Kigwangala na Jicho la Habari star tv!!!

Mpuuz huyu kajinyea-nilichangia kwenye status zake za Facebook na kumtia moyo na maandamano, kumbe famba tu. Shame on u pimbi Kigwangala- unaongea ongo ongo tu!
 
Ndiyo maana huyu jamaa approach zake juu ya resolute zimekuwa zinanipatia wasi wasi, anahitaji kujijenga kisaikolojia na kinidhamu, la sivyo ataishia pafupi katika siasa, watu wengi in fact walikuwa wanamuheshimu, maana kwa umma wa watanzania kwa sasa mtu unatakiwa useme iliyo kweli, mfano ni Mh. Magufuli, hata wapinzani wanamzimikia,
 
unapoona mwanasiasa msomi na kijana hana tofauti na makada ambao walikimbia umande ujue kama nchi tuna matatizo makubwa kuliko tunavyofikiri sasa.nakumbuka dr.slaa alieleza ili vizuri ktk mdahalo ktk ITV siku chache kabla ya uchaguzi. alisema ndani ya siku 100 kama angechaguliwa kuwa rais,angeanzisha mchakato wa katiba mpya. kigwangala anaweza akajiona leo amefanikiwa,lkn kwa watu makini bila kuangalia vyama ametusaidia kumfahamu yeye ni mtu wa aina gani!
 
Back
Top Bottom