Kijana najituma sana kwa huyu mama, lakini bahili!

mshikachuma

JF-Expert Member
Dec 2, 2010
2,853
626
Heshima mbele wana jamvi!. Hii ni true story na siyo tungo.

Ni mara chache sana huwa napita kwenye jukwaa hili la MMU....jukwaa la siasa ndiyo maskani yangu hasa.
Ila kutokana na issue ambayo inanichanganya kidogo,nimeona si mbaya kwa leo nikipita huku ili kupata maoni kidogo juu ya swala hili.
Binafsi mie ni kijana,siko chini ya miaka 29 na sijafikia miaka 35. Kama mnavyojua mambo ya mjini katika mizunguko ya hapa na pale
siku moja nikakutana na lijimama (mke wa mzito fulani) yaani ni lijimama la nguvu,limepanda hewani,maji ya kunde. Umri wake nahisi ata
kuwa kwenye 55 au 60. Tokea tumeanza mahusiano huu ni mwezi kama wa 7 hivi, lakini kitu ambacho kinanisikitisha ni hubahiri wa huyu
mama kwenye pesa. Yaani ananipeleka kwenye hotel za bei na analipia room kuanzia elfu 50 hadi 80,nakula na kunywa ninachokitaka na
analipa bili yote! lakini linapokuja swala la kumuomba anisaidie pesa kiasi fulani' basi hapo huwa mbogo na mkali....na hiyo pesa hanipi.
Kama kujituma tuwapo kwenye 6x6 najituma sana hadi mwenyewe anaridhika,lakini likija swala la mimi kutaka pesa mama anakuwa bahili.
Sasa najiuliza, maisha haya mpaka lini? ukizingatia kitu ninachokifanya ni zambi kwa mungu! na mke wa mtu ni sumu. Lakini majuzi kaniam
bia eti kuna kitu cha maana sana atanifanyia na nitafurahi sana....lakini simwamini kutokana na ubahili wake (lakini ni family yenye mshiko)

Naombeni ushahuri wenu jamani! - Je ni kweli iko siku atanitoa au ananitumia tu kama condom?.

Kama unajituma kibiashara, ninakushauri ubadilishe eneo la mradi ijakuwa bashara itabaki kuwa hiyo hiyo.

Kumbe bado kuna wanaume wajinga. Hili nalo linahitaji katiba mpya?. Wewe mwili wako una thamani ya shilingi ngapi? Umemfanyia kaz gan il akulipe? Hawa ndio nyie mnasifu ngono na pombe halafu unadai ccm inakuonea. Ungekuwa karibu yangu ningekutandka kofi.

chapa lapa huna chako hapo,anapenda mashine yako tu,ndio maana anakupeleka hotel nzuri ili awe comfortable,anakulisha chakula kizuri ili ushibe upige show ya uhakika.Acha kupenda dezo mtoto wa kiume halafu unafanya dhambi hujui mke wa mtu ni sumu??

bwana ake akistukia mchezo, ataguswa kijambio. Mwache aendelee ni huo ujinga.

Hahahaaaa,eneo la sasa halina faida???nadhan hawakujadili kabla ya dogo kuanza kazi,ila he expect to acquire bad results
Kama unajituma kibiashara, ninakushauri ubadilishe eneo la mradi ijakuwa bashara itabaki kuwa hiyo hiyo.

Mtoto wa pili leo namuona hapa jf,asubuhi kuna bwa'mdogo mwenzio alikua anajisifia kuwa ameopoa mwanamke kwa muda mchache baada ya kumeet nae,najua utoto ndo unakusumbua,uhusiano usio na future ni utumwa
Heshima mbele wana jamvi!. Hii ni true story na siyo tungo.

Ni mara chache sana huwa napita kwenye jukwaa hili la MMU....jukwaa la siasa ndiyo maskani yangu hasa.

Ila kutokana na issue ambayo inanichanganya kidogo,nimeona si mbaya kwa leo nikipita huku ili kupata maoni kidogo juu ya swala hili.

Binafsi mie ni kijana,siko chini ya miaka 29 na sijafikia miaka 35. Kama mnavyojua mambo ya mjini katika mizunguko ya hapa na pale

siku moja nikakutana na lijimama (mke wa mzito fulani) yaani ni lijimama la nguvu,limepanda hewani,maji ya kunde. Umri wake nahisi ata

kuwa kwenye 55 au 60. Tokea tumeanza mahusiano huu ni mwezi kama wa 7 hivi, lakini kitu ambacho kinanisikitisha ni hubahiri wa huyu

mama kwenye pesa. Yaani ananipeleka kwenye hotel za bei na analipia room kuanzia elfu 50 hadi 80,nakula na kunywa ninachokitaka na

analipa bili yote! lakini linapokuja swala la kumuomba anisaidie pesa kiasi fulani' basi hapo huwa mbogo na mkali....na hiyo pesa hanipi.

Kama kujituma tuwapo kwenye 6x6 najituma sana hadi mwenyewe anaridhika,lakini likija swala la mimi kutaka pesa mama anakuwa bahili.

Sasa najiuliza, maisha haya mpaka lini? ukizingatia kitu ninachokifanya ni zambi kwa mungu! na mke wa mtu ni sumu. Lakini majuzi kaniam

bia eti kuna kitu cha maana sana atanifanyia na nitafurahi sana....lakini simwamini kutokana na ubahili wake (lakini ni family yenye mshiko)

Naombeni ushahuri wenu jamani! - Je ni kweli iko siku atanitoa au ananitumia tu kama condom?.

mhh masikini nguvu zinakuisha cha maana hakuna.......sasa si bora ukazitumie kwa kijana mwenzio maana utaambulia ngoma hata kachoo ka kuharia huna!

Back
Top Bottom