao hata siku moja kauli chafu kama wanazosema wao
ila ukweli wa mambo unafahamika na kinachoendelea upande wao wanakijua fika
niwakumbusheni neno moja..kabla hujatoa kibanzi machoni kwa mwenzio toa kwanza boriti machoni mwako kama nimekosea mtanisahihisha
na bwana yesu asifiwe sana..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom