mchana huu polisi wamepiga mabomu hapa mnazimoja kusambaratisha kikundi cha Waislamu kilichokuwa kikiandamana kupinga Waislamu wenzao waliokamatwa huko Mbagala.
Vipi kuhusu Ponda, hawakuzungumzia hilo?
Mbona wiki hii wameanza kabla ya ijumaa?
maandamano hayana sikuMbona wiki hii wameanza kabla ya ijumaa?
Ni ukosefu wa akili tu,wao kuchoma makanisa na wakristo wakiamuwa kuandamana itakuwaje?.ni ukosefu wa ustarabu na elimu pia,mtu uliyekamilika huwezi fanya kitu kama hicho!,