Rashid mohamed
Member
- Sep 4, 2011
- 6
- 5

Heshima mbele wana jamvi!. Hii ni true story na siyo tungo.

Ni mara chache sana huwa napita kwenye jukwaa hili la MMU....jukwaa la siasa ndiyo maskani yangu hasa.

Ila kutokana na issue ambayo inanichanganya kidogo,nimeona si mbaya kwa leo nikipita huku ili kupata maoni kidogo juu ya swala hili.

Binafsi mie ni kijana,siko chini ya miaka 29 na sijafikia miaka 35. Kama mnavyojua mambo ya mjini katika mizunguko ya hapa na pale

siku moja nikakutana na lijimama (mke wa mzito fulani) yaani ni lijimama la nguvu,limepanda hewani,maji ya kunde. Umri wake nahisi ata

kuwa kwenye 55 au 60. Tokea tumeanza mahusiano huu ni mwezi kama wa 7 hivi, lakini kitu ambacho kinanisikitisha ni hubahiri wa huyu

mama kwenye pesa. Yaani ananipeleka kwenye hotel za bei na analipia room kuanzia elfu 50 hadi 80,nakula na kunywa ninachokitaka na

analipa bili yote! lakini linapokuja swala la kumuomba anisaidie pesa kiasi fulani' basi hapo huwa mbogo na mkali....na hiyo pesa hanipi.

Kama kujituma tuwapo kwenye 6x6 najituma sana hadi mwenyewe anaridhika,lakini likija swala la mimi kutaka pesa mama anakuwa bahili.

Sasa najiuliza, maisha haya mpaka lini? ukizingatia kitu ninachokifanya ni zambi kwa mungu! na mke wa mtu ni sumu. Lakini majuzi kaniam

bia eti kuna kitu cha maana sana atanifanyia na nitafurahi sana....lakini simwamini kutokana na ubahili wake (lakini ni family yenye mshiko)

Naombeni ushahuri wenu jamani! - Je ni kweli iko siku atanitoa au ananitumia tu kama condom?.
<br /
pole kijana, huyo mama sio m2 mzuri kwako atakuharibia maisha yako....!